logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Kitaifa Na Kimataifa

  • Pata Habari Zilizojili Pande Zote Duniani
Afrika
  • Na Asha Business
  • June 3, 2022

Niger yasitisha mauzo ya dizeli ili kukidhi matumizi ya ndani

Kwa siku kadhaa, makundi ya wahalifu yamekuwa yakifanya biashara hiyo kuelekea nchi jirani ambazo zinakabiliwa na ugumu wa kupata biodhaa hii.Vituo vya mafuta kwenye mipaka ya Nigeria, Benin na . . .

AFYA
  • Na Asha Business
  • June 3, 2022

Serikali Kuandaa Kanuni Za Udhibiti Wa Bei Ya Dawa Na Vifaa Tiba

Serikali ipo mbioni kuandaa kuani za kudhibiti bei za dawa nchini na tayari rasimu ya kanuni hizo zimeshawasilishwa kwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali.Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Afya Mhe. . . .

AFYA
  • Na Asha Business
  • June 3, 2022

Mlipuko wa kipindupindu waripotiwa katika Gereza la Goma

Mashirika ya kiraia pamoja na Madaktari wasio na mipaka MSF mkoani Kivu Kaskazini, wameripoti kuzuka kwa ugonjwa wa kipindupindu katika Gereza kuu la Goma. . . .

AFYA
  • Na Asha Business
  • June 3, 2022

Wakenya kuanza kuvaa maski tena kuzuia Covid-19

SERIKALI sasa inawataka Wakenya kuanza tena kuvaa maski huku wasiwasi ukitanda kuhusu uwezekano wa kuzuka kwa wimbi jipya la maambukizi ya Covid-19. Wizara ya Afya imesema kuwa idadi ya maambukiz . . .

Hali ya hewa
  • Na Asha Business
  • June 3, 2022

TMA yatahadharisha baridi kali Nyanda za Juu kusini

Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imesema mwelekeo wa kipupwe unaotarajiwa kuanza Juni hadi Agosti mwaka huu katika mikoa mitano ya Kanda ya Nyanda za Juu Kusini Magharibi yenye miinuko, in . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • June 2, 2022

Mwenyekiti wa AU Macky Sall aelekea Urusi

Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika, ambaye pia ni rais wa Senegal anaelekea Urusi ambako amepangiwa kesho Ijumaa kukutana na rais Vladmir Putin. Ziara hiyo inalenga kutafuta namna ya kumshawishi rais P . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • June 2, 2022

Marekani yamtangaza Mike Hammer kuwa mjumbe wake maalum katika eneo la Pembe ya Afrika

Marekani imetangaza kuwa balozi Mike Hammer ndiye atakayehudumu kama mjumbe maalum wa Marekani katika eneo la Pembe ya Afrika. Waziri wa mambo ya nje wa Marekani Antony Blinken amesema katika taar . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • June 2, 2022

Tume ya Umoja wa Ulaya " Croatia imetimiza vigezo vyote kujiunga na EU"

Tume ya Umoja wa Ulaya ilisema Jumatano kwamba Croatia ilitimiza vigezo vyote vya kujiunga na ukanda wa ulaya na hivyo kufungua njia kwa nchi hiyo kuwa mwanachama wa 20 kutumia sarafu moja hapo . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • June 1, 2022

Waziri Mkuu Aitaka Tamisemi Isimamie Ukusanyaji Mapato

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemuagiza Waziri wa Nchi (OR-TAMISEMI), Innocent Bashungwa na viongozi wengine wa wizara hiyo wahakikishe kuwa suala la ukusanyaji mapato kwenye Mikoa, Halmashauri n . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • June 1, 2022

Sabaya afikishwa mahakamani Moshi kufunguliwa kesi mpya

Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi kufunguliwa kesi mpya.Sabaya amefikishwa mahakamani hapo leo Jumatano Juni Mosi saa 11:40 asubuhi. . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • May 31, 2022

MAJALIWA AWATAKA WABUNGE WAWAHAMASISHE WANANCHI KUSHIRIKI KWENYE SENSA.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipofungua Semina kuhusu Sensa ya Watu na Makazi kwa Wabunge  iliyofanyika kwenye ukumbi wa Msekwa, Bungeni  jijini Dodoma, Mei 30,2022 . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • May 31, 2022

Canada yajiandaa kupiga marufuku umiliki wa bastola

Waziri Mkuu wa Canada Justin Trudeau amesema serikali yake itapeleka muswada bungeni kuweka zuio la nchi nzima kwa watu kumiliki bastola pamoja na kupiga marufuku raia wa Canada kuuza au kununua b . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • May 31, 2022

Latra yatoa masharti mapya kwa madereva

Hii ina wahusu madereva, Basi tangazo hili kutoka Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (Latra) linakuhusu sana. Iko hivi, Latra imetangaza kuwa kuanzia sasa itaanza kuwatahini madereva wa magari . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • May 31, 2022

HALI YAWA TETE KWA GAMBO, WANNE WAHOJIWA.

Tuhuma za matumizi mabaya ya fedha za umma zilizoibuliwa wiki iliyopita Jijini Arusha na kusababisha watumishi sita kusimamishwa kazi, zinazidi kulitikisa Jiji hilo baada ya idadi ya wanaohusishwa . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • May 30, 2022

China yashindwa kuyashawishi mataifa ya Pasifiki

China leo imeshindwa katika mpango wake wa kutaka mataifa 10 ya Pasifiki yaunge mkono makubaliano yanayojumuisha kila kitu kuanzia usalama hadi uvuvi baada ya baadhi ya nchi katika eneo hilo kuele . . .

AFYA
  • Na Asha Business
  • May 29, 2022

Korea Kaskazini yajadili kulegeza masharti ya kukabiliana na UVIKO-19

Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un amekutana na maafisa wake wa ngazi ya juu kujadili kile kinachotazawa kama hatua ya kutaka kupunguza masharti ya kukabiliana na mripuko wa janga la virusi v . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • May 27, 2022

SERIKALI YAREKEBISHA KIWANGO CHA POSHO YA KUJIKIMU SAFARINI.

Serikali imetoa kibali cha kurekebishwa kwa posho ya kujikimu safarini kwa watumishi wa umma kutosha Sh120,000 hadi Sh250,000 kwa daraja la juu na Sh80,000 hadi Sh100,000 kwa daraja la chini. Ka . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • May 27, 2022

Serikali yapokea mapendekezo ya wananchi wa Ngorongoro

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amepokea mapendekezo kutoka kwa wananchi wa tarafa za Loliondo, Ngorongoro na Sale kuhusu namna bora ya kulinda uhifadhi wa maeneo hayo. Mapendekezo hayo yamewas . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • May 27, 2022

DART yapendekeza nauli mpya za mwendokasi

Wakala wa Mabasi yaendayo Haraka (DART) umependekeza nauli kwa njia jumuishi kuwa shilingi 1,500 kutoka shilingi 800 inayotozwa hivi sasa. DART imetoa mapendekezo hayo katika kipindi hiki a . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • May 27, 2022

Biden kuzifariji familia za wa wahanga wa shambulizi la shuleni Uvalde

Rais Joe Biden wa Marekani na mkewe Jill Biden watakwenda mji wa Uvalde katika jimbo la Texas siku ya Jumapili kuzifariji familia na kutoa heshima kwa wahanga wa shambulizi la bunduki shuleni amba . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • May 27, 2022

Urusi yalenga kuimarisha uuzaji wa nafaka wakati mzozo wa chakula

Urusi imesema leo kuwa inatafanya mipango ya kuongeza uzalishaji wake wa nafaka kwa ajili ya kuuza nje katika msimu ujao. Hii ni wakati kukiwa na mzozo wa chakula ulimwenguni uliozidishwa na uvami . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • May 27, 2022

China Na Urusi zapinga jaribio la kuiwekea vikwazo Korea Kaskazini.

China na Urusi zimetumia kura za turufu kupinga azimio la Umoja wa Mataifa juu ya kuiwekea vikwazo Korea Kaskazini. Azimio hilo lilikuwa na lengo la kuiwekea nchi hiyo vikwazo vipya vikali zaidi b . . .

AFYA
  • Na Asha Business
  • May 27, 2022

Waziri wa afya wa Senegal afutwa kazi, baada ya watoto wachanga 11 kuuawa na moto katika hospitali

Rais wa Senegal Macky Sall Alhamisi amemfuta kazi waziri wake wa afya, Abdoulaye Diouf Zarr, amri ya serikali imeonyesha, baada ya watoto wachanga 11 kuuawa na moto katika chumba cha hospitali c . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • May 26, 2022

Rais Samia Afanya Uteuzi Wa Viongozi Mbalimbali

. . .

AFYA
  • Na Asha Business
  • May 26, 2022

Zaidi ya watu 200 wagundulika kuambukizwa virusi vya homa ya kima ulimwenguni - ECDC

Idadi ya watu waliogunduliwa kuwa na maambukizo ya homa ya kima imefikia 219 nje ya nchi ambako ugonjwa huo ni janga, kwa mujibu wa taarifa ya karibuni kabisa kutoka Kituo cha Udhibiti wa Maradhi . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • May 26, 2022

Uturuki yazikwamisha Sweden, Finnland uwanachama wa NATO

Uturuki imerejelea msimamo wake kwamba haitaziruhusu Finnland na Sweden kuwa wanachama wa muungano wa kijeshi wa NATO hadi pale masharti yake kwa mataifa hayo yatakapotimizwa. Baada ya mazungumzo . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • May 26, 2022

Urusi kuruhusu meli za kigeni kuondoka bandari za Bahari Nyeusi

Wizara ya Ulinzi ya Urusi imeahidi kufunguwa njia salama za kuzipisha meli za kigeni kuondoka kwenye bandari za Bahari Nyeusi. Mkuu wa Kituo cha Udhibiti wa Ulinzi wa Taifa cha Urusi, Mikhail Mizi . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • May 26, 2022

Serikali yatangaza kiwango kipya cha kikotoo

Serikali imetangaza kiwango kipya cha kikotoo cha mafao ya mkupuo ambapo sasa ni asilimia 33 kwa mifuko yote ya hifadhi ya jamii.Kauli hiyo imetolewa leo Alhamis Mei 26, 2022 na Katibu Mkuu ofisi . . .

AFYA
  • Na Asha Business
  • May 24, 2022

Ufahamu ugonjwa hatari wa Homa Ya Nyani.

Homaya nyani husababishwa na virusi vya  nyani, kirusi wa familia moja ya virusi vya ndui, ingawa sio kali sana na wataalamu wanasema uwezekano wa kuambukizwa ni mdogo.Inatokea zaidi katika s . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • May 24, 2022

Duterte amkosoa Putin kuhusu uvamizi nchini Ukraine

Rais wa Ufilipino anayeondoka madarakani Rodrigo Duterte, amemkosoa vikali kiongozi wa Urusi Vladimir Putin kwa mauaji ya raia wasio na hatia nchini Ukraine, akisema wakati wote wawili wakitajwa k . . .

Kurasa 98 ya 123

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho

Habari Zaidi

  • China imesaini makubaliano ya kufufua mradi wa TAZARA

    • 13 masaa yaliopita
  • Wanafunzi 52 watekwa na watu waliojihami kwa silaha Nigeria

    • 13 masaa yaliopita
  • Waziri Mkuu aagiza mkandarasi kukamatwa na kuzuia hati yake

    • 13 masaa yaliopita

Habari Category

  • Habari Zote
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
  • Habari Ndani Na Nje
  • Video
  • Uchumi Na Biashara
  • Magazeti
  • Makala

Wasiliana Nasi

JEMBE NI JEMBE GROUP ,
P. O. Box 1334,
PLOT NO.111/BLOCK "A"
HOUSE No:43 MAKONGORO STREET,
ILEMELA MWANZA - TANZANIA

info@jembenijembe.com

+ 255-786-385-475 ,
+ 255-716-385-475.

  • PRIVACY POLICY
  • TERMS AND CONDITIONS
  • STAFF LOGIN

POWERED BY

© Jembe Ni Jembe Companies.

Created And Maintained By XFoundationCode