Mamia ya wanajeshi kutoka kitengo cha anga namba 82 cha Marekani wamepelekwa katika milima ya msituni ya mashariki mwa Poland kilomita chache tu kutoka mpaka wa Ukraine. Hilo linawaweka karibu . . .
Ukraine imetangaza kuwaondoa wanajeshi wake 250 katika kikosi cha kulinda amani cha Umoja wa Mataifa katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo MONUSCO ili kuilinda nchi yao dhidi ya uvamizi wa Urusi . . .
Mfugaji NarudashwaTitika mwenye umri wa miaka 45 mkazi wa kijiji cha Alaitore kilichopo ndani ya Mamlaka ya hifadhi ya Ngorongoro mkoani Arusha amefariki dunia baada ya kushambuliwa na mnyama aina . . .
Mamlaka nchini Ukraine zinasema ndege za Urusi zimezishambulia hospitali tatu usiku wa kuamkia Alkhamis (Machi 10) magharibi mwa mji mkuu, Kyiv, na kwenye mji wa bandari wa Mariupol, huku juhudi z . . .
Katibu Tawala Mkoa wa Manyara Caroline Mtapula amewataka mangariba katika Wilaya ya Simanjiro kuacha kukeketa watoto wa kike na kuwaozesha wakiwa katika umri mdogo kwani wanahaki ya kupata elimu, . . .
Nchini Nigeria, watu wenye silaha wamewauwa watu zaidi ya 60 wanaolinda usalama katika kijiji chao wilayani Zuru katika jimbo la Kebbi, Kaskazini Magharibi mwa nchi hiyo baad . . .
Urusi imesema kuwa inaweza kusitisha operesheni na kuacha kuishambulia Ukraine wakati wowote endapo Ukraine itatimiza masharti ya Urusi Urusi imeyataja masharti hayo kuwa ni lazima Ukraine iitamb . . .
Balozi wa Urusi katika Umoja wa Mataifa, Vassily Nebenzia, amesema nchi yake itasitisha mapigano kuanzia saa nne asubuhi ya leo kwa majira ya Moscow na kufunguwa njia salama kuwahamisha raia kutok . . .
Kenya imetia saini mkataba na kampuni ya teknolojia ya kibayoteknolojia ya Marekani, Moderna Inc, kujenga kituo cha kutengeneza chanjo nchini. Kituo hicho ikiwa kinatarajiwa kutoa hadi dozi milio . . .
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky anasema njia ya ya kumaliza vita mara moja nchini Ukraine ni kufanya mazungumzo ya moja kwa moja na Rais Vladimir Putin."Hatutaki kuishambulia Urusi na hatupangi . . .
Rais wa Urusi Vladimir Putin ameelezea uvamizi wa nchi yake dhidi ya Ukraine kama "operesheni maalum ya kijeshi". Lakini, tangu mwanzo, hii haikuwa oparesheni ya kijeshi iliyodhibitiwa na yenye . . .
Kituo cha mtambo mkubwa wa nishati ya nyuklia barani Ulaya kilichoko Ukraine kimelengwa katika mashambulizi ya Urusi usiku wa kuamkia leo Ijumaa wakati Urusi na Ukraine zikikubaliana kutenga njia . . .
Polisi Mkoani Lindi wanamtafuta Juma Salumu maarufu ‘Juma kipanya’ ambaye ni mganga wa kienyeji mkazi wa Manispaa ya Lindi kwa tuhuma za kubaka na kumpa ujauzito mwanafunzi wa darasa la saba m . . .
SERIKALI ya Ukraine wamethibitisha kuwa wanajeshi wasiopungua 70 waliuawa katika shambulio la makombora ya Urusi katika kambi yao ya kijeshi juzi Jumapili, Februari 27, 2022. Shambulio hilo lilit . . .
SERIKALI ya Ukraine wamethibitisha kuwa wanajeshi wasiopungua 70 waliuawa katika shambulio la makombora ya Urusi katika kambi yao ya kijeshi juzi Jumapili, Februari 27, 2022. Shambulio hilo lilit . . .
Mwanafunzi wa mwaka wa mwisho wa udaktari anachunguzwa baada ya kudaiwa kufanya udanganyifu katika mtihani kwa kuweka kifaa cha Bluetooth kwenye sikio lake, kulingana na afisa wa chuo kikuu. Ripoti zi . . .
Mwanafunzi mmoja wa mwaka wa kwanza katika chuo kikuu cha Maasai Mara nchini Kenya, ameripotiwa kufariki siku ya Alhamisi baada ya uume wake kudaiwa kusimama kwa muda mrefu. Taarifa za pol . . .
Viongozi wa dini huko Kivu ya Kaskazini, mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wameafikiana kuiunga mkono serikali katika juhudi za kusaka amani kwenye eneo hilo.Eneo hilo liliwekwa . . .
Wakenya mtandaoni wamewasifu marubani wawili wanaofanya kazi katika shirika la ndege la Kenya Airways, ambao walitua ndege huku kukiwa na dhoruba ya Eunice barani Ulaya.Mmoja wa marubani, Ruth Kar . . .
Mwanamke mmoja katika jimbo la Florida nchini Marekani ameshtakiwa kwa mauaji baada ya polisi kusema kuwa alidaiwa kumdunga kisu mume wake zaidi ya mara 140.Joan Burke, 61, ambaye anazuiliwa bila d . . .
Dereva wa basi la shule ameuawa kwa kupigwa risasi baada ya majambazi kuvamia msafara wa mabasi matatu huko Marakwet katika eneo la Kerio Valley.Kulingana na komanda wa polisi kaunti ya Elgeyo Ma . . .
Mahakama Kuu Divisheni ya Rushwa na Uhujumu Uchumi leo Februari 18, 2022 inatarajiwa kutoa uamuzi kama Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe pamoja na Washtakiwa wengine watatu wana Kesi ya Kujib . . .
Mahakama ya Makadara iliyopo Nairobi nchini Kenya, imemhukumu kifungo cha miezi nane gerezani mwanamke Mary Ambeza baada ya kumkuta na hatia ya kudanganya kwamba ametekwa nyara na watu wasiojulika . . .
Mwanafunzi wa darasa la 7 shule ya msingi Mwenge manispaa ya Morogoro Faidhati Ibrahim Gadafi (13 )ameuawa kwa kukatwa na mapanga na kaka yake anayetambulika kwa jina la Shomari Malima mtoto wa . . .