ALIYEKUWA kocha mshikilizi wa Manchester United, Ralf Rangnick, amekataa majukumu mapya ya kuwa mshauri wa benchi ya kiufundi kambini mwa mabingwa hao mara 20 wa Ligi . . .
MCHAKATO wa kuuzwa kwa Chelsea unakamilika rasmi leo Jumatatu, Mei 30, 2022 baada ya maelewano ya “mwisho na dhahiri” kuafikiwa na kampuni inayoongozwa na T . . .
YANGA wamepania kwa namna yoyote ile kushinda mechi ya Jumamosi dhidi ya Simba kwenye Uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza na hawataki masihara kwenye jambo lao.Habari . . .
KOCHA wa Simba, Pablo Franco hajaridhishwa na kiwango kilichoonyeshwa na timu yake katika mechi yao waliyoshikiliwa kwa sare ya 1-1 dhidi ya Geita Gold kwenye Uwanja . . .
.Klabu ya Barcelona imetuma dau la kwanza la dola milioni 33 ili kumsajili mshambuliaji wa Bayern Munich, Robert Lewandowski .Gazeti la Ujerumani la Bild am Sonntag limer . . .
YANGA ipo jijini Mwanza kwa ajili ya mechi mbili ngumu, lakini hapohapo wakapeleka salamu nzito kwa watani zao Simba watakaokutana nao Mei 28 jijini humo.Yanga ambayo . . .
Saido Ntibazonkiza yupo kwenye majadiliano na Yanga kuhusiana na muda wa mkataba wake mpya huku Mwanaspoti likitaarifiwa kwamba amegomea wa muda mfupi.Staa huyo ambay . . .
KOCHA Mkuu wa Simba, Pablo Franco amepewa wiki moja kuandaa ripoti maalumu kwa ajili ya masuala ya kiufundi kabla ya msimu ujao kuanza mambo gani anayotaka yafanyike . . .
YANGA itashuka uwanjani leo, huku ikiwa haijaonja ushindi katika mechi mbili zilizopita, lakini Kocha Msaidizi, Cedric Kaze amesema sare imewapa kazi ya kupambana zai . . .
SARE iliyopata Simba dhidi ya Namungo na kichapo ilichopewa Azam FC kutoka kwa Kagera Sugar, imewarahisishia kazi Yanga, kwani vinara hao wa Ligi Kuu Bara imekuwa kla . . .
Wakati Ligi Kuu ya NBC ikikaribia ukingoni, napenda kutoa shukrani za dhati kwa kila mtu aliyewezesha kufanikiwa kwa ligi hii maarufu Afrika na duniani . . .
Beki wa klabu ya Chelsea Antonio Rudiger anaondoka klabuni hapo ifikapo mwisho wa msimu huu. ANTONIO Rudiger ameamua kuondoka ndani ya kikosi cha Chelsea mwishoni mwa . . .
Manchester,Manchester City wana uongozi mwembamba wa kuulinda katika mkondo wa pili wa nusu fainali yao ya Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya Real Madrid baada ya kushin . . .
Kocha Mkuu wa RS Berkane, Florent Ibenge amepata ajali ya gari wakati akitoka mazoezini jana.Taarifa ya klabu yake imesema ajali hiyo imempa maumivu makali ya mgongo koch . . .
Rekodi zinaonyesha namna winga wa Namungo FC, Shiza Kichuya anavyokuwa tishio kwa Yanga, wakikutana mechi za Ligi Kuu Bara.Kichuya amekuwa mwiba kwa Yanga tangu akiwa n . . .
MCHEZAJI wa soka, Mbrazili, Neymar Jr, amefunguka jinsi anavyompenda mpenzi wake mpya, Bruna Biancardi, walipokuwa wakisherehekea bethdei ya mrembo huyo kutimiza miak . . .
KLABU ya Kaizer Chiefs na Kocha Stuart Baxter wamefikia makubaliano ya pamoja ya kuvunja mkataba wa kocha huyo aiyerudi kuifundisha klabu hiyo kwa mara ya pili mara b . . .
Club ya Manchester United imethibitisha kuwa Erik ten Hag (52) ndio atakuwa Kocha wao mpya baada ya msimu huu kumalizika.Erik ten Hag Raia wa Uholanzi amesaini mkataba wa . . .
Georgina Rodriguez wametangaza kifo cha mtoto wao wa kiume , wakisema kwamba ni uchungu mkubwa mbao mzazi yeyote anaweza kuhisi.Raia huyo wa Ureno mwenye umri wa miaka 37 . . .
MABOSI wa Yanga, wanabadilisha anga wakisaka vifaa vipya vya kigeni kwa malengo ya msimu ujao, lakini ndani ya timu yao kumeibuka mshtuko mmoja mkubwa, baada ya Bilio . . .
MASHABIKI wa Yanga waliokuwa na hamu ya kuona kifaa kipya kutoka Rwanda kikitua Jangwani, wakae kwa kutulia baada ya Waarabu kutia mkono dili la kiungo Bigirimana Obe . . .
KUFUATIA kutumika kwa mara ya kwanza mfumo wa video wa kumsaidia mwamuzi (VAR) hapa Tanzania katika mchezo wao wa leo Jumapili dhidi ya Orlando Pirates, Kocha Mkuu wa . . .
Baada ya kushindwa Ijumaa usiku na Zamalek ya Misri, Petro de Luanda ya Angola ilirejea uwanjani Jumamosi na kushinda dhidi ya Forces Armées et Police Basketball- . . .
KOCHA Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi, ameweka wazi kuwa licha ya mwenendo bora walionao msimu huu, bado haridhishwi na kiwango cha umakini wa kutumia nafasi za kufung . . .
MSHAMBULIAJI wa Zanaco ya Zambia, Moses Phiri ambaye anahusishwa kujiunga na Yanga amesema kuwa anatamani kuona anavaa jezi namba 10 katika timu mpya atayojiunga nayo . . .
Na katika michezoBayern Munich wametupwa nje ya michuano ya Ligi ya Mabingwa barani Ulaya Champions League baada ya kutoka sare ya bao 1-1 na Villarreal. Katika mechi . . .
BAADA ya jana, aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kuandika ujumbe kwenye ukurasa wake wa Instagram na kuwajata anaodai wanataka kumuua, Msemaji w . . .
Kiungo Mshambuliaji wa Maafande wa Jeshi la Magereza ‘Tanzania Prisons’ Lambart Sabiyanka amesema anaamini kikosi cha klabu hiyo kitapmbana hadi mwisho ili kuhaki . . .
Bondia Hassan Mwakinyo ametoa tamko baada ya kuvuliwa taji la ubingwa wa African Boxing Union ‘ABU’ kufuatia kushindwa kulitetea kwa muda mrefu. Jana Jumat . . .
KIPA wa Yanga Djigui Diarra ameipeleka Yanga, nusu fainali huku kocha wao Nasreddine Nabi akionyeshwa kadi nyekundu kutokana na utovu wa nidhamu aliouonyesha.Diarra . . .
UKIONA Simba inavyobadilisha ndege kila mara kwenye safari zake za mechi za kimataifa, iheshimu.Sio Simba tu, hata vigogo wengine kama Yanga na Azam ambazo kwa miaka za . . .
Uongozi wa Mtibwa Sugar umeshindwa kusema lolote kufuatia taarifa zilizosambaa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu Beki wao Mzawa Abdi Banda anayedaiwa kufanya mahojian . . .