Waamuzi wa mchezo wa Derby kati ya Yanga SC vs Simba SC wanatoka Misri na Somalia.
Mwamuzi wa kati - Amin Mohamed Amin Omary (Misri)
Ass Referee 1 - Mahmoud Ahmed Abo El Regal (Misri)
Ass Referee 2 - Samir Gamal Saad Mohamed (Misri)
Mwamuzi wa Akiba - Ahmed Mahrous Elghandour (Misri)
Mtathimini waamuzi - Alli Mohamed (Somalia)
Match Com - Salim Omary Singano (Tanga - Tanzania)
Mchezo huo utaamua Bingwa wa ligi msimu huu na utafanyika uwanja wa Benjamin Mkapa Jumatano Juni 25, 2025 saa 11:00 Jioni.
#simbasc #yangasc