logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Matukio

  • Pata Habari za Matukio Mbalimbali
Mauaji
  • Na Asha Business
  • December 9, 2024

Watu 184 waliuawa nchini Haiti wikendi iliopita: Umoja wa Mataifa

Mkuu wa Tume ya haki za binadamu katika Umoja wa Mataifa Volker Turk ameeleza kwamba watu 184 waliuawa wikendi iliopita nchini Haiti wakati magenge yenye silaha yalipoongeza kasi ya vurugu.Utovu wa us . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • December 6, 2024

Muumini aishi na maiti ya pasta nyumbani miezi miwili akisubiri afufuke

POLISI  nchini Tanzania, wanamzuilia mwanamke mmoja aliyekamatwa kwa kuhifadhi mwili wa pasta wa kanisa lake kwa miezi miwili ndani ya nyumba akisubiri afufuke.Katika tukio lililowaacha wakazi wa . . .

AJALI
  • Na Asha Business
  • December 6, 2024

Wabunge Kadhaa Wajeruhiwa Baada ya Kupata Ajali ya Basi

 wabunge zaidi ya 50 waliokuwa wakisafiri kwa basi kutoka Dodoma kwenda Nchini Kenya kushiriki michezo wamepata ajali eneo la Mbande mkoani Dodoma.Wabunge kadhaa wamepata majeraha ya Mwili kutoka . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • December 4, 2024

Rais wa Korea Kusini aondoa sheria ya kijeshi baada ya kushinikizwa na bunge

Rais wa Korea Kusini Yoon Suk-yeol amea,gushwa siku ya Jumatano na upinzani na chama chake baada ya kujaribu kuweka sheria ya kijeshi siku ya Jumanne, hatua ambayo alilazimika kufuta kwa shinikizo.Yoo . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • December 3, 2024

Baba Ajinyonga Baada ya Kumchinja Binti yake

Mkazi wa Kijiji cha Mwamagunguli mkoani Shinyanga, Makoye Mayala (45) amejinyonga hadi kufa baada ya kumjeruhi kwa kisu mtoto wake, Anna Makoye (06) mwanafunzi wa shule ya msingi Mwamagunguli.Chanzo c . . .

Dini
  • Na Asha Business
  • November 28, 2024

Waduwazwa na Kanisa Ambapo Watu Huruka Mishumaa Kumwona Mchungaji

DRC Congo: Wanamtandao wamefurahishwa na jinsi washarika wanavyolazimishwa kuruka mishumaa inayowaka ili kumwendea mchungaji wao kwa maombi au baraka.wanaume wanaovaa kanzu ndefu na wanawake waliovaa . . .

Jamii
  • Na Asha Business
  • November 27, 2024

Jamaa Ajisalimisha Polisi Baada ya Mzigo Alioiba Kumkwama Begani Mchana Kutwa

Jamaa mmoja jijini Dar es Salaam, Tanzania amejikuta pabaya baada ya mzigo wa mahindi aliokuwa ameiba kumkwama mabegani.Frank Japhet, 23, mkazi wa Mbezi, jijini Dar es Salaam, amelazimika kujisalimish . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • November 25, 2024

Mtahiniwa wa KCSE Azimia na Kukata Roho Akijiandaa Kufanya Mtihani Wake wa Mwisho

Hali ya sintofahamu imetanda Friends School Womulalu katika Kaunti ya Vihiga baada ya mtahiniwa wa KCSE, aliyetambulika kama Snider Undisa, kuaga dunia kabla ya kukamilisha mtihani wake wa mwisho.&nbs . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • November 25, 2024

Iran yatangaza mazungumzo na Ufaransa, Ujerumani na Uingereza siku ya Ijumaa

Iran imetangaza hivi punse siku ya Jumapili Novelba 24, 2024 kwamba majadiliano juu ya mpango wake wa nyuklia yatafanyika katika siku zijazo na Ufaransa, Ujerumani na Uingereza, nchi tatu ambazo ziliw . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • November 24, 2024

Mume Adaiwa Kumuua Mkewe Kisa Kunyimwa Unyumba

Jeshi la Polisi Mkoani Ruvuma linamsaka Martin Hyera kwa kosa la kumuua mke wake Luciana Kapinga kwa kumpiga na kitu chenye ncha kali kichwani chanzo kikiwa kunyimwa unyumba.Akithibitisha kutokea kwa . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • November 22, 2024

Simanzi mtahiniwa wa KCSE akifariki katika hali tata Turkana

MTAHINIWA wa Mitihani ya Kitaifa ya Shule ya Upili (KCSE) amefariki katika hali tatanishi katika Shule ya Upili ya Turkana Talent, Kaunti ya Turkana.Chanzo cha kifo cha John Ekalale kilichotokea Jumat . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • November 22, 2024

Mapigano yazuka Juba

Mapigano makali ya bunduki yalizuka Alhamisi jioni, katika mji mkuu wa Sudan Kusini, Juba, baada ya vikosi vya usalama kwenda kumkamata mkuu wa idara ya ujasusi kwa mujibu wa shirika la habari la Reut . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • November 20, 2024

Wafuasi wa magenge wauwawa Haiti

Polisi na makundi ya kiraia ya kujilinda yamewauwa watu 28 wanaodaiwa kuwa wanachama wa genge katika mji mkuu wa Haiti, Port au Prince katika operesheni ya usiku kucha, serikali imesema Jumanne, wakat . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • November 19, 2024

Kiambu: Mtoto Apatikana Hai Huku Polisi Wakigundua Miili ya Wazazi Wa Mtoto Huyo Yakutwa Imeoza

Polisi katika kaunti ya Kiambu wanachunguza kisa ambapo mtoto mchanga aligunduliwa akiwa amelala kando ya mwili wa mama yake uliooza mnamo Jumapili, Novemba 17. Baba yake mtoto huyo pia alipatika . . .

AJALI
  • Na Asha Business
  • November 17, 2024

Tumewapa Maji na Clucose, Tunawasiliana nao Bado, Zima Moto Wafunguka

Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji CGF John Masunga, amesema bado kuna mawasiliano kati ya Jeshi hilo na Watu walionasa chini ya jengo la ghorofa lililoporomoka Kariakoo jijini Dar es s . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • November 14, 2024

Akutwa amejinyonga mkoani Kilimanjaro

Mwanaume anayefahamika kwa jina la Hassan Ali anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 40 mkazi wa Pasua mkoani Kilimanjaro, amekutwa amefariki dunia kwa kile kinachohisiwa kuwa ni kujinyonga kwa kamba za . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • November 13, 2024

Shambaboi wa Miaka 21 Atiwa Nguvuni na DCI Kufuatia Mauaji ya Ajuza wa Miaka 78

Polisi wanamzuilia kijana mmoja anayeshukiwa kuhusika katika mauaji ya ajuza wa miaka 78. Catherine Waceke alitoweka Jumamosi, Novemba 10, siku moja kabla ya mwili wake kugunduliwa ndani ya tanki . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • November 13, 2024

Katibu wa CCM Kilolo apigwa risasi

Aliyekuwa Katibu wa chama cha mapinduzi wilayani Kilolo Mkoani Iringa Christina Kibiki amevamiwa na watu wasiojulikana na  kuuwawa nyumbani kwake kwakupigwa risasi kifuani.Tukio hilo lakuvamiwa n . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • November 11, 2024

Rais Guinea Ateua Mrithi wa Baltasar Aliefanya Mapenzi na Wanawake 400

Rais wa Guinea Ikweta, Obiang Nguema Mbasogo amemteua Zenon Avomo kuwa Mkurugenzi Mkuu mpya wa Shirika la Kitaifa la Upelelezi wa Fedha (ANIF).Zenon anachukua nafasi hiyo baada ya mtangulizi wake, Bal . . .

Jamii
  • Na Asha Business
  • November 10, 2024

Jirani Aliyemchoma Mtoto Moto Kisa Chenji Adakwa

Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia Juma Afyusisye (38), Dereva Bodaboda, Mkazi wa Iwambi Jijini Mbeya kwa tuhuma za kumjeruhi sehemu mbalimbali za mwili Mwanafunzi wa kiume wa darasa la pili . . .

Jamii
  • Na Asha Business
  • November 8, 2024

Mwanamke Asiyejulikana Kumuibia Mtoto Akiwa Saluni

Mwanamke mmoja kutoka Mji Mema, Songea, Tanzania, amejawa na huzuni baada ya mtoto wake kupotea akiwa kwenye sehemu yake eneo la kazi. Gabriella alikuwa akifanya kazi kwenye saluni yake Jumatatu, . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • November 7, 2024

Mheshimiwa Ampasua Mwenzake Ngumi kwa Kukalia Kiti Chake Bungeni

Mzozo kati ya wanasiasa wawili ulisababisha hali ya mtafaruku katika Bunge la Uganda, na kusababisha kusimamishwa kazi kwa wabunge 12. Kulingana na Monitor, pambano lilizuka kati ya Mbunge wa Man . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • November 7, 2024

takribani watu 40 wafariki shambulio la israel beirut

Watu takriban 40 wameuawa katika mashambulizi ya anga ya Israel mashariki mwa Lebanon siku ya Jumatano, kwa mujibu wa wizara ya afya ya Lebanon.Afisa wa Israel alisema mashambulizi hayo, yaliyofanyika . . .

Jamii
  • Na Asha Business
  • November 5, 2024

Wasiwasi Watanda Baada ya Mume, Mkewe na Mwanawe Kufariki Ndani ya Siku 3

Kijiji cha Ugenya, Kaunti ya Siaya, kimepigwa na mshangao kufuatia kifo cha watu wanne wa familia moja katika muda wa chini ya wiki mbili. Wanafamilia watatu, akiwemo mama, mwanawe na mumewe, wal . . .

Kurasa 11 ya 56

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho
  • Follow Us

  • Follow Us

  • Follow Us

  • Subscribe

Unaweza Kupenda Hizi
Habari
news
  • 10 masaa yaliopita

China imesaini makubaliano ya kufufua mradi wa TAZARA

Habari
news
  • 10 masaa yaliopita

Wanafunzi 52 watekwa na watu waliojihami kwa silaha Nigeria

Habari
news
  • 10 masaa yaliopita

Waziri Mkuu aagiza mkandarasi kukamatwa na kuzuia hati yake

Habari
news
  • 10 masaa yaliopita

Uhamiaji Simiyu yaendelea na jitihada za kudhibiti Wahamiaji haramu

Habari
news
  • 11 masaa yaliopita

Serikali kufuatilia Makala ya CNN kuhusu maandamano ya uchaguzi oktoba 29

Habari
news
  • 11 masaa yaliopita

Dkt, Samia anatarajiwa kufanya ziara ya kikazi siku mbili mkoani Arusha

Habari
news
  • 11 masaa yaliopita

Kesi ya 3 yawasilishwa kupinga ujenzi wa Chuo Kikuu cha Nyamira

Matawi Yetu
  • Jembe Group
  • Jembe Development
  • Jembe Beach
  • Jembe Digital
  • Jembe DJ
  • Jembe Stage And Sound
  • Jembe Events
  • Jembe Ni Jembe Team

Habari Zaidi

  • China imesaini makubaliano ya kufufua mradi wa TAZARA

    • 10 masaa yaliopita
  • Wanafunzi 52 watekwa na watu waliojihami kwa silaha Nigeria

    • 10 masaa yaliopita
  • Waziri Mkuu aagiza mkandarasi kukamatwa na kuzuia hati yake

    • 10 masaa yaliopita

Habari Category

  • Habari Zote
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
  • Habari Ndani Na Nje
  • Video
  • Uchumi Na Biashara
  • Magazeti
  • Makala

Wasiliana Nasi

JEMBE NI JEMBE GROUP ,
P. O. Box 1334,
PLOT NO.111/BLOCK "A"
HOUSE No:43 MAKONGORO STREET,
ILEMELA MWANZA - TANZANIA

info@jembenijembe.com

+ 255-786-385-475 ,
+ 255-716-385-475.

  • PRIVACY POLICY
  • TERMS AND CONDITIONS
  • STAFF LOGIN

POWERED BY

© Jembe Ni Jembe Companies.

Created And Maintained By XFoundationCode