KIUNGO wa Timu ya Taifa ya Tanzania, Feisal Salum ‘Fei Toto’ baada ya kutua nchini Misri, amefunguka kwa mara ya kwanza kuhusu maandalizi ya mechi yao dhidi ya Uganda . . .
Bondia wa ngumi za kulipwa nchini, Stumai Muki amefanikiwa kumchapa kwa pointi mpinzani wake kutoka Malawi, Chimwemwe Banda katika pambano lisilokuwa la ubingwa la kimata . . .
Kocha Mkuu wa US Monastir ya Tunisia, Novic Darko, ameshindwa kujizuia na kutamka kuwa kama akipewa nafasi ya kusajili Mshambuliaji msimu ujao, basi chaguo lake la kwanza . . .
Kikosi cha Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’, imewasili nchini Misri salama huku Kocha Msaidizi, Hemed Morocco, akisema kuwa Tanzania ina nafasi ya kufanya vizu . . .
Shirikisho la Ngumi za Ridhaa Tanzania (BFT), limetangaza kuendesha mafunzo kwa makocha yakiwa na lengo la kuongeza idadi ya walimu wa mchezo huo. Makocha hao wataongezwa . . .
Nimesikia na kuona Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (Caf) likitoa tuzo maalum kwa Rais wa Rwanda, Paul Kagame na Mfalme Mohammed VI wa Morocco kwa kuwa mfano wa kuigwa . . .
Mabingwa watetezi wa Ligi ya Mabingwa Barani Afrika Real Madrid watakutana na Chelsea ya England katika mchezo wa Robo Fainali, baada ya kufanywa kwa Droo ya Michuano hiy . . .
Klabu ya Crystal Palace imempiga kalamu kocha mkuu Patrick Vieira baada ya kuiongoza klabu hiyo kwa mechi 12 zilizopita bila kusajili ushindi wowote. Palace haijashi . . .
Meneja wa Manchester United Erik Ten Hag ameonesha kusikitishwa na kitendo cha kukosa uthabiti katika maamuzi ya waamuzi baada ya kuchoshwa na uchezeshaji wa mwamuzi Anth . . .
Kamanda wa Uhamiaji Mkoa wa Tanga, Kagimbo Bakari amesema Jeshi hili limewakamata wahamiaji haramu wanne raia wa Cameroon, ambao wamedai wapo nchini kwa ajili ya ku . . .
Kocha Mkuu wa Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Young Africans Nasreddine Mohammed Nabi, ametetea maamuzi yake ya kumtoa Kiungo Mshambuliaji kutoka Burkina Faso Stephen Aziz . . .
Kwa mara nyingine tena Uongozi wa Young Africans umemwandikia Barua Kiungo kutoka visiwani Zanzibar Feisal Salum Abdallah ‘Fei Toto’ ya kumtaka kurejea kambini kujiun . . .
Lionel Messi ametumia pauni 175,000 kuwanunulia zawadi za simu 35 aina ya iPhone rangi ya dhahabu wachezaji wenzake wa timu ya taifa ya Argentina kutokana na mafanikio wa . . .
Rasmi mchezo wa 16 Bora Kombe la Shirikisho Tanzania Barani ‘ASFC’ kati ya Mabingwa watetezi Young Africans dhidi ya Maafande wa Jeshi la Magereza Tanzania Prisons ut . . .
Shirikisho la Soka Nchini Uganda ‘FUFA’ limeusogeza mbele Mchezo wa Ligi Kuu nchini humo kati ya Arua Hill SC dhidi ya Vipers SC.Mchezo huo ulipangwa kuchezwa kesho M . . .
Katika video iliyosambazwa kwenye mitandao ya kijamii, jezi ya Balotelli iliteketezwa huku mashabiki waliokula mori wakiondoka uwanjani kabla ya mechi kumalizika. Kw . . .
BEKI wa zamani wa Manchester United, John O’Shea, ameteuliwa kuwa kocha msaidizi katika timu ya taifa ya Jamhuri ya Ireland ambayo sasa inanolewa na mkufunzi Stephen Ke . . .
Thamani ya staa wa Manchester City, Erling Haaland kwa sasa ni euro bilioni 1. Haya yameelezwa na wakala wa staa huyo, Rafaela Primenta ambaye anamsimamia Haaland na m . . .
Kocha cha Simba juzi kilipoteza mechi ya Ligi ya Mabingwa Afrika mbele ya Raja Casablanca na kocha Roberto Oliveira 'Robertinho' akifichua kilichowaponza, lakini akawa mo . . .
Rais wa Klabu ya Young Africans Injinia Hersi Said amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan kwa kutimiza ahadi yake.Rais Samia aliahidi kun . . .
MANCHESTER City huenda ikakabiliwa na adhabu ya kushushwa daraja kutoka Ligi Kuu ya England au kukatwa pointi kwa kosa la kuvunja sheria za fedha zaidi ya mara 100 kuhusu . . .
Nchi za Argentina, Chile, Paraguay na Uruguay kwa pamoja zimewasilisha rasmi maombi/zabuni ya ya kutaka kuwa wenyeji wa Fainali za Kombe la Dunia 2030.Nchi hizo nne za Am . . .
Bodi ya Ligi Kuu ya England ‘Premier League’ imeishtaki Klabu ya Manchester City kwa ukiukaji zaidi ya 100 wa sheria zake za kifedha kufuatia uchunguzi wa miaka minne . . .
Kocha Mkuu wa Simba C Roberto Oliviera ‘Robertinho’, amempigia Saluti Kiungo Mshambuliaji kutoka nchini Zambia Clatous Chotta Chama kwa kiwango kizuri alichokionesha . . .
Beki wa US Monastir ya Tunisia Ousmane Adama Ouattara amesema, wapo tayari kwa mchezo wa Mzunguuko wa kwanza Hatua ya Makundi Kombe la Shirikisho Barani Afrika dhidi ya M . . .
HENOCK Inonga, beki wa Simba amerejea kwenye uimara wake taratibu baada ya kupata maumivu kwenye mchezo wa ligi dhidi ya Tanzania Prisons.Katika mchezo huo wa ligi Inonga . . .
Kocha Mkuu Simba SC Roberto Oliveira ‘Robertinho’ amesema, ili kufanikisha ndoto za kutwaa ubingwa msimu huu 2022/23 kwa klabu hiyo, ni lazima kikosi chake kishinde m . . .
Inasemwa kuwa, licha ya kuzungumzia mafanikio ya Jurgen Klopp ndani ya Liverpool, lakini mambo yanaweza kubadilika wakati wowote kikosini hapo na nafasi yake ik . . .
JANUARI 30,2023 Yanga imezindua uzi wao mpya kwa ajili ya mechi za kimataifa ikiwa imetinga hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika. Timu hiyo inayonolewa na Ko . . .
Kocha wa Manchester City Pep Guardiola anaamini kuwa viongozi wa Ligi Kuu ya Uingereza Arsenal sasa wanafaidi matunda ya kumvumilia Mikel Arteta kama kocha wao kwa miaka . . .
Miamba ya Soka nchini Misri Al Ahly imeendelea kutajwa kuwa kwenye mpango wa kumsajili Mshambuliaji na Nahodha wa Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ Mbwana Ally . . .
anaipenda klabu hiyo ya Msimbazi na ataitumikia siku moja.Manzoki amesema anajua kuna baadhi ya watu waliwahi kumuhusisha na mpango wa kusajiliwa na timu inayovaa rangi y . . .
MIONGONI mwa taarifa ambazo zilikuwa na sarakasi nyingi ni pamoja usajili wa nyota Mohamed Issa Banka kuibuka ndani ya Ruvu Shooting na kabla ya kuanza kucheza mkatab . . .