Waziri wa mambo ya ndani nchini humo Fred Matiangi ameeleza kwamba wagombea viti vya ubunge wanawahonga wapiga kura walioko vijijini kwa kuwapa hata shilingi 100 pekee kama njia ya kuwashawishi ku . . .
Wanafunzi tisa wa Chuo Kikuu cha Moi nchini Kenya wanashikiliwa na polisi kwa tuhuma zinazosemekana za kusambaza jumbe za kumchafua mgombea wa urais kwa tiketi ya Kenya Kwanza Naibu Rais William Ruto. . . .
Tume ya uchaguzi ya Pakistan imeamua leo kuwa chama cha Waziri Mkuu wa zamani Imran Khan kilipokea fedha kwa njia haramu, hatua ambayo inaweza kusababisha nyota huyo wa zamani wa mchezo wa kriketi pam . . .
Raia wa Tunisia Jumatatu wameshiriki kura ya maoni kwa ajili ya katiba mpya iliyohamasishwa na Rais Kais Saied, ambayo ilikosolewa kwa kumpa rais mamlaka makubwa zaidi na kutishia kuweka utawala . . .
Kampeni za Uchaguzi Mkuu wa Agosti 9 zinapoendelea kushika kasi, wake wa vigogo wakuu wa kisiasa pia wamejitokeza kuwasaidia kuvumisha azma zao. Baadhi ya wale ambao wamejitokeza kuwasaidia vigog . . .
Raia wa kigeni ambaye Alhamisi alikamatwa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta (JKIA) nchini Kenya akiwa na stika za uchaguzi za Tume ya IEBC ameachiliwa kutoka kizuizini.Siku . . .
Mbunge wa Malindi, Bi Aisha Jumwa, amepata afueni baada ya Mahakama Kuu ya Mombasa kutupilia mbali ombi lililokuwa likitaka kumfungia nje ya kinyang’anyiro cha ugavana wa Kaunti ya Kilifi kwa . . .
Mgombea urais wa Kenya Kwanza William Ruto amejipata tena pabaya kwa kutoa matamshi yanayodhaniwa kuwa ya kudhalilisha kuhusu Gavana wa Kitui Charity Ngilu.Naibu Rais alikuwa kwenye kampeni katika kau . . .
Chama tawala katika Jamhuri ya Congo kimeripoti kushinda katika uchaguzi wa bunge wa wiki iliyopita.Matokeo ya awali yaliyotangazwa kwenye televisheni ya taifa yanaonyesha chama cha Labour cha Con . . .
Mwanasiasa wa upinzani nchini DRC, Martin Fayulu, ameanza maandalizi ya kuwania urais mwaka ujao baaya kongamano la siku tatu ya chama chake cha ECIDE mjini Kisangani. . . .
SERIKALI ya Jubilee inaendelea kuongezea Wakenya mzigo wa madeni muda wake wa kwenda nyumbani unapokaribia kwa kukopa Sh300 bilioni zaidi kati ya Januari na Mei 2022. Hii imefikisha deni la kitai . . .
Wabunge wa chama cha tawala nchini Uingereza cha Conservative watapiga kura leo katika duru ya pili ya mchujo wa wagombea wanaowania kumrithi waziri mkuu Boris Johnson aliyetangaza kujiuzulu wiki . . .
Mgombea urais wa Azimio La Umoja, Raila Odinga, ameahidi kuchunguza chanzo cha utajiri wa Naibu Rais William Ruto iwapo atashinda uchaguzi wa Agosti 9. Raila alitilia shaka uhalali wa umiliki wa ardhi . . .
KINYANG’ANYIRO cha kiti cha urais kimekumbwa na hali ya suitofahamu baada ya kuwasilishwa kwa kesi ya kumtimua mwaniaji urais wa chama cha Roots Profesa George Wajackoyah kwa madai kwamba yeye n . . .
MGOMBEAJI mmoja wa kiti cha Mwakilishi wa Kike, na wawili wa udiwani wametangazwa washindi bila jasho baada ya kukosa wapinzani. Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) Jumapili ilimtangaza Beatrice . . .
Mgombea wa urais nchini Kenya Raila Odinga, ametishia kutoshiriki uchaguzi mkuu wa mwezi ujao, endapo tume huru ya uchaguzi na mipaka IEBC haitatumia daftari la wapiga kura iliyoandikwa kwa kara . . .
MWANIAJI urais kwa tikiti ya muungano wa Azimio la Umoja One Kenya, Raila Odinga na mgombea mwenza wake Martha Karua, wanaongoza kwa umaarufu katika Kaunti ya Nairobi, utafiti mpya umeonyesha. Ri . . .
TUME ya Maadili ya Kupambana na Ufisadi Nchini (EACC) imeahidi kuwa itatwaa pesa na mali kutoka kwa wale ambao walitumia vyeti ghushi kuwania na kushinda vyeo vya uongozi katika uchaguzi mkuu. Af . . .
Mgombea urais nchini Kenya kupitia kwa chama cha United Democratic Alliance -UDA, William Ruto amezindua manifesto yake kuelekea uchaguzi mkuu wa Agosti 9 2022. Menifesto hiyo inazingat . . .
Mwenyekiti mstaafu wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Damian Lubuva ameishauri Serikali kuutazama upya utaratibu wa kupatikana kwa watendaji wakuu wa taasisi hiyo ili kutoa fursa kwa Watazan . . .
MASAIBU yanayomkumba Gavana Granton Samboja yameibuka upya, baada ya mpigakura kujaribu tena kumzuia kutetea kiti hicho katika uchaguzi unaopangiwa kufanyika Agosti. Bw Jeremiah Kiwoi, ameenda ko . . .
Waliokuwa wanachama 19 wa Chadema, akiwamo Halima Mdee wanaingia katika mchuano na chama hicho wakati wa usikilizwaji wa pingamizi dhidi ya maombi ya amri ya kudumisha hali ilivyo (kulinda ubunge . . .
Bunge la Israel kwa kauli moja limeidhinisha muswada wa kulivunja bunge, hatua muhimu ya kisheria ambayo inaisukuma nchi hiyo kuelekea uchaguzi wake wa tano katika muda wa chini ya miaka minne. Ta . . .
SERIKALI Kuu sasa imepata idhini ya kuchukua mkopo wa hadi Sh10 trilioni kutoka Sh9 trilioni baada ya maseneta kupitisha pendekezo la Wizara ya Fedha kuhusu suala hilo. Jumla ya maseneta 27 walip . . .
Vyama vikuu vya kisiasa nchini Ufaransa vilikuwa vikicheza dau kubwa kwa uchaguzi huu wa wabunge mwaka wa 2022, lakini matokeo ya hayakukidhi matarajio yote, baada ya kutanga . . .