Mlinzi wa Ida Odinga Apigwa Risasi

Mlinzi wa mkewe Raila Odinga, Ida Odinga, ameuawa kwa kupigwa risasi na majambazi nyumbani kwake Riat Kisumu.

Inaarifiwa Barrack Jaraha alipigwa risasi na watu wasiojulikana Ijumaa aubuhi akiwa nyumbani kwake mtaani Riat.

Kamanda wa polisi eneo la Nyanza Karanja Muiruri anasema uchunguzi umeanzishwa kuhusiana na kisa hicho ili kujua kilichosababisha mauaji hayo.

Muiruri alisema Jaraha alikuwa nyumbani wake Riat, mita kadhaa kutoka nyumbani kwa Odinga, wakati alipigwa risasi 5am.

Duru kutoka kwa familia zinasema Jahara hakuwa kwenye zamu kazini huku zikiongeza kwamba Ida alikuwa

Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii