YANGA wamethibitisha rasmi leo Agosti 12, 2022 kuachana na aliyekuwa Afisa wa habari na mawasiliano wake, Hassani Bumbuli. . . .
Katibu mkuu wa Umoja wa mataifa Antonio Guterres Alhamisi ametoa wito wa kusitisha harakati za kijeshi karibu na jengo la kiwanda cha nyukli . . .
Polisi wa Afrika Kusini Alhamisi wamesema wamewakamata watu 20 wanaoshukiwa kuwa miongoni mwa watu waliochochea vurugu ambazo zilisababisha . . .
Utadhani unatazama filamu ya kutisha; hivyo ndivyo unavyoweza kusema unapofika Kijiji cha Imbilili Juu, Halmashauri ya Mji wa Babati M . . .
Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya na wenzake wanne wamefikishwa tena katika mahakama ya hakimu mkazi Mos . . .
Pacha aliyesalia ‘Rehema’ kati ya mapacha wawili waliotenganishwa Julai Mosi mwaka huu, amefariki dunia jana saa 5 asubuhi Agosti 11, wa . . .
Mamlaka nchini Mali zimetangaza siku tatu za maombolezo ya kitaifa kuanza leo, baada ya mashambulizi mawili yaliyofanywa na makundi ya Kiisl . . .
Klabu ya Simba imeomba radhi kwa Waumini wa Dini ya Kikristo, Viongozi wa Madhehebu yote ya Kikristo, Serikali, Shirikisho la Mpira wa Miguu . . .
Elizabeth Cheleo mwenye umri wa miaka 37 mkazi wa mtaa wa Nsemulwa, Kata ya Nsemulwa wilaya ya Mpanda mkoani Katavi, amepoteza maisha kwa ku . . .
Muqtada al-Sadr anaendelea na mapambano yake na wapinzani wake wa kisiasa nchini Iraq. Mhubiri huyo wa Kishia anatoa wito wa kuvunjwa kwa Bu . . .
Wakenya kwa siku ya pili leo, bado wanasubiri matokeo ya uchaguzi wa urais, baada ya kupiga kura siku ya Jumanne. Maafisa wa tume huru . . .
Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump Jumatano amekataa kujibu masuali katika uchunguzi kuhusu utaratibu wa biashara ya familia yake, akit . . .
Maafisa wawili wa polisi wameuawa Jumatano nchini Sierra Leonne baada ya maandamano dhidi ya hali ngumu ya uchumi kugeuka kuwa mapambano kat . . .
Maelfu ya waandamanaji wenye hasira nchini Afrika Kusini waliwasaka wachimba migodi wasiokuwa na vibali baada ya ubakaji wa wanawake wanane . . .
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema Serikali yake haina mpango wa kukata maeneo kwa kuyapandisha hadhi, badala yake wanajielekeza . . .
Shirika la Kimataifa la kutetea haki za binadamu lililo na makao yake mjini London Amnesty International, limesema kuwa vikosi vya Ukraine v . . .
Spika wa baraza la wawakilishi la Marekani Nancy Pelosi amesema leo mjini Tokyo kuwa Marekani "haitairuhusu" China kuitenga Taiwan, baada ya . . .
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania TCRA imesema inaangalia mpango wa kuzipa kipaumbele na kuziwezesha kiuchumi runinga za mtandaoni kupitia mfu . . .
Mzazi aliyepokea mahari ya kumuoza binti wa miaka 15 ambaye ni mwanafunzi wa kidato cha kwanza katika Sekondari ya Makang’wa, ametem . . .
Hukumu ya mchezaji wa mpira wa kikapu wa Marekani Brittney Griner kwenda jela miaka 9 nchini Urusi kwa ulanguzi wa madawa ya kulevya, katika . . .
Mjumbe wa Markani kwenye Umoja wa Mataifa Alhamisi ameanza ziara yake barani Afrika, akisema kwamba madhumuni yake ni kutadhmini namna Marek . . .
Viongozi wa Sudan Kusini Alhamisi wamesema kwamba serikali itabaki madarakani kwa miaka miwili zaidi, ili kukamilisha mageuzi ya . . .
Kocha msaidizi na mtaalamu wa viungo Simba, Karim Sbai amesema kwa muda wa wiki mbili aliokuwa kwenye kikosi hicho amefanikiwa katika maeneo . . .
Morrison ameanza kazi rasmi Yanga na leo akiingia siku ya nne mazoezini, lakini kocha mmoja fundi wa mazoezi ameshtukia kitu kwa winga huyo . . .
KINARA wa Azimio Raila Odinga alipata ushindi mkubwa baada ya Mahakama Kuu kuamuru Alhamisi daftari la sajili ya wapiga kura litumike . . .
. . .
Msanii wa Bongo Fleva, Faustina Charles Mfinanga ‘nandy’ ameamua kufunguka ya moyoni kuhusu mahaba anayopewa na mumewe ambaye pia ni . . .
Rais Joe Biden wa Marekani amesaini amri inayolenga kulinda haki ya kutowa mimba. Uamuzi huo ni kujibu uamuzi wa hivi karibuni wa Mahakama . . .
Taiwan imesema imetuma ndege mbili kuziteka ndege za kivita za China karibu na kisiwa hicho chenye utawala wake wenyewe. Taipei imesema nd . . .
Waziri wa mambo ya ndani nchini humo Fred Matiangi ameeleza kwamba wagombea viti vya ubunge wanawahonga wapiga kura walioko vijijini kwa . . .
Tume inayofuatilia utangazaji nchini Nigeria imetoa adhabu ya faini ya naira milioni 5, sawa na dola 12,013 kwa kituo cha televisheni . . .
China Jumatano imepiga marufuku uagizaji wa matunda na samaki kutoka Taiwan wakati pia ikisitisha upelekaji wa mchanga wa ujenzi kisiwan . . .
Zikiwa zimebaki siku 10 kabla ya Simba na Yanga kukutana kwenye mchezo wa ufunguzi wa ligi wa Ngao ya Jamii, Agosti 13 kwenye Uwanja wa . . .
Klabu ya wananchi ya Raja Athletic ya Morocco iko katika hesabu kali ikipigania saini ya winga wa Simba, Pape Sakho na fedha ambayo wameit . . .
Rommy Jones almaarufu RJ the DJ kwa mara ya kwanza amefunguka kuhusu sakata la picha za utupu wake kuvujishwa mitandaoni na mwanaharakati mm . . .
Waziri wa mambo ya nje wa Urusi Sergei Lavrov amewasili nchini Myanmar kufanya mazungumzo na viongozi wa kijeshi wa nchi hiyo ya Asia Kusini . . .
Umoja wa Mataifa umesema pande hasimu kwenye vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini Yemen zimekubaliana kuongeza muda wa mkataba wao wa amani k . . .
Marekani Jumanne imeongeza vikwazo vipya, vikilenga watu mashuhuri wa Russia akiemo mwanamke aliyewahi kushiriki kwenye michezo ya Olimpiki . . .
Wanafunzi tisa wa Chuo Kikuu cha Moi nchini Kenya wanashikiliwa na polisi kwa tuhuma zinazosemekana za kusambaza jumbe za kumchafua mgombea . . .
Ofisi ya mwanasheria mkuu wa Mexico imesema Jumanne kuwa inamchunguza Enrique Peña Nieto, ambaye alitawala nchi hiyo kati ya mwaka 2012 na . . .