1. KARIBU UTANGAZE BIASHARA AU SUALA LAKO NA SISI ... TUNAFIKIA WENGI NDANI NA NJE YA NCHI

  • MWANZA 93.7MH/z |
Jembe Burudani

HALIMA KOPWE MISS TANZANIA , RAIS SAMIA KUJENGA UKUMBI WA KIMATAIFA JIJINI DAR

Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo. Mhe, Mohamed Mchengerwa amesema Serikali ya Mhe. Rais Samia imedhamiria kuinua kuinua kiwan . . .

Nai" Mastaa Acheni Pombe Kali na Bata Zisizokuwa na Maana Kwenu".

NAIRATH Ramadhan au Nai; ni video vixen na msanii wa Bongo Fleva ambaye kwa mara ya kwanza amefunguka sababu iliyomfanya apungue . . .

Jembe Michezo

Pablo apewa siku 7 Simba

KOCHA Mkuu wa Simba, Pablo Franco amepewa wiki moja kuandaa ripoti maalumu kwa ajili ya masuala ya kiufundi kabla ya msimu ujao . . .

Hakuna Ambaye Amependa Toni Rudiger Kuondoka

Beki wa klabu ya Chelsea Antonio Rudiger anaondoka klabuni hapo ifikapo mwisho wa msimu huu. ANTONIO Rudiger ameamua kuondoka nda . . .

Jembe Habari

Israel yaripoti kisa cha kwanza cha homa ya nyani

Kisa cha kwanza cha homa ya nyani kimegunduliwa nchini Israel kwa mtu aliyerejea kutoka nje ya nchi. Mamlaka nchini humo zinachu . . .

Habari Zote
Kimataifa

IMF yataka serikali zitoe ruzuku kugharamia 'makali ya maisha' kwa wananchi wake

Serikali za mataifa duniani zinatakiwa kutoa ruzuku kwa ajili ya gharama ya chakula na nishati kwa watu maskini zaidi katika jamii, mkuu . . .

Kimataifa

Ukraine yakataa kusalimisha ardhi yake kwa Warusi kwenye mpango wa makubaliano ya amani

Serikali ya Ukraine inasema haitakubali makubaliano ya kusitisha mapigano na Urusi ambayo yanahusisha kuachia eneo - katika hali inayoon . . .

Kitaifa

NCCR-Mageuzi Yamsimamisha Mbatia

Halmashauri kuu  ya Chama cha NCCR-Mageuzi, imemsimamisha Mwenyekiti wa chama hicho Taifa, James Mbatia na Makamu Mwenyekiti wake B . . .

Kimataifa

Muungano wa Indo-Pacific: baada ya Korea Kusini, Joe Biden atarajiwa Japani

Rais wa Marekani Joe Biden anawasili Tokyo Jumapili hii baada ya kukaa zaidi ya siku mbili nchini Korea Kusini ili . . .

Kimataifa

Urusi Yatangaza Kuudhibiti Mji wa Mariupol Wanajeshi Zaidi ya 2,000 wa Ukraine Wajisalimisha

BAADA ya wanajeshi wa Ukraine 531 waliokuwa wamejificha kwenye kiwanda cha Azovstal wakipambana na wanajeshi wa Urusi kujisalimisha, Uru . . .

Top Story

Biden amsalimu Kim na kusema Marekani 'imejiandaa' kwa majaribio ya silaha za Korea Kaskazini.

Rais wa Marekani Joe Biden ameondoka Korea Kusini na kuelekea Japan leo Jumapili. Biden ametoa salamu na ujumbe mfupi kwa rais wa Korea . . .