Nyota wa soka duniani, Cristiano Ronaldo, amepewa mkataba wa kipekee na klabu ya Al-Nassr ya Saudi Arabia, ambao unatajwa kuwa miongoni mwa mikataba ya gharama kubwa zaidi katika historia ya michezo.
Huu hapa uchanganuzi kamili wa mkataba huo kwa thamani ya fedha katika Shilingi za Kitanzania.