Korea kusini na Marekani wanajiandaa kwa uwezekano wa jaribio la nyuklia la Korea kaskazini huku mivutano ikiwa juu baada ya onyo la wiki hii kutoka Pyongyang, kwamba iko tayari kutumia silaha z . . .
Nchi ya Marekani imeweka vikwazo dhidi ya mabinti wawili wa Rais wa Urusi Vladimir Putin kutokana na ukatili wa Urusi nchini Ukraine kwa kuamini kuwa mali za Putin zimefichwa na wanafamilia. . . .
SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, ameshiriki ibada ya kitaifa ya kuaga mwili wa aliyekuwa Spika wa Bunge la Uganda, Mhe. Jacob Oulanyah katika Viwa . . .
Mahakama ya Uturuki imeamua Alhamisi, Aprili 7, kurejesha nchini Saudi Arabia faili ya mauaji ya Jamal Khashoggi, mwandishi wa habari wa Saudi Arabaia aliyeuawa mwezi Oktoba 2018 katika majengo ya . . .
Maelfu ya raia wa Sudan waliandamana katika mji mkuu wa Khartoum na miji mingine siku ya Jumatano katika maandamano mapya ya kupinga mapinduzi ya kijeshi ya Oktoba ambayo yaliitumbukiza nchi hiy . . .
Baraza kuu la Umoja wa Mataifa linapiga kura hii leo ya uwezekano wa kuisimamisha Urusi kwenye baraza lake la haki za binaadamu. Hatua hiyo ilianzishwa na Marekani kufuatia kugundulika kwa mamia y . . .
Mali imesema jana kwamba wachunguzi wa kijeshi wameanza kuchunguza matukio yaliyotokea kwenye kijiji cha Moura kunakodaiwa vikosi vyake na vya kigeni vilifanya mauaji ya kimbari. Awali mtaalamu wa . . .
Aliyekuwa Meneja wa Mfuko wa Pensheni kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) wa mkoa wa Temeke, Rajabu Kinande na wenzake wanne wamesomewa mashtaka upya katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala baada ya mshtakiw . . .
Rais wa zamani wa Burkina Faso, Blaise Compaoré, amehukumiwa Jumatano kifungo cha maisha jela kwa kushiriki katika mauaji ya mtangulizi wake Thomas Sankara, aliyeuawa pamoja na wasaidizi wake kum . . .
Tukio la kusikitisha limetokea katika Kanisa la Evangelical Winning All (ECWA) nchini Nigeria baada ya shemasi kuanguka ghafla na kufariki papo hapo akihubiri dhidi ya mauaji ya kiibada na dhabihu . . .
Mwanaharakati mashuhuri raia wa Nigeria asiyeamini uwepo wa Mungu, amehukumiwa kifungo cha miaka 24 gerezani na mahakama kuu katika jimbo la kaskazini la Kano baada ya kupatikana na hatia ya kukufuru . . .
Mwanamume mchanga mwenye umri wa miaka 25, amewashangaza wengi baada ya kufichua mipango yake ya kufunga kufunga pingu za maisha na mpenzi wake wa miaka 85.Wapenzi hao wanalandana sana wazimu na kuzam . . .
Mpigania uhuru Muthoni Wa Kirima, mwenye umri wa miaka 92, amefafanua sababu za kumruhusu aliyekuwa mama wa taifa, Mama Ngina Kenyatta, kunyoa nywele zake za rasta.Baada ya kuzifuga nywele zake za ras . . .
Polisi wa Morocco wamewakamata watu wane wanaoshukiwa kuhusika na mtandao wa kimataifa wa ulanguzi wa dawa za kulevya na viungo vya binadamu unaofanya kazi kati ya Morocco na Uturuki chanzo cha . . .
Wanajeshi wa Mali na watu wanaoshukiwa kuwa wapiganaji wa Russia waliwauwa takribani raia 300 mwishoni mwa mwezi Machi kati-kati mwa taifa lililokumbwa na mzozo la Sahel, Human Rights Watch (HRW . . .
SHIRIKA la Ujasusi la Marekani (FBI) kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi na mamlaka nyingine nchini Hispania, wameikamata na kuishikilia boti ya kifahari iliyopewa jina la Tango inayomilikiwa na V . . .
Watu wasiopungua wanane waliuawa katika ajali ya treni ya mizigo iliyotokea kusini mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, wamesema maafisa wa eneo hilo. Afisa wa habari wa ofisi ya mkoa w . . .
Polisi wa mji wa Sacramento katika jimbo la California nchini Marekani imesema imemkamata mtu anayeshukiwa kufanya shambulizi la bunduki lililouwa watu sita na kuwajeruhi wengine 12 usiku wa Jumap . . .
Marekani inao mpango wa kuwasilisha muswada wa azimio jipya katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, la kuiwajibisha Korea Kaskazini baada ya nchi hiyo kufanya jaribio jingine la makombora ye . . .
Watu wasiojulikana waliojihami kwa bunduki wameishambulia treni kwa viripuzi kaskazini magharibi mwa Nigeria, na hadi sasa watu 150 waliokuwa wakisafiri kwa treni hiyo hawajulikani walipo. Wapatao . . .
Ujerumani imesema inawafukuza wanadiplomasia 40 wa Urusi kama jibu kwa mauaji ambayo wanajeshi wa Urusi wanatuhumiwa kuyafanya katika wa Bucha nchini Ukraine. Ufaransa na Lithuania pia zimesema zi . . .
Rais wa Marekani Joe Biden alitamka Jumatatu kuwepo kwa kesi ya uhalifu wa kivita dhidi ya Rais wa Russia Vladmir Putin na kulaani ukatili unaodaiwa kufanywa na wanajeshi wa Russia ambao umegund . . .
Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky ameonya kuwa hali mbaya zaidi inaweza kutokea wakati Urusi ikielekeza tena nadharia yake kusini na mashariki mwa nchi hiyo, katika juhudi za kuiunganisha Rasi y . . .
Mbunge wa zamani wa Kasipul Kabondo amefariki dunia wakati akipokea matibabu katika hospitali ya doha nchini Qatar.Kulingana na kaka yake, Gabriel Alienda, kiongozi huyo alikumbwa na kiharusi ch . . .