Kinda mahiri wa FC Barcelona, Lamine Yamal, amesaini mkataba mpya wa muda mrefu na klabu hiyo, ambao utamuweka Camp Nou hadi tarehe 30 Juni 2031 amekabidhiwa rasmi jezi n . . .
Mwekezaji maarufu na Rais wa heshima wa klabu ya Simba SC, Mohammed Dewji (Mo), amevunja ukimya kwa kutoa ufafanuzi mzito kuhusu mchango wake ndani ya klabu hiyo tangu al . . .
Kocha wa klabu ya Yanga Sc, Miloud Hamdi amechaguliwa kuwa Kocha Bora wa mwezi Juni wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania bara msimu wa 2024/2025 akiwashinda Rachid Taoussi wa Azam . . .
Manchester United imemsajili rasmi Enzo Kana-Biyik, mshambuliaji kinda mwenye umri wa miaka 18 kutoka Le Havre, kwa uhamisho wa bure baada ya mkataba wake kumalizik . . .
Alisainiwa kwa mkopo wa miezi mitatu kwa Kombe la Dunia la Klabu ya FIFA ya 2025. Baada ya mashindano kumalizika, walitaka kumsaini.Lakini kocha mkuu wa Benchachem hajari . . .
Winga wa klabu ya Athletic Bilbao, Nico Williams, amesaini mkataba mpya wa miaka 10 wa kuendelea kuitumikia klabu hiyo inayoshiriki ligi kuu ya Hispania hadi Juni 2035.Mh . . .
Kamati ya Uchaguzi ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) imewatangaza rasmi wagombea watano wa nafasi ya urais kuondolewa katika kinyang’anyiro hicho, na kumwacha Wallac . . .
MATAJIRI wa Dar, Azam FC hawataki utani kwa kuwa tayari wameanza kushusha mashine za kazi kuelekea msimu mpya wa 2025/26 kwa kumtambulisha beki wa kazi ambaye ni mzawa.Ju . . .
MWENYEKITI wa Kamati ya Uchaguzi ya Shirikisho la Mpira wa Miguu (TFF), Kiomoni Kibamba amesema mgombea asiyekuwa na wadhamini zaidi ya watano hatapitishwa kugombea kweny . . .
MWANASOKA nyota Diogo Jota ameaga dunia baada ya kuhusika katika ajali ya gari kaskazini mwa Uhispania akiwa na umri wa miaka 28, ripoti nchini Uhispania zimesema mnamo A . . .
Mchezaji wa klabu ya Liverpool na timu ya taifa ya Ureno, Diogo Jota, amefariki dunia kwa ajali ya gari nchini Hispania akiwa na umri wa miaka 28.Kwa mujibu wa vyombo mba . . .
Kiungo mshambuliaji wa klabu ya Borrusia Dortmund Jobe Belligham,atakosekana kwenye mchezo wa robo fainali ya kombe la dunia la vilabu dhidi ya Real Madrid utakaopigwa kw . . .
Mke wangu aliniacha nilipofungiwa kucheza soka na kupoteza umaarufu wangu. Alikuwepo tu kwa ajili ya pesa na umaarufu.” Paul Pogba”“Niligundua jinsi nilivyo tupu na . . .
“Serikali ya awamu ya sita ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania chini ya Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, imeipa Yanga sehemu ya ardhi yake hapa Jangwani kwa ajili ya kujen . . .
Juni 29, Young Africans watakuwa wenyeji wa Singida Black Stars katika michuano ya Kombe la Shirikisho Tanzania. Mechi itaanza saa 21:15 saa za eneo lako.Kivutio kinageuk . . .
KOCHA wa zamani wa timu ya taifa ya soka, Harambee Stars, Robert Otiti, na mkufunzi wa ndondi katika ukumbi wa Muthurwa na Makongeni, Suleiman Bilali, Alhamisi walifikish . . .
Kocha Mkuu wa Simba SC, Fadlu Davids, amesema kuwa kikosi hicho kinahitaji maboresho baada ya kumaliza msimu wa Ligi Kuu Bara kikiwa nafasi ya pili kwa alama 78, nyuma ya . . .
Nyota wa soka duniani, Cristiano Ronaldo, amepewa mkataba wa kipekee na klabu ya Al-Nassr ya Saudi Arabia, ambao unatajwa kuwa miongoni mwa mikataba ya gharama kubwa zaid . . .
Juni 26, 2025 – Timu za soka kutoka bara la Afrika zimehitimisha safari yao mapema katika michuano ya Kombe la Dunia la Vilabu 2025, baada ya kushindwa kuvuka hatua za . . .
Kocha wa klabu ya WYDAD AC Mohamed Amin Benhashem, na daktari wa timu Abdel -razzaq Haifti wamepata ajali Mbaya ya Barabarani huko Washington, Marekani.Kocha huyo . . .
AS Monaco imefikia makubaliano na Barcelona ya kumsajili winga wake Ansu Fati kwa mkopo wenye chagua la kumnunua moja kwa moja Ansu Fati atasaini mkataba mpya na Bar . . .
Klabu ya Olympique Lyon Rasmi imeshushwa daraja kutoka Ligi kuu ya Ufaransa (Ligue 1) hadi Ligi Daraja la Pili (Ligue 2) lakini bado wanaruhusiwa kukata rufaa juu ya uamu . . .
Waamuzi wa mchezo wa Derby kati ya Yanga SC vs Simba SC wanatoka Misri na Somalia.Mwamuzi wa kati - Amin Mohamed Amin Omary (Misri)Ass Referee 1 - Mahmoud Ahmed Abo . . .
Shai Gilgeous-Alexander mchezaji nyota wa timu ya The Oklahoma City Thunder ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa fainali ya ligi ya mpira wa kikapu Marekani NBA (NBA Final . . .
MGOMBEA urais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Shija Richard anatarajia kuwasilisha barua rasmi Baraza la Michezo la Taifa (BMT), Kamati ya Rufani ya Uchag . . .
NYOTA wa zamani wa klabu ya Yanga na timu ya Taifa, Taifa Stars, Ally Mayay Tembele, ametangaza rasmi nia ya kuwania nafasi ya Urais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanza . . .
Kamati ya rufaa ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limeitupilia mbali rufaa iliyokatwa na Guinea ikipinga uamuzi uliofanywa na kamati ya nidhamu ya Shirikisho h . . .
Kamati ya Uchaguzi ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) inatangaza Uchaguzi Mkuu wa TFF utakaofanyika tarehe 16/08/2025 jijini Tanga.Nafasi zinazogombewa ni Rai . . .
Tottenham Hotspur imemtangaza kocha Thomas Frank kuwa meneja wake mkuu kuchukua mikoba ya Age Postecoglou aliyetimuliwa hivi karibuni baada ya kuiongoza timu hiyo kutwaa . . .
Naibu Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Hamis Mwinjuma amesema serikali haiwezi kuingilia mgogoro unaoendelea kuhusu mechi ya Darby kati ya Simba na Yanga kutok . . .
Uongozi wa Klabu ya Young Africans SC umetangaza rasmi kuwa hautashiriki mchezo wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Simba SC uliopangwa kufanyika tarehe 15 Juni, 2025. Kupitia t . . .
Serikali imesema bado iko kwenye mpango madhubuti wa kuhakikisha uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza unakarabatiwa na kukamilisha idadi ya viwanja vitano vilivyotengwa kwa ajil . . .
KLABU ya Yanga imefikia makubaliano mazuri ya kumuongezea mkataba mwingine beki na nahodha wake msaidizi, Dickson ‘Dick’ Job.Inealezwa makubaliano hayo yaliyofikiwa y . . .