MCHUANO wa fainali za kombe la mabingwa wa UEFA, uligeuka kuwa simanzi kwa familia moja Kaunti ya Kilifi. Hii ni baada ya jamaa wao kuuawa kilabuni alikoenda kutazama mechi hiyo kati ya Liverpool n . . .
Senegal hapo Jumapili ilifanya mazishi ya watoto 11 ambao walikufa kutokana na moto uliowaka kwenye jengo la hospitali, Meya wa eneo hilo alisema baada ya mkasa huo kuibua hasira mpya juu ya hali . . .
Maelfu ya Waisraeli, wakiwa wanapeperusha bendera ya nchi yao, wameandama katika eneo la Wapalestina, Mashariki mwa Jerusalem, katika kitendo ambacho kimelezwa kuwa cha kicho . . .
Siku ya 96 ya uvamizi wa Urusi nchini Ukraine, Jumatatu Mei 30, Ukraine imedai kurejesha kwenye himaya yake eneo la Kherson, kutoka mikononi mwa Urusi tangu kuanza kwa uvamiz . . .
Rais wa Marekani Joe Biden ametembelea familia za wanafunzi 19 na walimu wawili, waliouawa kwa kupigwa risasi wakiwa shuleni wiki iliyopita katika mji wa Uvalde, jimbon . . .
Mbunge wa Rabai William Kamoti amefariki dunia muda mfupi baada ya kuwasilisha karatasi zake za uteuzi kwa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka.OCPD wa Kilifi Jonathan Koech alithibitisha kifo cha mbunge h . . .
anajeshi wawili wanaodaiwa kuwa wa Rwanda waliokamatwa katika mpaka wa DRC na nchi hiyo wametambulishwa kwa wanahabari .Koplo Élysée Nkundabangezi na Pte Ntwari Gad walikamatwa na wakazi wa Bwish . . .
Ndege yenye watu 22 imepoteza uelekeo nchini Nepal. Kwa mujibu wa shirika la ndege la taifa hilo ndege hiyo ilipoteza mawasiliano muda mfupi baada ya kuruka saa tatu na dakika 55 ya leo katika uwa . . .
Vikosi vya Urusi vimeongeza kasi ya mashambulizi dhidi ya mji wa Sievierodonetsk mashariki mwa Ukraine baada ya kudai kuutia mkononi mji wa Lyman. Lengo kuu ni kuvizingira vikosi vya Ukraine.Kwa m . . .
Mume wa Walimu waliouawa kwa kupigwa risasi Jumanne huko Uvalde, Texas, nchini Marekani ameripotiwa kufariki kutokana na mshtuko wa moyo. Joe Garcia alikuwa Mume wa Irma Garcia, ambaye alif . . .
Maafisa kutoka Idara ya Upelelezi wa Jinai (DCI) wamemkamata mwanasiasa mmoja kwa kujipatia zaidi ya KSh350,000 kwa njia ya ulaghai kutoka kwa maajenti wa Mpesa.Benson Thuranira Kathiai anadaiwa kuwat . . .
Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo imeishtumu Rwanda kuunga mkono kundi la waasi la M23, jambo ambalo Rwanda imekanusha Alhamisi wakati jeshi la Congo likipambana na waasi hao katika eneo la mash . . .
Maafisa katika mji wa pili kwa ukubwa wa Ukraine, Kharkiv, Alhamisi wamesema mashambulizi ya makombora ya Russia yameua raia 7 na kujeruhi wengine 17, huku mapigano makali yakipamba moto kaskazi . . .
Kanisa moja nchini Jamhuri ya Demokrasia ya Congo limeadhimisha Sikukuu ya Krismasi likisherehekea kuzaliwa kwa Yesu Kristu.Tofauti na kawaida ambapo makanisa mengi ulimwenguni huadhimisha kuzaliwa kw . . .
KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida, mke na mume wamejikuta wakilipukiwa na bomu mara baada ya kufungua zawadi waliyozawadiwa na mpenzi wa zamani (x) wa dada yake na bibi harusi wakati wa sherehe ya . . .
Wakati wa Kongamano la Kiuchumi la Davos siku ya Jumatano, Waziri wa Mambo ya Nje wa Ukraine Dmytro Kouleba aliishutumu NATO kwamba "haijafanya lolote" dhidi ya uvamizi wa nchi yake ulioanzishwa n . . .
Serikali ya Gambia Jumatano imesema itamfungulia mashtaka rais wa zamani Yahya Jammeh kwa mauaji, ubakaji, mateso na madai ya uhalifu mwingine uliofanywa chini ya utawala wake wa zaidi ya miaka . . .
Serikali ya Niger inasema jeshi lake limewauwa wapiganaji 40 wa kundi la Boko Haram kwenye mapigano katika visiwa vya Ziwa Chad. Wizara ya ulinzi ya Niger imesema usiku wa Jumatano, wapiganaji wap . . .
Mwanajeshi wa Russia ambaye alikiri kumuua raia wa Ukraine amehukumiwa kifungo cha maisha jela Jumatatu na mahakama ya Ukraine, licha ya ishara kuwa Kremlin nayo inaweza kuwafikisha mahakamani b . . .
Chama kikuu cha upinzani nchini Pakistan Tehreek-e-Insaf kinachoongozwa na waziri mkuu aliyeondolewa madarakani hivi karibuni Imran Khan, kimeishtumu polisi kwa kuwazuilia mamia ya wafuasi wake ka . . .
Wanachama sita wa mfuko wa misaada ya pande zote kwa wanaharakati wanaounga mkono demokrasia wamefikishwa mahakamani huko West Kowloon Jumanne hii asubuhi. Miongoni mwao ni M . . .
Ikiwa imepita wiki moja tangu alipokamatwa na maofisa wa Idara ya Uhamiaji bila kujulikana alipohifadhiwa Askofu wa Kanisa la House of Prayer, Mulilege Kameka almaarufu kama Mzee wa Yesu, mkewe am . . .
Haikuwa kazi rahisi kufanya vizuri darasani akiwa kwenye lindi la umaskini, lakini jitihada na hamasa kutoka kwa walimu wake zilimfanya Mariam Mchiwa kupata daraja la kwanza katika matokeo yake . . .
Mkuu wa Shirika lenye kuwahudumia wakimbizi duniani, UNHCR Filippo Grandi amesema wa mara ya kwanza vita vya Ukraine vimeongeza idadi ya watu waliolazimishwa kuyakimbia makaazi yao duniani na kupi . . .