Zimbwe Jr kuwaaga rasmi mashabiki wa Simba

Baada ya kudumu katika klabu ya Simba kwa kipindi cha miaka 11 captain Mohamed Hussein Zimbwe Jr  amewaaga Rasmi mashabiki wanachama na viongozi wa Timu hiyo.

Zimbwe Jr anaondoka Simba kama mchezaji huru baada ya mkataba wake kutamatika mwishoni mwa Msimu ulioisha.

Bado haijathibitishwa Zimbwe jr  anaelekea wapi Licha ya taarifa na tetesi kueleza kwamba anaelekea upande wa pili kujiunga na wananchi Yanga.


Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii