Aziz Ki Ageuka Dhahabu Klabu Nne Zataka Saini yake

Inaelezwa kuwa timu nne Barani Afrika Orlando Pirates, MC Alger, Wydad Casablanca na Al Ahly Benghazi zinawinda saini ya kiungo wa Yanga SC, Stephan Aziz K raia wa Burkina Faso.

Tayari Kuna taarifa kadhaa zimekuwa zikiekeza kuwa huenda nyota huyo akataka kwenda kujaribu Changamoto mpya sehemu nyingine baada ya kuitumikia Yanga SC Kwa takribani miaka mitatu.

Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii