Maafisa wa Ukraine wamefahamisha kuwa watu 15 wameuawa baada ya majeshi ya Urusi kulishambulia kwa makombora jengo la ghorofa tano katika mji wa mashariki mwa Ukraine wa Chasiv Yar. Gavana wa jimb . . .
Polisi nchini Afrika Kusini, imesema watu 19 wameuawa mwishoni mwa juma lililopita, wakati watu wenye silaha waliposhambulia maeneo mawili tofauti ambayo watu walikuwa wakibu . . .
Waandamanaji wa Sri Lanka Jumapili wamesema wataendelea kukalia makazi rasmi ya rais na waziri mkuu mjini Colombo hadi viongozi hao wawili watakapoondoka mamlakani rasmi . Maelfu ya waand . . .
Polisi ya Tunisia imewazuia mamia ya waandamanaji kufika katika ofisi za tume ya uchaguzi, wakati waandamanaji wakimiminika barabarani kupinga kura ya maoni juu ya katiba mpya yenye utata ambayo i . . .
Waziri mkuu wa zamani wa Japan Shinzo Abe amefariki baada ya kupigwa risasi wakati akiwa katika mkutano wa kampeni katika mji wa Nara siku ya Ijumaa.Shirika la habari la Japan NHK limeonesha video . . .
Ukraine ilipandisha bendera yake ya bluu na njano kwenye kisiwa cha Snake katika Black Sea hapo Alhamis ikionyesha ukaidi lakini Russia ilijibu haraka kwa shambulizi lililoharibu sehemu ya kituo . . .
Vyombo vya habari nchini Iran vinaripoti kwamba Jeshi la Mapinduzi la Iran limewakamata wanadiplomasia kadhaa wa kigeni akiwemo Muingereza mmoja kwa madai ya upelelezi. Lakini serikali ya Uingerez . . .
KUTOKA nchini Nigeria zinaarifu kwamba wanamgambo wa kundi la Boko Haram juzi walivamia gereza moja nchini humo na kuwafungulia wafungwa zaidi ya 600 ambao walikuwa wamefungwa gerezani. Haijuli . . .
Ibada ya pamoja ya maziko ya vijana 21, waliofariki katika mazingira tatanishi kwenye klabu moja nchini Africa kusini, inafanyika leo. . . .
Huzuni umeghubika kijiji cha Poroko katika kaunti ndogo ya Trans Mara Magharibi baada ya mvulana wa darasa la nane kumuua kinyama mwanamke mjamzito na watoto wake wawili.Mvulana wa Darasa la Nane Amuu . . .
WAZEE na vijana ambao hawakufanikiwa kumaliza mafunzo shuleni kaunti ya Mombasa, wamelazimika kurejea shuleni kukata kiu ya elimu. Kulingana na Mkurugenzi wa Masomo ya Watu Wazima (CDACE) kaunti ya . . .
AFISA wa polisi aliuawa kwa kufyatuliwa risasi na mshukiwa wa ujambazi wakati maafisa wa polisi walikuwa wakiingia katika nakazi ambako mshukiwa alikuwa amejificha. Aidha, afisa mwingine wa polis . . .
MAAFISA wa polisi walitibua mpango wa wizi wa mabavu katika jengo moja mtaani South B katika kaunti ndogo ya Starehe usiku wa kuamkia Jumapili. Mshukiwa mmoja aliuawa kwa kufyatuliwa risasi na po . . .
AKAUNTI za mitandao ya kijamii ya Twitter pamoja na Youtube za Jeshi la Uingereza zimedukuliwa na watu wasiojulikana huku zikionesha baadhi ya maudhui ya sarafu za mtandaoni (cryptocurrency) pamoj . . .
Shambulio la risasi katika jengo la maduka mjini Copenhagen Jumapili limesababisha vifo vya watu watatu na kujeruhi wengine watatu, polisi wa Denmark wamesema, wakiongeza kuwa wamemkamata mshuki . . .
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskiy amekiri kuondoka kwa vikosi vya nchi yake katika mji wa Lysychansk mashariki mwa jimbo la Donbass baada ya kuzidiwa nguvu na majeshi ya Urusi. Zelenskiy lakini . . .
Waandamanaji nchini Libya wamelivamia bunge kuonyesha hasira zao juu ya kuzorota kwa hali ya maisha na mkwamo wa kisiasa nchini humo.Waandamanaji walilivamia bunge katika mji wa mashariki wa Tobruk . . .
Watu takriban 19 wamepoteza maisha na wengine 12 wamejeruhiwa katika ajali ya basi la abiria lililoteleza na kutumbukia kwenye korongo la kina kirefu katika barabara ya milimani kusini magharibi m . . .
Maeneo mengi ya mji wa Sydney yamefunikwa na maji kutokana na mafuriko yaliosababishwa na mvua kubwa ilionyesha katika mji huo mkubwa zaidi nchini Australia. Maji yenye kina cha mita 1.5 yamevizin . . .
Watu sita wamefariki dunia na wengine kadhaa kujeruhiwa kwenye ajali iliyohusisha gari ndogo kugonga na mkokoteni uliokuwa unavutwa na ng’ombe katika Kijiji cha Lugala Wilaya ya Chamwino mkoani . . .
Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mashimba Ndaki amemuagiza Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Zainab Telack kuhakikisha anawakamata wafugaji wanaopiga wakulima na kulisha mifugo yao katika mashamba yenye mazao.Ndak . . .
Waandamanaji wasiopungua 7 wameuawa Alhamisi nchini Sudan wakati maafisa wa usalama wakijaribu kuzuia mikusanyiko mikubwa ya waandamanaji wanaodai kumalizika kwa utawala wa kijeshi, madaktari wa . . .
Idadi ya vifo vya wahamiaji wasio na vibali waliotelekezwa kwenye trela lenye joto kali mjini Texas imepanda hadi 51 jana Jumanne, huku Rais Joe Biden akiwalaumu wale aliowaita wahalifu wenye utaa . . .
Wanajeshi wa Sudan wamefyatua mizinga wakati wa makabiliano katika eneo la mashariki lilalozozaniwa ambalo linapakana na Ethiopia. Hayo ni kwa mujibu wa afisa mmoja wa Ethiopia, ikiwa ni tukio la . . .