Kocha msaidizi na mtaalamu wa viungo Simba, Karim Sbai amesema kwa muda wa wiki mbili aliokuwa kwenye kikosi hicho amefanikiwa katika maeneo mengi tofauti na alivyokuwa a . . .
Morrison ameanza kazi rasmi Yanga na leo akiingia siku ya nne mazoezini, lakini kocha mmoja fundi wa mazoezi ameshtukia kitu kwa winga huyo Mghana kisha akamtengea siku 1 . . .
Zikiwa zimebaki siku 10 kabla ya Simba na Yanga kukutana kwenye mchezo wa ufunguzi wa ligi wa Ngao ya Jamii, Agosti 13 kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, kocha wa Simba . . .
Klabu ya wananchi ya Raja Athletic ya Morocco iko katika hesabu kali ikipigania saini ya winga wa Simba, Pape Sakho na fedha ambayo wameitaja kupata saini hiyo ni kam . . .
Yanga bado haijawapa mikataba mipya makocha wao, lakini kama kuna kitu kitawashtua basi ni ujio wa ofa moja kubwa kwa kocha mkuu Nasreddine Nabi ambaye kama hawatajiongez . . .
wiki tangu kiungo mshambuliaji wa Simba, Pape Sakho atwae tuzo ya Bao Bora kwenye michuano ya Caf.Bao la Sakho liliingia kwenye kinyang’anyiro cha michuano ya Kombe l . . .
Kambi ya Simba inaendelea kunoga, huku kocha Zoran Maki akisaliwa na wiki kama moja tu kukamilisha programu zake kabla ya kuja kuwasha mitambo katika tamasha la Simba . . .
Kocha mkuu wa Simba, Zoran Maki amewaambia wachezaji kuwa atakayefanya vizuri ndiye atakayepata nafasi ya kucheza bila kujali ukubwa wa majina.Kauli hiyo ni kama amew . . .
Klabu ya Chelsea imeripotiwa kufikiria uwezekano wa kumbakiza kwa mkopo wa mwaka mwingine zaidi mchezaji wake Romelu Lukaku hadi mwisho wa msimu wa 2023/2024. Taar . . .
Mchezaji wa kimataifa wa Harambee Stars, Eric Johana Omondi amejiunga na Muangthong inayoshiriki Ligi Kuu nchini Thailand kwa kandarasi ya mwaka mmoja Julai 22. Kupi . . .
Mchezaji mpya wa Simba, Mnigeria Nelson Okwa wikiendi iliyopita aliiaga timu aliyokuwa akiichezea ya Rivers United kibabe kwa kuiongoza kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu, ki . . .
. . .
Matajiri wa Chamazi raundi hii hawataki utani kabisa na bosi mkubwa, Yusuf Bakhresa ameingilia usajili na hadi sasa ameshusha wageni watano wa maana na wazawa watatu . . .
Kiungo mshambuliaji Raia wa Burkina Faso, Stephane Aziz Ki (26) hatimaye ametangazwa rasmi kuwa mchezaji wa klabu ya Yanga kabla ya kujiunga na Yanga, Aziz Ki a . . .
Aliyekuwa kiungo wa klabu ya Sofapaka Wisdom Naya ameaga dunia, klabu hiyo ya Ligi Kuu ya Kenya (KPL) imethibitisha kupitia kwa taarifa.Aliyekuwa Kiungo wa Klabu ya Sofap . . .
Klabu ya Simba juzi ilimtambulisha kocha mkuu, Zoran Maki ambaye ameelewa matumaini mapya ndani ya klabu hiyo msimu ujao na akiwataka wapinzani wake wajipange kwani y . . .
Kocha Mkuu wa Yanga, amefurahia usajili uliofanywa na uongozi mpaka sasa lakini akaahidi kutakuwa na mabadiliko makubwa kikosini na amewatumia salamu wachezaji huko w . . .
Katika mashindano ya kandanda barani Ulaya kuwania ubingwa wa wanawake yanayoendelea huko England jana ilikuwa zamu ya kundi B kucheza mechi zake na kilele cha uhondo . . .
Klabu ya Chelsea ya nchini Uingereza imefikia makubaliano na klabu ya Napoli ya nchini Italia juu ya uhamisho wa Beki wao Kalidou Koulibaly kwa ada ya uhamisho ya Eur . . .
Mashabiki wa Yanga bado wanaendelea kushangweka baada ya timu hiyo kubeba mataji matatu, huku wakiendelea kusikilizia mastaa wapya watakaoshuka kikosini kwa msimu uja . . .
KOCHA mpya wa Simba, Zoran Manojlovic Maki amevunja ukimya huku akifichua jinsi alivyouchungulia mziki wa timu hiyo mapema na usajili unaoendelea kikosini akiamin . . .
SIMBA inaenda nchini Misri kwa ajili ya maandalizi ya msimu ujao wa Ligi Kuu Bara na michuano ya kimataifa ambapo wao wanashiriki Ligi ya Mabingwa Afrika huku wakiwa . . .
YANGA imemalizana na Bernard Morrison akisaini mkataba wa mwaka mmoja kurejea klabuni kwa masharti kadhaa lakini kuna balaa kubwa wanalifanyia kazi kwa usiri mkubwa . . .
Mashindano yajayo ya kuwania ubingwa wa Afrika AFCON yatafanyika mapema mwaka 2024 ili kuzuia kinyang'anyiro hicho kukumbwa na mafuriko wakati wa msimu wa mvua nchini . . .
MSHAMBULIAJI matata raia wa Ubelgiji, Romelu Lukaku, 29, amerejea Inter Milan kwa mkopo, takriban mwaka mmoja baada ya kutua ugani Stamford Bridge kuvalia jezi za Che . . .
WASHAMBULIAJI Sadio Mane na Mohamed Salah wamejumuishwa katika orodha ya masogora 30 wanaowania taji la Mchezaji Bora wa Kiume barani Afrika mnamo 2021-22. Mane aliy . . .
Mkongomani aliyeko kwenye hatua za mwisho za kujiunga na Simba, Ceasar Manzoki ameaga rasmi wachezaji wenzie na mashabiki wa Vipers ya Uganda. Simba imefanya maz . . .
Yanga inafanya usajili wa bandika bandua kutokana na namna wanavyofanya usajili wao kuelekea msimu wa 2022/23, lakini kama unadhani Simba wamepoa unajidanganya. . . .
Club ya Man City imemtambulisha rasmi Erling Haaland (21) kutokea Boru . . .
INAWEZA kuwa habari ya kushtua sana kwa mashabiki wa Yanga, lakini ndivyo ilivyo kwamba wakala wa Kocha Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi, alilipelekea jina la kocha h . . .
WACHEZAJI, John Bocco na Chris Mugalu waliong’ara msimu uliopita wakiwa vinara wa mabao wa Simba na Ligi Kuu Bara msimu uliopita, wamewagawa mabosi wa klabu hiyo ya . . .
BINGWA wa ligi kuu tanzania bara msimu wa 2021/2022 atajinyakulia kombe la shilingi milioni 600. Afisa mtendaji wa mkuu wa bodi ya ligi kuu [TPLB] , Almasi Kasongo , ames . . .
Vita ya nafasi ya Urais wa Yanga imeanza. Kuna majina makubwa kwa mashabiki na wanachama ambayo kabla kesho Jua halijazama yatapishana kuchukua fomu za nafasi h . . .