Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amelaani mashambulizi mapya ya Urusi yaliohusisha makombora na ndege zisizo na rubani na kuyataja kama ugaidi dhidi ya raia. Ndege hizo zisizo na rubani zilizotumiwa . . .
Korea Kaskazini mapema leo imerusha kombora la masafa mafupi kuelekea katika bahari yake ya Mashariki na pia kutuma ndege za kivita karibu na mpaka na Korea Kusini, na kuongeza zaidi uhasama uliochoch . . .
jambo la kustaajabisha sana kusikia kwamba mtu anaweza akapoteza kiungo cha mwili wake, tena cha ndani katika njia tatanishi. Ndio hali iliyompata mwanaume mmoja kutoka taifa jirani la Ugan . . .
Mlinzi wa mkewe Raila Odinga, Ida Odinga, ameuawa kwa kupigwa risasi na majambazi nyumbani kwake Riat Kisumu.Inaarifiwa Barrack Jaraha alipigwa risasi na watu wasiojulikana Ijumaa aubuhi akiwa nyumban . . .
Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un, amesimamia mwenyewe majaribio ya makombora ya masafa marefu aliyoyaelezea kuwa ni mafanikio ya kupanuka kwa mpango wake wa nyuklia na kukua kwa uwezo wa jeshi . . .
Mamlaka nchini India imesimamisha kazi za kiwanda kilichotengeneza dawa inayochunguzwa, ikishukiwa kusababisha vifo vya watoto 69 nchini Gambia. Shirika la Afya Ulimwenguni WHO lilitoa tahadhari wiki . . .
Watu wawili wamefariki na wengine kadhaa kujeruhiwa baada ya basi la Kyela Express kugongana uso kwa uso na basi dogo aina ya Toyota Coaster lililokuwa likisafirisha msiba kutoka mkoani Dodoma kwenda . . .
Maafisa wa upelelezi katika kituo cha polisi cha Kangemi, kaunti ndogo ya Dagoretti, wameanzisha msako wa kumsaka mshukiwa anayedaiwa kuvunja kanisa na kuiba zaidi ya Shilingi milioni 1.5.Katika tukio . . .
Mashambulizi ya makombora katika miji ya Ukraine ukiwemo mji mkuu wa Kyiv, yamesababisha vifo vya watu kadhaa na wengine kujeruhiwa leo Jumatatu, ikiwa ni siku moja baada ya Moscow kuishutumu Kyiv kwa . . .
Rais wa Nigeria Muhammadu Buhari amesema kuwa karibu wasafiri wote waliokuwa katika boti iliyopinduka kwenye mto Niger wamekufa. Wafanyakazi wa huduma za uokozi wa dharura wamekwishathibitisha vifo vy . . .
Moto mkubwa uliosababishwa na bomu la kwenye gari umelivunja daraja kuu linalounganisha Crimea hadi Russia, eneo ambalo Russia ililichukua mwaka 2014, Moscow iliripoti Jumamosi, bila ya mara moja kuli . . .
Jeshi la Polisi mkoani Mtwara linamshikilia Somoe Mohamed mwenye umri wa miaka 34, mkazi wa kata ya Dihimba, halmashauri ya wilaya ya Mtwara, kwa tuhuma za kumchoma moto mwanae &nbs . . .
Korea Kusini na Japan zimesema leo kuwa Korea Kaskazini imefyatua makombora mengine mawili, siku mbili tu baada ya jaribio lake la mwisho. Shirika la Habari la Korea Kusini, Yonhap limeripoti kuwa Kor . . .
Helena Mashaka (13), mwanafunzi wa darasa la saba shule ya Shahende iliyopo Kata ya Butobela, mkoani Geita, amechomwa mikono yake kwa moto na Mama yake kwa tuhuma za kuiba shilingi 30,000 na kupelekea . . .
Mvulana miaka 12 kutoka Nigeria ameuawa na kaka yake alipokuwa akijaribu hirizi mpya ya “kuzuia risasi”, polisi wanasema.Wawili hao waliamini kuwa “wamejiimarisha kwa hirizi ya ulinzi”, kwa mu . . .
Korea Kusini na Marekani zimefyatua makombora manne ya ardhini kuelekea katika Bahari ya Mashariki, inayojulikana zaidi kama Bahari ya Japan. Duru za kijeshi za Korea Kusini zimeeleza leo kuwa makombo . . .
Serikali ya Somalia imetangaa kuua kwa mmoja wa waanzilishi wa kundi la kigaidi la Al-Shabaab, Abdullahi Nadir kwenye shambulizi la ndege lililotokea Jumamosi, Oktoba 1.Shambulizi hilo lilitekelezwa n . . .
Mwanaume Ambaye Mke Wake Alifariki Wiki Zilizopita akiwa anamfuatilia “Mchepuko“ naye AmefarikiSonnie Bassey amekuwa katika hali ya kukosa fahamu “coma“ kutokana na mshtuko wa kumpoteza mke wa . . .
Mtangazaji wa TV Wa NBC ana trend baada ya kutumia Condom kufunika Mic yake akiwa na ripoti kuhusu Kimbunga Ian jimboni Florida. Kyla Galer aliwaambia watazamaji kuwa 'Hii ni condom, hatuwezi kulowesh . . .
Bibi mwenye umri wa miaka 87 anayefahamika kwa jina la Elina Nzilano mkazi wa mtaa wa Idofi halmashauri ya mji wa Makambako mkoani Njombe ameuawa na mwanae mwenye ulemavu wa macho (Kipofu) anayefahami . . .
Kimbunga Ian kiliwasili magharibi mwa Florida Jumatano kama kimbunga cha 4 chenye upepo wa zaidi ya kilomita 240 kwa saa, na kusababisha mafuriko mabaya katika maeneo kadhaa.Kimbunga Ian kilitua karib . . .
Majeshi ya Msumbuji yamesema kwamba yamewakamata watu wanne ambao wanatokea vikosi vya kijihad nchini humo ambao wamekua wakiwakamata na kuwaua watu huku vikosi hivyo vikitangaza kuwaua wengine . . .
Jeshi la Polisi mkoani Iringa linamshikilia mkazi wa Manispaa, Mohamed Njali, kwa tuhuma za kumdhalilisha kijinsia mama mjamzito, Atka Kivenule na kumsababishia kifo chake.Tukio hilo limetokea Jumamos . . .
Grace Wangoi, 32, kutoka Kapkoi mkabala na Moi's Bridge mjini Kitale, kaunti ya Trans Nzoia, alikuwa msaidizi wa mzee mmoja raia wa Canada kabla ya mwanawe anayeishi Canada kumtembelea nchini Misri.Ak . . .