Jeshi la Polisi, limetoa ufafanuzi wa taarifa iliyo ripotiwa katika baadhi ya vyombo vya Habari ambayo ilikuwa na kichwa cha habari kisemacho, kashfa Polisi yahusishwa na kutekwa kwa Baba na mwanawe.A . . .
Jeshila Polisi limesema limefanikiwa kumkamata mtuhumiwa aliyewatapeli watalii walikuja nchini kwa ajili ya kupanda mlima Kilimanjaro huku likibainisha kuwa Tanzania ni nchi salama kwa wageni wa ndani . . .
Watu wanne wamefariki baada ya kusombwa na maji eneo la Kihonda Manispaa ya Morogoro baada ya mvua kubwa kunyesha leo January 25,2024.Mkuu wa Mkoa Morogoro Adam Malima amefika katika eneo la tukio usi . . .
Zaidi ya watu 30 waliuawa na nyumba kadhaa kuharibiwa, jana, katika eneo la Kwahaslalek na jamii zinazozunguka, huku watu wenye silaha wakikaidi amri ya kutotoka nje ya saa 24 iliyowekwa kwenye eneo l . . .
Jeshi la Polisi Mkoani Mwanza limefanikiwa kuwakamata watuhumiwa kumi wa mauaji ya Yumen Elias (54) aliekuwa mlinzi katika eneo la mwananchi lililopo Kata ya Mahina Wilaya ya Nyamagana na mkazi wa Nya . . .
Uchunguzi unaendelea baada ya mwanamume mmoja mwenye umri wa miaka 60 kupatikana amefariki ndani ya nyumba ya kulala wageni katika eneo la Kapsoit, kaunti ndogo ya Belgut, kaunti ya Kericho.Mwili wa D . . .
Mchungaji mmoja nchini Zambia, ameushangaza umma baada ya kumpika mmoja wa washirika wake wa kiume wakati wa ibada ili aweze kubadilika nankuwa mume mwema.Kitendo hicho kilitokana na Mwanaume huyo kud . . .
Walinzi shirikishi maarufu kama sungusungu, wanadaiwa kumuua kwa kipigo, kijana mmoja mwenye changamoto ya afya ya akili, kwa kumpiga wakimtuhumu kuwa ni mwizi wakati akichota maji usiku.Inaelezwa kuw . . .
Kufuatia makubaliano yaliyosimamiwa na Qatar kati ya Israel na shirika la wanamgambo wa Palestina Hamas, mateka wa Israel katika Ukanda wa Gaza watapata dawa.Kwa kuongezea, vifaa vya msaada kwa raia v . . .
Timu za waokozi za Nigeria Jumanne usiku zimeendelea kuwasaka watu waliojeruhiwa kufuatia mlipuko mkubwa kwenye jimbo la Oyo, ambao ulitikisa majengo, na kupelekea wakazi kutorokea barabarani.Kwa muji . . .
Takriban Wahamiaji wasiopunguwa 6,618 walikufa au kutoweka wakijaribu kuingia Uhispania kupitia njia ya bahari mwaka 2023.Shirika la kutetea haki za Wahamiaji Nchini Hipania, limesema idadi hiyo ni ma . . .
Mwanaume mmoja amemshambulia jaji wakati hukumu yake katika chumba cha mahakama cha Nevada, Marekani ikisomwa siku ya Jumatano.Tukio hilo lililonaswa katika kamera za CCTV – linamuonyesha Deobra Red . . .
Viongozi katika jimbo la Plateau wamesema idadi ya watu waliopoteza maisha katika mfululizo wa mashambulizi ya Vikundi vya watu wenye silaha katika vijiji kadhaa katikati mwa Nchi ya Nigeria imefikia . . .
Idadi ya vifo kutokana na mlipuko na moto uliozuka katika kituo cha mafuta kwenye mji mkuu wa Guinea, Conakry imeongezeka hadi watu 23 kutoka 13.Taarifa ya serikali imesema idadi ya waliojeruhiwa imep . . .
Padre mmoja wa kanisa katoliki amefariki baada ya kushambuliwa katika eneo la kanisa katika jimbo la Nebraska nchini Marekani.Polisi walisema walimpata Mchungaji Stephen Gutgsell na anayedaiwa kumsham . . .
Mapigano makali yanaendelea Alhamisi, Desemba 7, katika Ukanda wa Gaza kati ya Hamas na jeshi la Israel, ambalo liliuchukua mji mkubwa wa Khan Younes ambapo inamsaka mtu inayemdhania kuwa ndiye aliyep . . .
Moto ambao bado chanzo chake hakijafahamika umeteketeza baadhi ya maduka yaliyopo hatua chache kutoka Stendi mpya ya Mwenge Jijini Dar es salaam.Wakati wakiendelea kusubiri Jeshi la Zimamoto, tukio li . . .
Jeshi la Israel linapanua operesheni zake katika Ukanda wa Gaza siku ya Jumatatu, ambapo idadi ya vifo miongoni mwa raia wa Palestina inaongezeka, huku dalili mpya za mzozo zikienea katika eneo hilo n . . .
Idadi ya watu waliofariki dunia kutokana na mafuriko yaliyotokea wilayani Hanang mkoa wa Manyara imeongezeka na kufikia watu 49 baada ya kupatikana kwa miili mingine miwili.Kwa mujibu wa Taarifa iliyo . . .
Nigeria ni mwenyekiti wa sasa wa jumuiya ya uchumi ya nchi za Afrika Magharibi (ECOWAS) ambayo imeiwekea vikwazo Niger kufuatia mapinduzi ya Julai yaliyomuondoa madarakani Bazoum.Nigeria inatoa wito w . . .
Idadi ya watu waliokufa kutokana na mafuriko yaliyokumba maeneo kadhaa nchini Kenya imefikia 120 huku maelfu ya makaazi yamesombwa na maji na kuwalazimisha watu kutafuta hifadhi.Takwimu hizo mpya zime . . .
Ghasia hizo zilimuua Dido Kasingi, wakili na baba wa watoto sita ambaye alikuwa rais wa vijana katika chama cha Katumbi, “Together for the Republic”, msemaji wa chama hicho aliwaambia waandishi wa . . .
Polisi katika kaunti ya Kericho wameanzisha uchunguzi kufuatia mauaji ya kinyama ya mwanamke mmoja huko Belgut. polisi walimkamata mwanamume mwenye umri wa miaka 46 anayedaiwa kumdunga kisu hadi . . .
Idadi ya waliofariki kutokana na mafuriko nchini Somalia inakaribia 100, huku takriban watu milioni mbili wakiathirika, baraza la mawaziri la nchi hiyo limesema siku ya Alhamis ya wiki hii.Somalia, ka . . .