Mtoto wa kiume wa Davido mwenye umri wa miaka 3 afariki dunia baada ya kuzama katika swimming pool katika nyumba yao huko Banana Island
Kabla, Davido na Chioma walikuwa wamesafiri kwenda mji wa Ibadani kwa ajili ya tukio la kifamilia na kumuacha mtoto wao na wasaidizi wa hapo ndani na haijajulikana ilifikaje katika swimming pool, kuzama kisha kufariki
Pia imeelezwa watu wengine waliokuwa hapo nyumbani kwa Davido wameitwa polisi kwa mahojiano kuhusu tukio hilo ambalo limemuacha Davido na Chioma katika taharuki ya majonzi
Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii