Mwili Wa Kijana Dangote Wazikwa Usiku Na Watu 7 Makaburi Ya Njiro, Arusha

MWILI wa kijana maarufu kwa jina Ally Dangote aliyekuwa tishio kutokana na kufanya matukio ya kihalifu ikiwemo mauaji, ubakaji, uporaji na kuwachoma watu jijini Arusha umezikwa usiku wa kuamkia leo Novemba 23, 2023 kimyakimya katika Makaburi ya Njiro na watu wanne katika makaburi ya Njiro waliowasili wakiwa na gari binafsi.

Taarifa za kuzikwa kwake zilikuwa zikiratibiwa kwa siri na kupelekea Waandishi wa habari kuzungushwa bila kuambiwa ukweli ikidaiwa kuwa Wahusika walifanya hivyo kuepusha taharuki.

Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii