AS Monaco imefikia makubaliano na Barcelona ya kumsajili winga wake Ansu Fati kwa mkopo wenye chagua la kumnunua moja kwa moja
Ansu Fati atasaini mkataba mpya na Barcelona na ataenda kujiunga na AS Monaco kwa mkopo.
Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii
Follow Us
Subscribe