Mgunda kurejea Coastal Union

 Inaelezwa kuwa juma mgunda yupo mbioni kurejea Coastal Union kwa nia ya kwenda kuiongezea nguvu timu hiyo itakayoshiriki michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika. Inaelezwa Mgunda anatakiwa na Coastal kwa uzoefu alionao anga za kimataifa ili asaidiane na David Ouma na inadaiwa mazungumzo yapo mahali pazuri na muda wowote inaweza kutangazwa kurejea kwa Mgosi kwa Wagosi.

Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii