BINTI ATUHUMIWA KWA UCHAWI

Flora juma mwenye umri wa mika 18, amabe alikua akifanya kazi za ndani katika familia moja iliyopo mtaa kombo masai, kata ya malolo mkoani tabora, amejikuta matatatni kwa kuuhumiwa na bosi wa kuwa binti huyo ni mchawi na kukuta begi la lina dawa za kienyeji.

Mama wa familia Shamira Ngoma, amesema alianza kupata sintofahamu juu ya binti huyo baada ya siku ya kwanza kukagua begi lake na kukuta vifurushi vya dawa za kienyeji ambapo binti huyo alijitetea kwa kusema kuwa dawa hizo huwa anatumia kwa kujitibu magonjwa ya tumbo.

Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii