Mkuu wa Shirika lenye kuwahudumia wakimbizi duniani, UNHCR Filippo Grandi amesema wa mara ya kwanza vita vya Ukraine vimeongeza idadi ya watu waliolazimishwa kuyakimbia makaazi yao duniani na kupi . . .
AJALI mbaya imetokea inayohusisha gari aina ya TOYOTA PICKUP lenye namba ya usajili T 840 DQF lililokuwa likitokea maeneo ya Tumbaku kuelekea Msamvu kugonga Behewa la Treni lililokuwa likitokea Ki . . .
MWANAUME aliyejulikana kwa jina la Hamis Mayunga (27) mkazi wa Kijiji cha Dulisi wilayani Kishapu ameuawa kwa kupigwa risasi na anayedaiwa kuwa Mlinzi wa Kampuni ya Ulinzi ya Sam Security aitwaye . . .
Serikali ya New Zealand imetangaza kwamba itatuma nchini Uingereza takriban wakufunzi thelathini wa kijeshi kuwafunza wapiganaji wa Ukraine katika kukabiliana na uvamizi wa U . . .
Afisa wa ngazi ya juu wa Umoja wa mataifai amelishtumu kundi la M23 linaloendesha harakati zake nchini Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo kwa kushambulia walinda amani wa tume ya Umoja wa mataifa . . .
Mahakama Kuu ya mji mkuu wa Pakistan, Islamabad imeamuru uchunguzi ufanyike juu ya kitendo chenye utata cha kukamatwa kwa aliyekuwa waziri wa haki za binadamu wa nchi hiyo Shireen Mazari kwa tuhum . . .
Jeshi la Mali lilizuia vikosi vya Umoja wa Mataifa kufanya doria katika mji wa kati wa Djenne kiini cha ghasia na harakati za wanajihadi katika Sahel msemaji wa UN alisema Alhamis tukio la karib . . .
Serikali ya Somalia imetoa dola milioni 9.6 ilizozikamata kutoka kwenye ndege ya Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) mjini Mogadishu miaka mine iliyopita hatua inayolenga kurekebisha uhusiano ambao . . .
Aliyekuwa kamanda vikosi vya Amhara nchini Ethiopia, jenerali Tefera Mamo, anazuiliwa katika jijini la Bahir Dar, baada yake kutoweka kwa mazingira yasiyoeleweka siku ya jumatatu jiji Addis Ababa. . . .
Mawaziri Dkt. Dorothy Gwajima wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum na Hamadi Masauni wa Mambo ya Ndani ya Nchi, wameuambia umma kuwa, vijana wadogo wanaovamia watu na kuwaka . . .
Wataliban wa Pakistan wamesema wataendeleza muda wa kusimamisha mapigano na serikali ya Pakistan hadi mwishoni mwa mwezi huu. Wajumbe wa pande hizo mbili walikutana chini ya unyekiti wa serikali y . . .
Utafiti mpya umegundua kuwa uchafuzi wa mazingira wa aina zote ndio chanzo cha vifo vipatavyo milioni 9 kwa mwaka duniani kote. Idadi hiyo ya vifo imehusishwa na sababu za hewa chafu kutoka kwenye . . .
Mbunge wa Chama cha Conservative ambaye jina lake halijatajwa amekamatwa kwa tuhuma za ubakaji na unyanyasaji wa kijinsia. Polisi wa Metropolitan mjini London wameithibitisha kuwa mwanamume mmoja a . . .
Mapacha wenye umri wa miaka 9 mkoani Arusha wanaoishi huku wanakula magodoro, wanaomba msaada ili wakatibiwe. Mama mzazi wa watoto hao, Joyce Mrema amesema tatizo lao lilianza wakiwa na umri wa m . . .
Hospitali ya Kitaifa ya Abuja, siku ya Jumatatu, Mei 16, ilikanusha madai kuwa maiti ya mwimbaji maarufu wa nyimbo za injili, Osinachi Nwachukwu, ilikuwa ikiimba ‘Ekwueme’ katika chumba cha kuhifa . . .
Watu wawili wametiwa mbaroni kwa madai ya kusafirisha pombe haramu iliyovishwa kama maiti kutoka eneo la Magharibi mwa Kenya hadi Nairobi wakitumia gari la kubebea maiti.Wawili Wanaswa Wakisafirisha C . . .
Rais wa Marekani Joe Biden alitangaza Jumanne kwamba tukio lililotokea mwishoni mwa wiki la shambulizi la risasi kwa umma katika mji wa Buffalo kwenye jimbo la New York ambapo kijana mzungu aliy . . .
Halima Yunusa amempeleka baba mkwe katika Mahakama ya Kiislamu Islamic (Sharia Court) katika jimbo la Kaduna nchini Nigeria kwa madai ya kukataa aolewe na mpenzi wake Bashir Yusuf. Taarifa iliy . . .
Nchini Burkina Faso, ukatili dhidi ya raia umeongezeka kwa kasi katika muda wa miezi tisa iliyopita, kulingana na uchunguzi wa hivi punde wa shirika la kimataifa la haki za b . . .
Juhudi zinaendelea kuwaokoa wapiganaji wa mwisho wa Ukraine ndani ya kiwanda cha chuma cha pua cha Azovstal katika mji ulioharibiwa na vita wa Mariupol. Hii ni baada ya maafisa wa Ukraine kusema w . . .
Polisi wa Israel walifyetua gesi ya kutoa machozi na risasi za mpira kuyatawanya makundi ya waandamanaji Wapalestina jana Jumatatu kufuatia machafuko yaliyotokea baada ya mazishi ya kijana wa Kipa . . .
Katika siku ya 82 ya uvamizi wa Urusi nchini Ukraine, Jumatatu hii, Mei 16, Ukraine imedai kuwa udhibiti wa eneo la mpakani huko Kharkiv kutoka mikononi mwa Urusi. . . .
Raia wa Tunisia wameandamana katika jiji la taifa hilo Tunis, kupinga hatua ya rais Kais Saied kuendelea kujilimbikizia madaraka na kupanda kwa gharama ya maisha. Vuguvugu linaloong . . .
Wanafunzi 76 wa shule ya Sekondari ya Wasichana Mkuza mjini Kibaha wamenusurika kifo baada ya moto kuteketeza bweni la shule hiyo.Moto huo ambao uliozuka ghafla umeteketeza bweni la shule hiyo ina . . .