logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Habari Zote Za Kisiasa

  • Pata Habari Zote Za Kisiasa
Bungeni
  • Na Asha Business
  • April 5, 2022

Tanzania ina upungufu wa vituo vya polisi 470

Serikali imewaomba wabunge, wananchi na wadau kushirikiana katika ujenzi wa vituo vya polisi kwa kuwa ina uhitaji wa vituo vya polisi daraja B, 470Wito huo umetolewa leo, Aprili 5, 2022 na Wazi . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • April 3, 2022

Raia wa Hungary wanapiga kura kumchagua Waziri Mkuu

Wapiga kura nchini Hungary leo wanapiga kura huku wakikabiliwa na kibarua kizito cha kuchagua muungano wa vyama vya upinzani wenye sura ya kimagharibi, au kuendeleza utawala wa waziri mkuu mwenye . . .

Bungeni
  • Na Asha Business
  • March 31, 2022

Rais wa Tunisia alivunja bunge.

Rais wa Tunisia Kais Saied Jumatano amelivunja bunge la nchi hiyo na kusema kwamba wabunge watafunguliwa mashtaka, akijiongezea mamlaka zaidi kwa kipindi cha miezi 8 na kuongeza zaidi mzozo wa k . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • March 29, 2022

Joto la kisiasa lapanda kuelekea uchaguzi wa urais Ufaransa

Nchini Ufaransa, kampeni za kisiasa zimeshika kasi, kuelekea Uchaguzi wa urais uliopangwa kufanyika Aprili 10, wakati huu kura za maoni zikionesha kuwa, rais Emmanuel Macron ana nafasi kubwa . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • March 23, 2022

Wakongwe wa vuguvugu la MauMau lililopigania uhuru wa Kenya, wamshtaki mahakamani Makamu rais William Ruto.

Wakongwe wa vuguvugu la MauMau lililopigania uhuru nchini Kenya, wamemshtaki Naibu Rais wa Kenya William Ruto katika mahakama kuu jijini Nairobi kwa kile wanachokitaja kuwa ni kuasi majukumu ya . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • March 23, 2022

Chama kikuu cha upinzani nchini Sudan Kusini chajiondoa kwenye mchakato wa kufuatilia utekelezaji wa makubaliano ya amani.

Chama kikuu cha upinzani nchini Sudan Kusini Jumanne kimesema kinajiondoa kwenye tume inayofualitia mchakato wa amani nchini humo, ikiwa pigo kwa taifa hilo linalotafuta uthabiti. Chama c . . .

vita
  • Na JZ The Brand
  • March 1, 2022

Mtoto wa Museveni anaunga mkono uvamizi wa Urusi nchini Ukraine

Mtoto mwenye nguvu kiutawala wa Rais wa Uganda Yoweri Museveni, Luteni Jenerali Muhoozi Kainerugaba, ameelezea kuunga mkono uvamizi wa Urusi nchini Ukraine.Jenerali Kainerugaba - ambaye ni kamanda . . .

Kitaifa
  • Na JZ The Brand
  • March 1, 2022

VIONGOZI EPUKENI MGONGANO WA MASLAHI MIRADI YA BARABARA

Wabunge wa mkoa wa Rukwa wameshauri viongozi kujiepusha na mgongano wa maslahi kwa kutofanya kazi za ukandarasi wa miradi ya barabara ndani ya mkoa huo ili watendaji wapate nafasi ya kusimamia mrad . . .

Afrika
  • Na JZ The Brand
  • February 28, 2022

Shambulio kubwa latokea katika mkutano wa upinzani Zimbabwe

Mtu mmoja ameuawa na wengine 10 kujeruhiwa katika mapigano kwenye mkutano wa chama cha upinzani huko Kwekwe, katikati mwa Zimbabwe, Jumapili. Wafuasi wa Chama cha Wananchi (CCC) walivamiwa na kund . . .

Afrika
  • Na JZ The Brand
  • February 28, 2022

Shambulio kubwa latokea katika mkutano wa upinzani Zimbabwe

Mtu mmoja ameuawa na wengine 10 kujeruhiwa katika mapigano kwenye mkutano wa chama cha upinzani huko Kwekwe, katikati mwa Zimbabwe, Jumapili. Wafuasi wa Chama cha Wananchi (CCC) walivamiwa na kund . . .

Mahakamani
  • Na JZ The Brand
  • February 16, 2022

Hatma Kesi ya kina Mbowe kujulikana Ijumaa

 Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi imesema Ijumaa Februari 18, 2022 itatoa uamuzi iwapo Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake watatu wana kesi ya kujibu . . .

Bungeni
  • Na JZ The Brand
  • February 14, 2022

Sakata la wabunge 19 wa Chadema laibuka tena

Spika wa Bunge, Dk Tulia Ackson amesema wabunge 19 wa Viti Maalum wa Chadema waliopo bungeni wapo kihalali.Hata hivyo amesema anasubiri michakato halali ndani ya chama chao na ngazi zingine ikith . . .

Mahakamani
  • Na JZ The Brand
  • February 10, 2022

Kesi ya kina Mbowe yakwama

Kesi ya ugaidi inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake watatu imeshindikana kuendelea leo baada ya upande wa Jamhuri kusema shahidi wao wa 13 bado amepumzishwa hospitalini.Kes . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • February 8, 2022

DP Ruto Amjibu Rais Uhuru

Naibu rais William Ruto amemjibu Rais Uhuru Kenyatta baada ya kumtupia mishale ya kisiasa Jumatatu Feburuary 7Akiongea eneo la Magharibi, Ruto amemwambia Rais kuwa hakuna kazi ambayo hufanywa afisini . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • January 28, 2022

Xiomara Castro aapishwa kuwa rais wa Honduras

Xiomara Castro Alhamisi ameapishwa kama rais wa kwanza mwanamke wa Honduras, kwenye hafla iliyohudhuriwa na maelfu ya watu waliokuwa wakipeperusha vibendera vya taifa hilo kwenye uwanja wa kitai . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • January 27, 2022

Rais Samia atimiza miaka 62, Hivyo ndivyo alivyoikata keki Ikulu Chamwino

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akikata keki kama ishara ya kusherehekea kumbukumbu ya siku yake ya kuzaliwa leo tarehe 27 Januari, 2022 Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • January 27, 2022

Rais Kenyatta anatarajiwa kutia saini mswaada wa Marekebisho ya Vyama vya Siasa

Rais Uhuru Kenyatta anatarajiwa wiki hii kutia saini muswaada wa Marekebisho ya Vyama vya Kisiasa kuwa sheria baada ya bunge la Seneti kuupitisha bila marekebisho kwa kura ya Maseneta 28 dhidi y . . .

Drive Mix
  • Na Gsengo
  • January 24, 2022

MBUNGE NEEMA LUGANGIRA AWASILISHA MAPENDEKEZO YA KUFANYIWA KAZI ILI KUIMARISHA USTAWI WA NGOs KWA KATIBU MKUU DKT ZAINABU CHAULA

MBUNGE wa Viti Maalumu kupitia Kundi la Asasi za Kiraia NGOs Tanzania Bara, Mhe Neema Lugangira kulia akiteta jambo na Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum D . . .

Top Story
  • Na Jembefmtz
  • January 20, 2022

CCM yampitisha Dk Tulia kugombea uspika

Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM imepitisha jina pekee la Dk Tulia Ackson kuwa mgombea wa kiti cha Spika kilichoachwa wazi na Job Ndugai aliyejiuluzu nafasi hiyo Januari 6, 2022.Akizungumza na waa . . .

Top Story
  • Na JZ The Brand
  • January 20, 2022

MZOZO WA UKRAINE NA URUSI

Joe Biden: "Itakuwa janga kwa Urusi ikiwa itaivamia zaidi Ukraine"Rais wa Marekani Joe Biden amesema kuwa anafikiria mwenzake wa Urusu Vladimir Putin "ataivamia" Ukraine, lakini hataki "vita kamili".A . . .

Top Story
  • Na Suzuki
  • January 1, 2022

CCM KILIMANJARO WAMTAKA NDUGAI AJITAFAKARI.

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Kilimanjaro, Patrick Boisafi amedai kuwa kauli aliyoitoa Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai, juu ya deni la taifa ni fedheha kwa Rais Samia Suluhu H . . .

Mahakamani
  • Na Jembefmtz
  • December 30, 2021

Yaliyojiri Mahakamani Kesi ya Sabaya

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Arusha leo Jumatano Desemba 29, 2021 imeshindwa kutoa uamuzi mdogo katika kesi inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake sita baada ya mawakil . . .

Top Story
  • Na Jembefmtz
  • December 30, 2021

Polepole Akanusha Kutaka Kuanzisha Chama Kipya

Mbunge wa Kuteuliwa na Mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi Humphrey Polepole amekanusha taarifa za kutaka kuhama chama hicho na kuunda chama kipya. Polepole ametoa kauli hiyo alipoulizwa swali enda . . .

Top Story
  • Na Jembefmtz
  • December 29, 2021

Ndugai: Kuna siku nchi itapigwa mnada

Wakati Spika wa Bunge, Job Ndugai akihoji wanaofurahia nchi kukopa na kwamba deni limefika Sh 70 trilioni, Rais Samia Suluhu Hassan amesema ni lazima serikali ikope ili kumaliza miradi ya maendeleo.Ak . . .

Top Story
  • Na Jembefmtz
  • December 29, 2021

Samia: Tutakopa fedha kujenga reli ya kisasa

Rais wa Tanzania, Samia amesema ni lazima serikali ikope ili kumaliza mradi wa Reli ya Kisasa (SGR).Rais Samia ameyasema hayo leo Desemba 28, 2021 katika hafla ya utiaji saini mkataba wa ujenzi wa SGR . . .

Kurasa 16 ya 17

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho
  • Follow Us

  • Follow Us

  • Follow Us

  • Subscribe

Unaweza Kupenda Hizi
Matukio
news
  • 3 siku zilizopita

Israel yafanya mashambulizi mapya Beirut

Matukio
news
  • 5 siku zilizopita

Iran Yatishia Kulenga Mafuta ya Nchi Jirani

Top Stories
news
  • 5 siku zilizopita

WAANDISHI WA HABARI WAKAMATWA MUSOMA WAKIRIPOTI MKUTANO WA CHADEMA ULIOSITISHWA.

Matukio
news
  • March 6, 2026

Ukraine yaituhumu Hungary kwa utekaji

Matukio
news
  • March 6, 2026

Wanamgambo wauwa wanajeshi 15 Benin

Matukio
news
  • March 6, 2026

Waziri wa Iran Atoa Tamko Uvamizi wa Wanajeshi wa Marekani Ardhini

Matukio
news
  • March 4, 2026

Merz: Bado Hakuna Majibu ya Hatma ya Iran Baada ya Vita

Matawi Yetu
  • Jembe Group
  • Jembe Development
  • Jembe Beach
  • Jembe Digital
  • Jembe DJ
  • Jembe Stage And Sound
  • Jembe Events
  • Jembe Ni Jembe Team

Habari Zaidi

  • Mtumbwi Wapinduka na Kuua Watumishi 6, Miili 3 Haijapatikana Kigoma

    • 12 masaa yaliopita
  • Mary Chatanda atimiza ahadi ya ng’ombe wawili kwa Magereza Korogwe

    • 13 masaa yaliopita
  • Wanafunzi Hatarini Kuzama Kwenye Daraja la Mbao

    • 13 masaa yaliopita

Habari Category

  • Habari Zote
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
  • Habari Ndani Na Nje
  • Video
  • Uchumi Na Biashara
  • Magazeti
  • Makala

Wasiliana Nasi

JEMBE NI JEMBE GROUP ,
P. O. Box 1334,
PLOT NO.111/BLOCK "A"
HOUSE No:43 MAKONGORO STREET,
ILEMELA MWANZA - TANZANIA

info@jembenijembe.com

+ 255-786-385-475 ,
+ 255-716-385-475.

  • PRIVACY POLICY
  • TERMS AND CONDITIONS
  • STAFF LOGIN

POWERED BY

© Jembe Ni Jembe Companies.

Created And Maintained By XFoundationCode