Mwanaume Ambaye Mke Wake Alifariki Kwa Ajali Akiwa anamfuatilia Mumewe na Mchepuko Naye Amefariki

Mwanaume Ambaye Mke Wake Alifariki Wiki Zilizopita akiwa anamfuatilia “Mchepuko“ naye Amefariki

Sonnie Bassey amekuwa katika hali ya kukosa fahamu “coma“ kutokana na mshtuko wa kumpoteza mke wake katika ajali mbaya alipokuwa akimkimbiza mchepuko wake.

Hatimaye Sonnie ameshindwa vita na ameenda kukutana na marehemu mke wake akiwaacha watoto wao.

Roho yake ipumzike kwa Amani.

Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii