1.poor signing of players in two years
Huu ni mfano namba Moja ambao mmefeli kwa kwa kiasi kikubwa coz sajili za wachezaji wengi kwa asilimia kubwa hazijalipa.
2. Bad replacement of players
Aina ya mbadala wa wachezaji wa city katika baadhi ya maeneo hakuna wabadala sahihi coz quality ya players ni vitu viwili tofauti tofauti kabisa.
3.injuries of players
Kuongezeka idadi ya majeraha na kukaa muda mrefu na kuchelewa kupona haraka.
4. Failure in scouting of players
Kiukweli kabisa man city katika miaka hii hapa wamefeli katika kuchagua wachezaji wazuri katika timu tofauti na ligi tofauti ambao wanaweza kuisadia man city.
5. No rusherfull of players
Man city wameshindwa kubadili kikosi kilichopata mafanikio ndani ya Miaka minne pasipo kuangalia baadhi ya maeneo hayo.
Pia Mara ya mwisho Pep Guardiola kupoteza michezo minne ndani ya mashindano tofauti ilikuwa ni mwaka 2015 akiwa anafundisha Bayern Munich