SERIKALI YAREKEBISHA KIWANGO CHA POSHO YA KUJIKIMU SAFARINI.

Serikali imetoa kibali cha kurekebishwa kwa posho ya kujikimu safarini kwa watumishi wa umma kutosha Sh120,000 hadi Sh250,000 kwa daraja la juu na Sh80,000 hadi Sh100,000 kwa daraja la chini. Kauli hii imetolewa leo Mei 27, 2022 na Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishhi wa Umma Dk Laurean Ndumbaro.

Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii