Miss Argentina na Miss Puerto Rico Wafunga Ndoa ya Jinsia Moja

Miss Argentina 2019 na Miss Puerto Rico 2019 wametangaza kwamba wameoana.

Mariana Varela and Fabiola Valentín, walianza kutoka kimapenzi tangu 2020 kwenye shindano la Miss Grand International.


Wawili hao tangu 2020 waliishi kama wapenzi lakini kwa siri kubwa, ila hivi sasa penzi lao wameliweka hadharani na wamefunga ndoa.


Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii