Kocha wa klabu ya WYDAD AC Mohamed Amin Benhashem, na daktari wa timu Abdel -razzaq Haifti wamepata ajali Mbaya ya Barabarani huko Washington, Marekani.
Kocha huyo Mohamed Amin alipoteza fahamu na Kuzinduka baadae alipofikishwa hospitalini wakati Dk. Hevty hakupata majeraha sana.
WYDAD AC Wako Marekani kushiriki Michuano ya Kombe la Dunia kwa Upande wa Vilabu.
Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii