KIUNGO Mshambulijai wa Yanga, Stephane Azizi Ki amesema kuwa licha ya kuwa kinara katika mbio za ufungaji bora wa Ligi Kuu Bara lakini hafikirii kabisa kuwa mfu . . .
Mohamed Hussein 'Tshabalala' amempongeza mchezaji mwenzake wa timu ya Yanga ambao ni watani zao wa jadi, Nickson Kibabage kwa kuonyesha kiwango bora katika mchezo wa jana . . .
Aliyewahi kuwa Mchezaji na Kocha wa Simba SC, Jamhuri Kihwelo ‘Julio’ amemwagia sifa Kocha Mkuu wa timu hiyo, Abdelhak Benchikha, kufuatia ushindi wa mabao 2-0 waliou . . .
WAKIWA kwenye maandalizi ya mwisho kuwakabili wapinzani wao Medeama FC ya Ghana, Kocha Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi ametoa maagizo mazito kwa wachezaji wake wote ku . . .
AHMED Ally ambaye ni Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba, amefurahishwa na mabadiliko ya muda mfupi ya kikosi chao ikiwa ni siku chache tangu Kocha Mkuu raia wa Alge . . .
Klabu ya Young Africans imesafiri kuelekea nchini Ghana alfajiri ya leo kwa ajili ya mchezo wa tatu wa hatua ya makundi ya Ligi ya mabingwa Afrika dhidi ya Medeama.Afisa . . .
MANCHESTER United ipo kwenye mazungumzo na mamlaka ya soka ya Cameroon ili kumzuia Andre Onana asishiriki fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON).Kipa huyo wa mashe . . .
Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Mighh (FIFA) limeiondolea Simba SC, adhabu ya kufungiwa kusajili baada ya kuilipa Klabu ya Teungueth ya Senegal.Awali, FIFA iliifungia . . .
Meneja wa Habari na Mawasilino wa Simba SC Ahmed Ally amefichua siri iliyomvuta Kocha Mkuu wa klabu hiyo kwa sasa Abdelhak Benchikha ambaye tayari ameshawasili jijini Dar . . .
Timu ya taifa ya Italia imeshinda ubingwa wa michuano ya tenisi ya Davis Cup baada ya kuifunga timu ya taifa ya Australia kwenye mchezo wa fainali uliochezwa Malga nchini . . .
DullahMbabe” ameendeleza unyonge kwa kupoteza kwa mara ya pili dhidi ya #EricKatompa wa DR Congo katika pambano lisilo la ubingwa la Uzito wa Super Middleweight lililof . . .
Rais Samia Suluhu Hassan, amenunua tiketi zote za mzunguko katika Uwanja wa Benjamini Mkapa jijini Dar mechi dhidi ya Morocco.Akizungumza mara baada ya kuwapokea Taifa St . . .
Beki wa Manchester United, Diogo Dalot amejiondoa kwenye kikosi cha Ureno kwa ajili ya mechi za kimataifa za mwezi huu.Ureno maarufu kama ‘Selecao’ tayari wamejihakik . . .
Klabu ya Manchester City imeweka rekodi ya mapato ya Premier League kufikia Pauni 712.8m kwa mwaka wa fedha wa 2022-23.Hii inazidi rekodi ya Pauni 648.4m iliyowekwa mwezi . . .
Klabu ya Manchester United imepata pigo baada ya majeruhi wapya ya Rasmus Hojlund na Christian Eriksen baada ya ushindi wao wa 1-0 dhidi ya Luton Town, juzi Jumamosi (Nov . . .
Novak Djokovic amejihakikishia kumaliza nafsi ya kwanza kwenye viwango vya ubora wa wachezaji wa tenisi Dunia upande wa wanaume mwaka 2023. Djkovic anamaliza mwaka akiwa . . .
Mchezaji soka wa Ghana Raphael Dwamena amefariki dunia kwa masikitiko baada ya kuzimia wakati wa mchezo wa Albania Superliga kati ya FK Egnatia na KF Partizani. Mche . . .
Viongozi wa Ligi ya Premia Manchester City watasafiri hadi Chelsea Jumapili huku Erling Haaland akiwa katika hali ya kutisha huku Arsenal na Tottenham zikijaribu kupata n . . .
Kuna uwezekano mkubwa kwa timu ya A-Etifag ya Saudi Arabia ikawasilisha ofa ya kuwasajili kwa pamoja Kevin de Bruyne wa Man City na Victor Osimhen wa SSC Napoli katika di . . .
Baadhi ya Mashabiki na Wanachama wa Simba SC wameanzisha kampeni katika mitandao ya kijamii wakishinikiza baadhi ya viongozi wa klabu hiyo waondoke (kujiuzulu) kwa kile w . . .
Imefahamika kuwa Uongozi wa Klabu ya Arsenal unajutia uamuzi wa kumsajili Mshambuliaji kutoka nchini Ujerumani, Kai Havertz kwenye dirisha lililopita la majira ya kiangaz . . .
Klabu ya Simba imefikia makubaliano ya pande zote mbili ya kuvunja mkataba na Kocha Mkuu wa kikosi cha kwanza Roberto Oliveira Goncalves Do Carmo (Robetinho).Taarifa iliy . . .
Nyota wa klabu ya Wydad Casablanca Oussama Falouh amefariki Dunia baada ya kupata majeraha yaliyotokana na ajali ya gari aliyoipata wiki kadhaa zilizopita.Oussama alikuwa . . .
PRESHA imezidi kuongezeka kuelekea mchezo wa Kariakoo Dabi, ni baada baadhi ya viongozi kumtaka kipa namba moja Aishi Manula akae golini kuchukua nafasi ya Ally Salim.Dab . . .
Mbio za changamoto za Newcastle katika Kombe la Carabao zitaendelea baada ya vijana hao wa Eddie Howe kutolewa ugenini na Chelsea katika robo fainali.The Magpies walipata . . .
Kiungo wa zamani wa Leicester na Chelsea Danny Drinkwater alitangaza kustaafu siku ya Jumatatu baada ya kukiri kuwa alikuwa "katika hali ya sintofahamu" kwa muda mrefu sa . . .
Lionel Messi ndiye anayepewa nafasi kubwa ya kushinda tuzo ya Ballon d'Or ya nane katika maisha yake ya ajabu wakati sherehe za mwaka huu za kutwaa taji la mwanasoka bora . . .
Baada ya timu yake kupoteza mechi ya pili mfululizo, Kocha Msaidizi wa Azam FC, Bruno Ferry amesema wachezaji wake hawakuwa na kiwango bora lakini wataendelea kujifunza k . . .
Mama wa Mshambuliaji wa Mabingwa wa Soka nchini Ufaransa PSG Kylian Mbappe amefichua siri ya mwanaye kwa kusema, aliwahi kuvaa jezi za Manchester United zilizoandikwa jin . . .
Manchester City ikiongozwa na Erling Haaland ilishinda mabao 3-1 dhidi ya Young Boys na kuongoza kundi G, ikifuatiwa na RB Leipzig iliyopata ushindi dhidi ya Red Star Bel . . .
59 mins agoBaada ya kufanikiwa kufunga ‘Hat Trick’ dhidi ya Azam FC Kiungo Mshambuliaji wa Young Africans, Stephane Azizi Ki ameyachambua mabao yake hayo matatu.Aziz . . .
Kinda wa FC Barcelona Marc Guiu ameweka rekodi ya kuwa mchezaji mwenye umri mdogo zaidi kufunga bao kwenye mchezo wake wa kwanza kucheza kwenye kikosi cha kwanza cha timu . . .
Mikel Arteta alifichua Ijumaa kwamba "mfano wa kuigwa" Mauricio Pochettino alimshauri kutojihusisha na ukocha anapoitayarisha timu yake ya Arsenal kuivaa Chelsea.Wanaume . . .