De Bruyne Aomba Kujiunga Real Madrid

Nyota wa klabu ya Manchester City, Kevin De Bruyne yupo tayari kupunguza nusu ya mshahara wake ili acheze misimu miwili au mitatu Real Madrid.


Nyota huyo raia wa Ubelgiji amewasiliana na wakala wake na kumwelekeza awasiliane na Madrid ili apate nafasi ya kuitumikia klabu hiyo kama mbadala wa Toni Kroos.

Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii