Klabu ya Olympique Lyon Rasmi imeshushwa daraja kutoka Ligi kuu ya Ufaransa (Ligue 1) hadi Ligi Daraja la Pili (Ligue 2) lakini bado wanaruhusiwa kukata rufaa juu ya uamuzi huo.
Sababu za kushushwa daraja ni tuhuma zao dhidi ya Matumizi mabovu ya Fedha kwa mwaka 2024.
Source Fabrizio Romano