logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Habari Za Michezo

  • Pata Habari za Michezo Kwa Undani
news
SOKA
  • Na Asha Business
  • August 2, 2023

Uwanja wa Dodoma mbioni kujengwa

Serikali imewatoa hofu watanzania na kusema inaendelea na mchakato wa kumpata mkandarasi wa kuanza ujenzi wa Uwanja wa kimataifa mkoani Dodoma.Pamoja na uwanja wa Dodoma, . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • August 1, 2023

Yanga Watoa Ufafanuzi Mchezaji Bigirimana Kuonekana Kambini Avic "Kaja Kupiga tu Mazoezi"

Uongozi wa Yanga umeelezea sababu ya aliyekuwa nyota wao Gael Bigirimana kuonekana kambini Avic Town ni kusalimiana na wenzake.Akizungumzia ishu hiyo leo Agosti Mosi, 202 . . .

news
Top Story
  • Na Asha Business
  • July 31, 2023

Mrithi wa Mayele asema haya

Mshambuliaji mpya wa Young Africans, Hafiz Konkoni, ametamba kuisaidia Klabu Bingwa Tanzania Bara Young Africans kufanya vizuri, ili kutetea mataji na kutikisa vilivyo kw . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • July 31, 2023

Manchester United yaongeza mkataba wa miaka 10 na Adidas

Manchester United wamepata dili kubwa zaidi la jezi katika historia ya Premier League baada ya kutangaza ushirikiano mpya wa miaka 10 na adidas wenye thamani ya pauni mil . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • July 31, 2023

Chelsea kusajili beki AS Monaco

Kocha Mkuu wa Chelsea Mauricio Pochettino anaendelea kukijenga kikosi chake, huku taarifa zikieleza kuwa amejipanga kumsajili Axel Disasi akitokea AS Monaco ya Ufaransa.C . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • July 30, 2023

Yanga Imemsajili Mrithi wa Fiston Mayele

Klabu ya Yanga imethibitisha kumsajili mshambuliaji Hafiz Konkoni kutoka klabu ya Bechem United inayoshiriki ligi kuu nchini Ghana.Konkoni (23) raia wa Ghana ambaye aliku . . .

news
Top Story
  • Na Asha Business
  • July 30, 2023

Liverpool yamtema rasmi Fabinho

Kiungo kutoka nchini Brazil Fábio Henrique Tavares ‘Fabinho’ ameachwa katika kikosi cha Liverpool ambacho kipo Singapore kwa ajili ya ziara ya maandalizi ya msimu mp . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • July 28, 2023

Mtanzania Asajiliwa FC Nantes ya Ufaransa

Mtanzania Omar Abbas Mvungi aliyekuwa anakipiga MFK Vyskov, amejiunga na FC Nantes ya Ufaransa.Mvungi aliyekulia kwenye kituo cha Cambiasso anakuwa mchezaji wa Kwanza Mta . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • July 27, 2023

Rwanda iliifunga Msumbiji katika Fainali ya Kombe la Davis

Rwanda ilianza kampeni ya Kundi IV ya Kombe la Davis Cup Afrika kwa njia nzuri baada ya kuwalaza Msumbiji katika mechi za ufunguzi za Kundi B za michuano hiyo iliyofungul . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • July 26, 2023

Straika Mpya Yanga, Mayele Mtupu Kutoka Cameroon

UONGOZI wa Yanga, umekamilisha taratibu za usajili wa mshambuliaji Emmanuel Mahop Dikongue kutoka Cameroon ambaye sifa zake zinafafana na Mkongomani, Fiston Mayele.Yanga . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • July 26, 2023

Kylian Mbappe, Al Hilal kukaa meza moja

Uongozi wa Mabingwa wa Soka nchini Ufaransa Paris Saint-Germain umempa ruhusa Mshambuliaji Kylian Mbappe kuzungumza na Al Hilal baada ya klabu hiyo ya Saudi Arabia kutuma . . .

news
Top Story
  • Na Asha Business
  • July 25, 2023

Kibegi cha Simba Chawa DILI, kupigwa mnada wiki hii

Wekundu wa Msimbazi Simba SC, wamesema wanatarajia kukipiga mnada kibegi cha jezi ambacho kilipanda Mlima Kilimanjaro kwa jili ya uzinduzi wa jezi za msimu mpya wa 2023-2 . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • July 24, 2023

Mbappe azua balaa Paris St-Germain

Klabu ya Paris St-Germain imelaumiwa kwa unyanyasaji wa kimaadili baada ya kumuacha Kylian Mbappe katika ziara ya maandalizi Asia huku Umoja wa Wanasoka wa Ufaransa ukise . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • July 21, 2023

Man Utd Yakamilisha Usajili Wa Andre Onana Kwa Pauni Milioni 47.2

Manchester United wamekamilisha usajili wa mlinda mlango Andre Onana kutoka Inter Milan kwa kima cha pauni milioni 47.2m.Mchezaji huyo wa kimataifa wa Cameroon mwenye umr . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • July 21, 2023

Joshua Kimmich bado yupo sana

Mabingwa wa Soka nchini Ujerumani FC Bayern Munich wameweka wazi msimamo wao kuhusu kiungo wa kati Joshua Kimmich, haujabadilika na hawana nia ya kumwacha aondoke katika . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • July 20, 2023

Azam FC kuzindua leo jezi za msimu wa 2023/24

Matajiri wenye Jiji lao wasiokuwa na mbamba @azamfc leo wanatarajia kuzindua jezi zao mpya kwaajili ya msimu wa 2023/24.Wauza lambalamba na Waoka Mikate hao wa @azamfc wa . . .

news
Top Story
  • Na Asha Business
  • July 20, 2023

Kombe la Dunia la Wanawake 2023: Nyota wa Australia Sam Kerr Hata Cheza Kutokana Na Jeraha

Nahodha wa Australia Sam Kerr ameondolewa kwenye mechi mbili za kwanza za mwenyeji wa Kombe la Dunia ambazo ni pamoja na pambano dhidi ya Super Falcons ya Nigeria.Nyota h . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • July 20, 2023

Chelsea yamng’ang’ania Moises Caicedo

Klabu ya Chelsea ina mpango wa kuwasilisha ofa mpya Brighton ya zaidi Pauni 70 milioni ili kuipata huduma ya kiungo wa timu hiyo, Moises Caicedo dirisha hili.Taarifa zina . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • July 18, 2023

Ally Kamwe 'Kuna kazi nzito 2023/24"

Uongozi wa Klabu Bingwa Tanzania Bara Young Africans umeweka wazi kuwa kazi ipo msimu mpya wa 2023/24 kutokana na mipango makini inayosukwa kwenye klabu hiyo.Young Africa . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • July 18, 2023

Habibu Kondo kocha mpya Mtibwa Sugar

Imefahamika Rasmi Klabu ya Mtibwa Sugar imemwajiri Kocha Mzawa Habibu Kondo kuwa kocha mkuu wa timu hiyo na anaanza majukumu yake leo Jumanne (Julai 18).Kondo amechukua n . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • July 17, 2023

Ahmed Ally "Suala la Chama Lipo Kwa Viongozi"

Kundi la pili la wachezaji wa klabu ya @simbasctanzania limeondoka alfajiri ya leo nchini kuelekea Uturuki kuungana na wachezaji wengine ambao tayari wapo huko wakiendele . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • July 16, 2023

Sadio Mane afukuzwa Bayern Munich "Huna Msaada Kwenye Timu yetu"

Uongozi wa klabu ya Bayern Munich ya Ujerumani umemshauri nyota wao raia wa Senegal, Sadio Mane kuchunguza chaguzi za uhamisho.Uongozi wa Bayern umethibitisha kwa sasa ha . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • July 14, 2023

Kufuzu Kombe La Dunia 2026: Tanzania, Morocco Na Niger Kundi Moja

Timu ya Taifa ya Tanzania (TaifaStars), imepangwa Kundi E katika makundi ya kufuzu Kushiriki Michuano ya Kombe la Dunia ya mwaka 2026Katika droo iliyochezeshwa leo makund . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • July 14, 2023

Wilson Oruma "Robertinho hampendi Chama tangu siku ya kwanza"

Wakati vuguvugu la kiungo wa Simba Clatous Chotta Chama likizidi kuchukua nafasi katika midomo ya wapenda soka nchini.Mchambuzi wa Michezo kutoka EFM ametoa kauli inayoon . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • July 13, 2023

Kwenye mauzo ya Mshambuliaji huyo, Arsenal inahitaji kati ya Pauni 30 milioni na Pauni 50 milioni, hivyo kama West Ham watamchukua kwa Pauni 50 milioni, hiyo itakuwa nafuu kwa Arsenal na kuonekana kama wamepata punguzo la bei kwenye usajili wa Rice kutoka West Ham, ambao wanahitaji Mshambuliaji mpya. West Ham wanataka kutumia pesa za Rice kumsajili Harvey Barnes na James Ward-Prowse.

Klabu ya Arsenal huenda ikapata ahueni kidogo kwenye mkwanja kunasa huduma ya kiungo Declan Rice kwa kuwa kuna kiasi kitarudi kutokana na West Ham United kuhitaji saini y . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • July 13, 2023

Kitasa Kipya Yanga Chachota Sh 200Mil, Aucho Ahusika Usajili Wake

Beki wa kati ya Timu ya Taifa ya Uganda na Klabu ya SC Villa ya nchini humo, Gift Fred.IMEELEZWA kuwa Yanga imetumia dau la Sh 200Mil kufanikisha usajili wa beki wa kati . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • July 11, 2023

Kyle Walker yuko njia panda Man City

Klabu Bingwa nchini England Manchester City imempa ofa ya mkataba mpya beki wa England, Kyle Walker ili kujaribu kumshawishi abaki katika klabu hiyo msimu huu wa majira y . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • July 11, 2023

Ihefu FC kumng’oa Pascal Wawa

Uongozi wa Ihefu FC umegonga hodi Singida Fountain Gate kwa ajili ya kumpata beki wa kati, Pascal Wawa kwa mkopo utakaomuweka kwenye viunga vya Mbarali hadi msimu ujao.Ih . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • July 10, 2023

Usajili wa Caicedo waibua vicheko London

Mashabiki wa The Gunners ‘Arsenal’ wamewacheka wale wa Chelsea baada ya kufahamika Brighton wanataka zaidi ya Pauni 100 milioni kumuuzaMoises Caicedo.Kiungo huyo wa E . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • July 9, 2023

Chama Akanusha Taarifa za Kwenda Kujiunga Yanga

Hizi taarifa zinasambaa nipende kukanusha ni za uongo zipuuzwe mara moja.Sijawai kuwa na mawazo ya kwenda yanga wala kujiunga na yanga tangu niwe mchezaji wa Simba. Naipe . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • July 7, 2023

Man Utd yaweka Milioni 40 kwa Onana

Klabu ya Manchester United imeiambia Inter Milan kwamba iko tayari kutoa Pauni Milioni 40 ili kufanikisha usajili wa Mlinda Lango wao, Andre Onana, kwa mujibu wa ESPN.Maz . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • July 6, 2023

Fabrice Ngoma Aliyetekwa na Simba Ashitakiwa FIFA na Al Hilal

MARA baada ya wachezaji wa timu ya Al Hilal kutaka kusitisha mkataba huku wakihusishwa na baadhi ya timu za hapa nchini, mabosi wao wameamua kuwafungulia mashtaka Fifa.Wa . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • July 5, 2023

Golikipa wa PSG Rico akiwa katika chumba cha wagonjwa mahututi baada ya ajali

Kipa wa Paris Saint-Germain Sergio Rico yuko nje ya uangalizi maalum, ripoti ya hospitali ilithibitisha Jumatano, huku akiendelea kupata nafuu kutokana na jeraha la kiwew . . .

Kurasa 8 ya 21

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho

Habari Zaidi

  • XABI ALONSO KUANZA KUIFUNDISHA MADRID KOMBE LA DUNIA

    • dakika iliopita
  • XABI ALONSO KUANZA KUIFUNDISHA MADRID KOMBE LA DUNIA

    • 2 dakika zilizopita
  • Foby "Kwenye Lebo unaingia msafi ukitoka mchafu"

    • 24 dakika zilizopita

Habari Category

  • Habari Zote
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
  • Habari Ndani Na Nje
  • Video
  • Uchumi Na Biashara
  • Magazeti
  • Makala

Wasiliana Nasi

JEMBE NI JEMBE GROUP ,
P. O. Box 1334,
PLOT NO.111/BLOCK "A"
HOUSE No:43 MAKONGORO STREET,
ILEMELA MWANZA - TANZANIA

info@jembenijembe.com

+ 255-786-385-475 ,
+ 255-716-385-475.

  • PRIVACY POLICY
  • TERMS AND CONDITIONS
  • STAFF LOGIN

POWERED BY

© Jembe Ni Jembe Companies.

Created And Maintained By XFoundationCode