logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Matukio

  • Pata Habari za Matukio Mbalimbali
Mauaji
  • Na Asha Business
  • November 23, 2023

Mwili Wa Kijana Dangote Wazikwa Usiku Na Watu 7 Makaburi Ya Njiro, Arusha

MWILI wa kijana maarufu kwa jina Ally Dangote aliyekuwa tishio kutokana na kufanya matukio ya kihalifu ikiwemo mauaji, ubakaji, uporaji na kuwachoma watu jijini Arusha umezikwa usiku wa kuam . . .

Afya
  • Na Asha Business
  • November 22, 2023

Vifo vya Upasuaji wa Kuongeza Makalio Vyaongezeka Uturuki

Serikali ya Uingereza imesema itakutana na maafisa nchini Uturuki kujadili kanuni kuhusu utalii wa kimatibabu na urembo, baada ya vifo kadhaa kutokea.Melissa Kerr, 31, alifariki dunia katika Hospitali . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • November 21, 2023

Mama mbaroni kwa kumuua mwanaye kwa kumzamisha kwenye ndoo ya maji

Mwanamke aliyetambuliwa kwa jina la Johari Mbuma (19), mkazi wa Kigamboni Manispaa ya Iringa anashikiliwa na polisi akituhumiwa kumuua mtoto wake mwenye umri wa miezi saba kwa kumzamisha kwenye ndoo y . . .

AJALI
  • Na Asha Business
  • November 17, 2023

Zaidi ya watu 50 wamefairki katika mafuriko

Kaunti ya Mombasa pwani ya taifa hilo na Tana River huko kaskazini Mashariki ni baadhi ya majimbo yalioathirika.Shirika la msalaba mwekundu nchini humo limesema familia 156 katika eneo la Bandi huko G . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • November 17, 2023

Mwili waokotwa ukiwa umeuawa Mwanza

Kijana mmoja anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 16 hadi 18, amekutwa amefariki eneo la Dampo kata ya Buhongwa Mwanza kwa kuchomwa na kitu chenye ncha kali maeneo mbalimbali ya mwili wake.Kwa mujibu w . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • November 16, 2023

Watoto watano wafariki kwa kula Chakula chenye sumu

Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Fatma Mwasa, amesema amepokea kwa masikitiko vifo vya Watoto watano ambao wamefariki katikia Kijiji cha Nyakanazi kilichopo Wilayani Biharamuro, wakisadikika kuwa wamekula chak . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • November 8, 2023

Shabiki Mwingine Wa Yanga Auawa Geita Na Walinzi

Mfanyabiashara mmoja ambaye pia alikuwa Shabiki wa Yanga, Alex Mayaya (40), mkazi wa Mji mdogo wa Katoro, Geita ameuawa kwa kupigwa rungu na walinzi wa Kampuni ya Samike Security Company akidhaniwa ku . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • November 7, 2023

Walinda amani washambuliwa Mali

Msafara wa wanajeshi wa kikosi cha Umoja wa Mataifa wa Mali ulishambuliwa tena na vilipuzi mwishoni mwa juma, na kuwajeruhi walinda amani 22 zaidi katika harakati za kuondoka nchini humo, msemaji wake . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • November 6, 2023

Zaidi ya watu 20 wauwawa Sudan

Zaidi ya watu 20 wameuwawa Jumapili, baada ya mashambulizi katika soko la kitongoji cha mji mkuu wa Sudan, Khartoum, kamati ya wanasheria inayopigania demokrasia imesema katika taarifa.Hiyo ni moja mk . . .

Mahakamani
  • Na Asha Business
  • November 3, 2023

Watatu jela miaka 30 kwa unyang’anyi, ubakaji

Mahakama ya Wilaya ya Tunduru Mkoani Ruvuma imewahukumu kifungo cha Miaka 30 Mussa Zuberi Amuri (28) na Saidi Shaibu Saidi (27) wote wakazi wa Kijiji cha Lukumbule Wilaya ya Tunduru baada ya kupatikan . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • November 3, 2023

Umoja wa Mataifa unasema muda unapita wa kuzuia janga la kibinadamu Gaza kutokea

Ujumbe wa waatalamu wa haki za binadam wa Umoja wa Mataifa pamoja na mfuatiliaji maalum wa Umoja wa Mataifa kwenye maeneo yanayokaliwa ya Wapalestina Francesca Albanese, umesema Alhamisi kwamba muda u . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • November 2, 2023

Uganda yamkamata mkuu wa wanamgambo anayetuhumiwa kwa mauaji

Uganda ilisema Alhamisi kuwa imemkamata mkuu wa kikosi cha wanamgambo wanaolaumiwa kwa mauaji ya watalii wawili wa kigeni waliokuwa wakienda honeymoon na kiongozi wao wa ndani katika mbuga ya wanyama . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • November 2, 2023

Mbunge Atekwa na Wasiojulikana, Akutwa Mtupu

Mbunge wa Chama cha Upinzani cha Citizens Coalition for Change – CCC, nchini Zimbabwe, Takudzwa Ngadziore (25), anadaiwa kutekwa nyara na watu wasiojulikana na kisha kutupwa takriban kilomita 50 kas . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • November 2, 2023

Karibia watu 37 wameuawa katika shambulio la Boko Haram nchini Nigeria

Wapiganaji wenye itikadi kali kaskazini mashariki mwa Nigeria wamewauwa takriban wanakijiji 37 katika mashambulio mawili tofauti, kwa mujibu wa wakaazi katika maeneo hayo.Wapiganaji hao wenye itikadi . . .

AJALI
  • Na Asha Business
  • November 2, 2023

Hizi Ni Sababu za Moto uliowaka Mwanza Mjini

Sababu za Moto uliowaka Mwanza Mjini,Kamanda Kamila Rabani wa Jeshi la Zimamoto Aweka wazi . . .

Jamii
  • Na Asha Business
  • November 2, 2023

Maisala kwenda jela miaka 20 kisa bangi

Mkazi wa Kisiwa cha Maisome wilayani Sengerema mkoani Mwanza, Maisala Ramadhani (25) ameangua kilio mahakamani baada ya kuhukumiwa jela miaka 20 baada kukiri kosa la kukutwa na dawa za kulenya aina ya . . .

AJALI
  • Na Asha Business
  • November 2, 2023

Trafiki Afariki kwa Kugongwa na Gari la Shule

Askari Polisi kitengo cha Usalama Barabarani Sajenti Stella Alphonce, amefariki dunia baada ya kugongwa na gari ya shule asubuhi ya leo Novemba 1, 2023 wakati akitekeleza majukumu yake ya ukaguzi bara . . .

AJALI
  • Na Asha Business
  • October 31, 2023

Watu zaidi ya 70 hawajulikani walipo baada ya kutokea ajali ya boti

Nchini Nigeria, zaidi ya watu 70 hawajulikani walipo, kufuatia ajali ya boti iliotokea mwishoni mwa juma lililopita katika jimbo la tabara kaskazini mwa nchi hiyo.Wafanyakazi wa uokoaji nchini humo wa . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • October 31, 2023

Mama Mombasa Ahukumiwa Miaka 10 Jela kwa Kumuua Mwanawe Ili Kusafiri Saudi Arabia Kikazi

Mwanamke anayedaiwa kumuua mwanawe wa mwaka mmoja ili kusafiri hadi Umoja wa Falme za Kiarabu kutafuta kazi amepatikana na hatia na Mahakama Kuu mjini Mombasa. Jaji Anne Ong'injo alimpata Happy M . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • October 31, 2023

Mama Awaua Watoto 2 Kwa Kuwapa Chakula Chenye Sumu, Mtoto wa 3 Anusurika

Mwanamke mmoja amekamatwa baada ya kudaiwa kuwaua watoto wake wawili wa kambo kwa kuwapa chakula chenye sumu.Komuhendo Harriet alikamatwa baada ya watoto hao watatu kupoteza fahamu na kukimbizwa katik . . .

Mahakamani
  • Na Asha Business
  • October 31, 2023

Watu 7 mbaroni kuteka na kudai Bil. 8.7 kwa wazazi ili wamuachie binti yao

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limewakamata watuhumiwa 7 kwa tuhuma za kupanga njama, kumtishia kwa silaha, na baadae kumteka mwanamke aliyefahamika kwa jina la Hani Nooh Hussein (29) M . . .

AJALI
  • Na Asha Business
  • October 30, 2023

Watu 48 wafariki dunia kufuatia kimbunga Otis

Takriban watu 48 wamekufa kufuatia kimbunga Otis kilichopiga pwani ya kusini katika bahari ya Pasifiki nchini Mexico.Mji wa Acapulco ndio ulioathirika zaidi. Viongozi wa Mexico wamesema idadi ya vifo . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • October 29, 2023

Baba Amnyonga Mwanaye Kwa Kamba Ya Viatu Na Kupiga Naye Selfie

Mkazi wa Mtaa wa Kota, Kata ya Mlandege Mkoani Iringa, Goodluck Mgovano aliyekadiriwa kuwa na umri wa miaka 33 anadaiwa kumuua Mtoto wake Alvini Mgovano mwenye umri wa miaka minne kwa kumnyonga na kam . . .

AJALI
  • Na Asha Business
  • October 26, 2023

Idadi ya waliofariki ajali ya Vigwaza yaongezeka

Kamanda wa Polisi mkoa wa Pwani, ACP Pius Lutumo amesema idadi ya waliofariki katika ajali ya Barabarani iliyosisha magari mawili kugongana uso kwa uso, imeongezeka na kufikia watu wanne kufuatia kifo . . .

Kurasa 18 ya 56

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho
  • Follow Us

  • Follow Us

  • Follow Us

  • Subscribe

Unaweza Kupenda Hizi
Habari
news
  • 11 masaa yaliopita

China imesaini makubaliano ya kufufua mradi wa TAZARA

Habari
news
  • 11 masaa yaliopita

Wanafunzi 52 watekwa na watu waliojihami kwa silaha Nigeria

Habari
news
  • 11 masaa yaliopita

Waziri Mkuu aagiza mkandarasi kukamatwa na kuzuia hati yake

Habari
news
  • 12 masaa yaliopita

Uhamiaji Simiyu yaendelea na jitihada za kudhibiti Wahamiaji haramu

Habari
news
  • 12 masaa yaliopita

Serikali kufuatilia Makala ya CNN kuhusu maandamano ya uchaguzi oktoba 29

Habari
news
  • 12 masaa yaliopita

Dkt, Samia anatarajiwa kufanya ziara ya kikazi siku mbili mkoani Arusha

Habari
news
  • 13 masaa yaliopita

Kesi ya 3 yawasilishwa kupinga ujenzi wa Chuo Kikuu cha Nyamira

Matawi Yetu
  • Jembe Group
  • Jembe Development
  • Jembe Beach
  • Jembe Digital
  • Jembe DJ
  • Jembe Stage And Sound
  • Jembe Events
  • Jembe Ni Jembe Team

Habari Zaidi

  • China imesaini makubaliano ya kufufua mradi wa TAZARA

    • 11 masaa yaliopita
  • Wanafunzi 52 watekwa na watu waliojihami kwa silaha Nigeria

    • 11 masaa yaliopita
  • Waziri Mkuu aagiza mkandarasi kukamatwa na kuzuia hati yake

    • 11 masaa yaliopita

Habari Category

  • Habari Zote
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
  • Habari Ndani Na Nje
  • Video
  • Uchumi Na Biashara
  • Magazeti
  • Makala

Wasiliana Nasi

JEMBE NI JEMBE GROUP ,
P. O. Box 1334,
PLOT NO.111/BLOCK "A"
HOUSE No:43 MAKONGORO STREET,
ILEMELA MWANZA - TANZANIA

info@jembenijembe.com

+ 255-786-385-475 ,
+ 255-716-385-475.

  • PRIVACY POLICY
  • TERMS AND CONDITIONS
  • STAFF LOGIN

POWERED BY

© Jembe Ni Jembe Companies.

Created And Maintained By XFoundationCode