Baraza zima la mawaziri la Sri Lanka limejiuzulu kufuatia maandamano makubwa ya kuipinga serikali, yaliyofanyika licha ya sheria ya kutotoka nje iliyotangazwa mwishoni mwa juma lililopita. Mawazir . . .
Kiongozi wa kanisa katoliki duniani Papa Francis, Jumapili amewaenzi waandishi wa habari waliouawa katika vita vya Ukraine akisema anatumai Mwenyezi Mungu atawapa malipo kwa kuwatumikia kwa wema . . .
Ukraine imesema imechukua udhibiti wa eneo zima la Kyiv baada ya wanajeshi wa Urusi kurudi nyuma kutoka katika baadhi ya miji muhimu karibu na mji huo mkuu. Kuna hofu ya kutegwa mabomu ya ardhiniN . . .
Ndege mbili za Korea Kusini zimegongana angani wakati wa mazoezi na kuanguka karibu na kambi yake, na kuua watu wote wanne waliokuwemo ndani yake. Kulingana na mamlaka ya kijeshi, ndege hizo za ma . . .
Viongozi wa Umoja wa Ulaya na China wamekutana leo kwa mara ya kwanza katika miaka miwili, huku Brussels ikiishinikiza Beijing kutoa uhakikisho kwamba haitopatia Urusi silaha wala kuisadia Moscow . . .
Wanajeshi wa Urusi wamekabidhi udhibiti wa kiwanda cha nyuklia cha Chernobyl kwa Waukraine na kuondoka eneo hilo lililochafuliwa na mionzi kwa kiasi kikubwa mapema leo. Maafisa wa Ukraine wamesema . . .
Mapigano makali kati ya makundi hasimu huko Darfur nchini Sudan yameua watu 45, maafisa wamesema Alhamisi, huku viongozi wa kikabila wakiripoti kwamba mapigano yaliendelea katika ghasia za kikab . . .
Mwendesha mashtaka wa Uturuki katika kesi dhidi ya raia 26 wa Saudi Arabia walioshtakiwa kwa mauaji ya mwandishi wa gazeti la Washington Post Jamal Khashoggi, Alhamisi amewasilisha ombi la kusha . . .
Mamlaka ya Palestina imesema Wapalestina wawili wameuwawa leo wakati majeshi ya Israel yalipofanya uvamizi katika Ukingo wa Magharibi. Hii ni baada ya msururu wa mashambulizi yaliyofanyika nchini . . .
Urusi imesema imetangaza kusitisha kwa muda mapigano kwenye mji wa Mariupol ili kuruhusu raia kuondoka kwenye eneo hilo. Kamanda wa Urusi, Meja Jenerali Mikhail Mizintsev amesema mapigano yatasiti . . .
askari Erinest(46) na mkewe Jeska Balitazali (39) wote wakazi wa Sengerema wanashikiliwa na Jeshi la polisi Mkoa wa Mwanza kwa tuhuma za mauaji ya mtoto wao Aneth John(8) mwanafunzi wa . . .
Maafisa wa Ukraine wamesema leo kuwa wanajeshi wa Urusi wameuripua mji wa kaskazini wa Chernihiv licha ya ahadi za awali za Moscow kuwa inapunguza pakubwa baadhi ya shughuli zake za kijeshi nchini . . .
Mahakam Kuu ya nchini Kenya imetambua utoaji mimba kuwa ni Haki ya Msingi inayotambuliwa na Katiba ya Kenya Mahakama hiyo imesema kuwakamata wanaotoa mimba ni kinyume cha Sheria kwa kuwa ana . . .
Muungano wa ushirika unaoongozwa na Saudi Arabia ambao unaunga mkono serikali ya Yemen katika vita dhidi ya Wahuthi umetangaza Jumanne sitisho la mapigano kuanzia leo Jumatano asubuhi na mazungu . . .
Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky amesema mazungumzo ya amani kati ya wapatanishi wa nchi yake na Urusi yameonesha mwelekeo mzuri, ingawa ameonya kuwa Urusi haiwezi kuaminiwa. Baada ya mazungumz . . .
Mchungaji mmoja amewashauri wanaume kutooa wasichana wavivu. Mahubiri yake yalikuwa yanawalenga warembo ambao huomba nauli wakienda deti.Pasta wa Kike Azua Gumzo Akisema Warembo Wanaomba "Fare" ni Mas . . .
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inathibitisha na kushikilia kuwa Rwanda inaunga mkono waasi wa M23, vuguvugu ambalo lilishindwa miaka kumi iliyopita lakini limeibuka tena katika miezi ya hivi kar . . .
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga, Safia Jongo amesema watu sita wamefariki dunia na wengine kadhaa wamejeruhiwa baada ya gari aina ya fuso walilokuwa wakisafiria kuacha njia na kutumbukia kwenye . . .
Ida Odinga, mke wa Kiongozi wa Upinzani Kenya, Raila Odinga amekutana na fadhaa ya haja, baada ya kuzomewa alipokuwa anatoa hotuba kwenye kongamano la Jumuiya ya Wanawake Wakatoliki Kenya (CWA), D . . .
Kenya na Jersey zimetia saini mkataba utakaowezesha zaidi ya KSh 450 milioni zilizoibwa na kufichwa kwenye akaunti za nje ya nchi kurejeshwa.Pesa hizo zilifichwa kwenye akaunti za nje ya nchi na maafi . . .
Usiku wa kuamkia Jumatatu zilifanyika utoaji wa tuzo za Oscar katika ukumbi wa Dolby Theatre huko nchini Marekani. Miongoni mwa stori zilizochukua vichwa vya habari ni baada ya Muigizaji Will Smith . . .
Mzee mwenye umri wa miaka 101, hatimaye ana amani baada ya kuhitimu kutoka shule ya upili, ambayo ni ndoto kwake kutimia. Merrill Pittman Cooper alilazimika kuacha shule kwa sababu mama yake msimbe al . . .
Taasisi ya Russia ya mamluki ya Wagner Group imejaribu kuandikisha baadhi ya vitengo vyake vilivyopo barani Afrika kwenda kupigana pamoja na Russia nchini Ukraine, afisa wa juu ya jeshi la Marek . . .
Wachunguzi wa Umoja wa Mataifa wamesema wanajaribu kuthibitisha taarifa za kuwepo makaburi ya watu wengi katika vituo vya kuwasafirisha wahamiaji nchini Libya. Umoja huo pia umesema umepokea taari . . .