Korea Kaskazini imefyatua makombora kadhaa mapema hii leo ikiwa ni pamoja na linalohisiwa kuwa la masafa marefu hatua iliyoibua mashaka kwa wakazi wa maeneo ya kaskazini na katikati mwa Japan waliotoa . . .
Miss Argentina 2019 na Miss Puerto Rico 2019 wametangaza kwamba wameoana.Mariana Varela and Fabiola ValentÃn, walianza kutoka kimapenzi tangu 2020 kwenye shindano la Miss Grand International.Wawili h . . .
Serikali ya Uholanzi imeamuru China kufunga mara moja "vituo vya polisi" nchini Uholanzi, ambavyo ripoti zinasema vilitumiwa kuwanyanyasa wapinzani. Vituo vya polisi huko Amsterdam na Rotterdam . . .
Mtoto wa kiume wa Davido mwenye umri wa miaka 3 afariki dunia baada ya kuzama katika swimming pool katika nyumba yao huko Banana IslandKabla, Davido na Chioma walikuwa wamesafiri kwenda mji wa I . . .
Polisi katika kaunti ya Kajiado nchini Kenya, wamemkamata na kumzuilia mwanamke mwenye umri wa miaka 34, ambaye anatuhumiwa kumuua mwanawe mchanga na kutupa mwili wake nyumbani kwa zaidi ya miezi mita . . .
Takribani watu 150 wamekufa katika wilaya ya Itaewon mjini Seoul nchini Korea Kusini sehemu ambayo ni maarufu kwa burudani za usiku na kutembelewa zaidi na vijana na wageni huku ikiwa imesheheni migah . . .
Garry Richmond, mwanaume aliyepoteza fahamu na baadae kuvutiwa na kumuoa aliyekuwa mke wake kwa mara ya pili bila ya kujua.Inaelezwa kuwa Garry Richmond, alipoteza fahamu kwa muda mrefu na baada ya ku . . .
Mkulima mmoja amewashangaza wengi baada ya kubainia kuwa aliwapachika mimba dada wake watatu wa tumbo moja.Ripoti zinasema kuwa ndugu hao wanne walilelewa na wazazi wakali na hawakuwa na uhuru mkubwa . . .
Mwanamke mwenye umri wa kati kutoka kaunti ya Meru, amenusurika kifo jana Jumanne, Oktoba 25, baada ya wakazi wenye hasira kumvamia nyumbani kwake akidaiwa kufumaniwa akifanya mapenzi na mwanawe . . .
Shambulizi la angani la jeshi la Marekani limewalenga waasi wa al-Shabab waliokuwa wakishambulia vikosi vya Jeshi la Taifa la Somalia, na kuwaua wawili kati yao, kwa mujibu wa Kamandi ya Marekani bara . . .
Flora juma mwenye umri wa mika 18, amabe alikua akifanya kazi za ndani katika familia moja iliyopo mtaa kombo masai, kata ya malolo mkoani tabora, amejikuta matatatni kwa kuuhumiwa na bosi wa kuwa bin . . .
Jeshi la Burkina Faso, limesema wanajeshi wake 10 wameuawa jana Jumatatu, baada ya kushambuliwa katika eneo la Djibo, kaskazini mwa nchi hiyo.Jeshi limetaja shambulizi hilo dhidi ya kambi ya kikosi ch . . .
Takriban watu watatu, akiwemo mshukiwa wamefariki na wengine saba kujeruhiwa baada ya ufyatuaji risasi katika shule ya sekondari iliyopoSt Louis, Missouri. Mtu mwenye silaha aliingia katika shule ya . . .
Paka wa ajabu ameibuka na kuzua taharuki miongoni mwa wakazi wa Mji wa Tunduma Mkoani Songwe ambapo wananchi wa eneo hilo wanadai kuwa paka huyo amekuwa akiandika barua na kuziacha mlangoni kwa mama m . . .
Mwandishi habari maarufu wa Pakistan,Arshad Sharif ameuwawa kwa kupigwa risasi kichwani usiku wa kuamkia leo katika barabara kuu ya Nairobi-Magadi nchini Kenya. Taarifa za awali zinasema Ars . . .
Polisi nchini Kenya imeimarisha operesheni za usalama katika mji wa Mandera uliopo mkoa wa Kaskazini Mashariki mwa Kenya, na kuwasaka wapiganaji wa al-Shabaab waliovamia misikiti miwili na baadaye . . .
Kizaazaa kilishuhudiwa katika uwanja wa ndege wa Heathrow jijini London nchini Uingereza baada ya mwanamume kuvua nguo zake na kwenda haja kubwa katika ndege ya British Airways.Kwa mujibu wa jarida la . . .
Takriban watu 50 waliuawa na karibu wengine 300 kujeruhiwa katika ghasia zilizozuka nchini Chad siku ya Alhamisi huku mamia wakiingia mitaani kudai mabadiliko ya haraka kuelekea utawa . . .
Mahakama ya wilaya Nkasi mkoani Rukwa imemhukumu kifungo cha maisha jela mfanyabiashara wa mjini Namanyere, Athanas Exavery (32) baada ya kumtia hatiani kwa kosa la kumbaka mtoto wa kike wa miaka . . .
Jeshi la Polisi mkoa wa Kilimanjaro, kitengo cha makosa ya kimtandao, linawahoji wafanyakazi kadhaa wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kaskazini ya KCMC ya mjini Moshi kwa tuhuma za makosa mbalimbali y . . .
Watu wenye silaha walivamia hospitali mbili katika mashambulizi tofauti kaskazini-magharibi na katikati mwa Nigeria, afisa wa eneo hilo na shirika la misaada walisema Jumanne.Wahalifu wenye silaha nzi . . .
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskiy amesema Urusi kutumia ndege zisizo na rubani za Iran ili kuyashambulia maeneo ya Ukraine, kunaweka wazi kuwa Urusi imefilisika kisiasa na kijeshi licha ya miongo ka . . .
Makombora ya Russia yameharibu mitambo ya umeme na maji katika sehemu kadhaa nchini Ukraine leo Jumanne, katika hatua inayoonekana kama wanajeshi wa Russia kuharibu mifumo muhimu ya Ukraine kwa makusu . . .
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, imemhukumu kunyongwa hadi kufa mshitakiwa Hemed Ally baada ya kupatikana na hatia ya kumuua, Farhani Maluni ambaye alikuwa mkatisha tiketi za mabasi ya kampuni ya waid . . .