Uongozi wa Klabu Bingwa Tanzania Bara Young Africans umeweka wazi kuwa kazi ipo msimu mpya wa 2023/24 kutokana na mipango makini inayosukwa kwenye klabu hiyo.Young Africa . . .
Imefahamika Rasmi Klabu ya Mtibwa Sugar imemwajiri Kocha Mzawa Habibu Kondo kuwa kocha mkuu wa timu hiyo na anaanza majukumu yake leo Jumanne (Julai 18).Kondo amechukua n . . .
Kundi la pili la wachezaji wa klabu ya @simbasctanzania limeondoka alfajiri ya leo nchini kuelekea Uturuki kuungana na wachezaji wengine ambao tayari wapo huko wakiendele . . .
Uongozi wa klabu ya Bayern Munich ya Ujerumani umemshauri nyota wao raia wa Senegal, Sadio Mane kuchunguza chaguzi za uhamisho.Uongozi wa Bayern umethibitisha kwa sasa ha . . .
Timu ya Taifa ya Tanzania (TaifaStars), imepangwa Kundi E katika makundi ya kufuzu Kushiriki Michuano ya Kombe la Dunia ya mwaka 2026Katika droo iliyochezeshwa leo makund . . .
Wakati vuguvugu la kiungo wa Simba Clatous Chotta Chama likizidi kuchukua nafasi katika midomo ya wapenda soka nchini.Mchambuzi wa Michezo kutoka EFM ametoa kauli inayoon . . .
Klabu ya Arsenal huenda ikapata ahueni kidogo kwenye mkwanja kunasa huduma ya kiungo Declan Rice kwa kuwa kuna kiasi kitarudi kutokana na West Ham United kuhitaji saini y . . .
Beki wa kati ya Timu ya Taifa ya Uganda na Klabu ya SC Villa ya nchini humo, Gift Fred.IMEELEZWA kuwa Yanga imetumia dau la Sh 200Mil kufanikisha usajili wa beki wa kati . . .
Klabu Bingwa nchini England Manchester City imempa ofa ya mkataba mpya beki wa England, Kyle Walker ili kujaribu kumshawishi abaki katika klabu hiyo msimu huu wa majira y . . .
Uongozi wa Ihefu FC umegonga hodi Singida Fountain Gate kwa ajili ya kumpata beki wa kati, Pascal Wawa kwa mkopo utakaomuweka kwenye viunga vya Mbarali hadi msimu ujao.Ih . . .
Mashabiki wa The Gunners ‘Arsenal’ wamewacheka wale wa Chelsea baada ya kufahamika Brighton wanataka zaidi ya Pauni 100 milioni kumuuzaMoises Caicedo.Kiungo huyo wa E . . .
Hizi taarifa zinasambaa nipende kukanusha ni za uongo zipuuzwe mara moja.Sijawai kuwa na mawazo ya kwenda yanga wala kujiunga na yanga tangu niwe mchezaji wa Simba. Naipe . . .
Klabu ya Manchester United imeiambia Inter Milan kwamba iko tayari kutoa Pauni Milioni 40 ili kufanikisha usajili wa Mlinda Lango wao, Andre Onana, kwa mujibu wa ESPN.Maz . . .
MARA baada ya wachezaji wa timu ya Al Hilal kutaka kusitisha mkataba huku wakihusishwa na baadhi ya timu za hapa nchini, mabosi wao wameamua kuwafungulia mashtaka Fifa.Wa . . .
Kipa wa Paris Saint-Germain Sergio Rico yuko nje ya uangalizi maalum, ripoti ya hospitali ilithibitisha Jumatano, huku akiendelea kupata nafuu kutokana na jeraha la kiwew . . .
Wito wa Arsene Wenger kwa mabadiliko katika kanuni za kuotea unaonekana kuwa na matunda, huku shirikisho la soka la dunia, FIFA, likipanga kujaribu mapendekezo mapya.&nbs . . .
Barcelona bado inamlipa Lionel Messi zaidi ya miaka miwili baada ya kuondoka klabuni na itaendelea kufanya hivyo hadi angalau 2025. Katika mahojiano na Cadena SER, L . . .
Kocha wa Ureno Luis Castro anaondoka katika klabu ya Botafogo ya Brazil na kuwa meneja wa timu ya Saudi Pro League ya Al Nassr.Al Nassr alikuwa akitafuta meneja mpya tang . . .
Imeelezwa kuwa Klabu ya Chelsea inajipanga kuanza upya mazungumzo na Uongozi wa Brighton kwa ajili ya kumsajili kiungo, Moises Caicedo.The Blues ipo kwenye mchakato wa ku . . .
UDAKU SPECIALHomeTrending GossipKiungo Nelson Okwa Aendelea Kuivua Nguo Simba "Hawajanilipa Pesa za Kuvunja Mkataba"Kiungo Nelson Okwa Aendelea Kuivua Nguo Simba "Hawajan . . .
Baada ya kuupa heshima Mkoa wa Kigoma kwa kuipandisha Ligi Kuu Tanzana Bara Mashujaa FC kwa ushindi wa jumla wa 4-1 dhidi ya Mbeya City, Kocha Abdul Mingange ametamba kua . . .
Kiungo mkongwe wa Real Madrid Luka Modric atasalia katika klabu hiyo kwa msimu mwingine baada ya kuongeza mkataba wake hadi Juni 2024, timu hiyo ya Uhispania ilisema Juma . . .
Kocha kutoka nchini Burundi Cedrick Kaze anapewa nafasi kubwa ya kurithi mikoba ya Fredy Felix Minziro aliiyetupiwa virago Geita Gold FC, baada ya mkataba wake kufikia ki . . .
Kiungo wa kimataifa anayekipiga klabu ya Yanga, Khalid Aucho ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa mwaka nchini Uganda inayotolewa na mtandao wa Pulse Sports wa nchini humo. . . .
Chelsea ilikamilisha usajili wake wa kumnunua fowadi wa Ufaransa Christopher Nkunku kutoka RB Leipzig kwa mkataba wa thamani ya pauni milioni 63 siku ya Jumanne.Nkunku al . . .
Real Madrid ilithibitisha kuwasili kwa mshambuliaji wa Uhispania Joselu kwa mkopo kutoka Espanyol iliyoshuka daraja kwa msimu ujao Jumatatu."Real Madrid na Espanyol wamek . . .
ErlingHaaland amekutwa na tukio hilo baada ya Timu yake ya Taifa ya Norway kupoteza mchezo kwa magoli 2-1 dhidi ya Scotland, ambapo aliingia kwenye basi la timu moja . . .
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron amefichua kuwa atajaribu kumshawishi nahodha wa timu ya taifa Kylian Mbappe asiondoke katika miamba hao wa soka ya Ufaransa.Macron alizun . . .
Manchester United wameshuhudia ofa yao ya awali ya pauni milioni 40 kwa kiungo wa kati Mason Mount kukataliwa na Chelsea. Inaripotiwa kuwa The Blues wanashikilia dau . . .
Mitandao inaripoti kwamba Cristiano Ronaldo amesaini makubaliano ya kabla ya ndoa (pre-nup agreement) ambapo imeelezwa kwamba, kama ikitokea wakaachana, nyota huyo wa Ure . . .
Klabu ya Singida Big Stars FC rasmi imeuzwa kwa Japhet Mboto Makau Mkurugenzi wa Fountain Gate Sports Academy, ambaye kuanzia sasa atakuwa mmiliki mpya wa timu hiyo iliyo . . .
Nahodha wa Ufaransa Kylian Mbappe ameambia Paris Saint-Germain kuwa hataongeza mkataba wake hadi mwaka 2025 na kuzua tumbo joto katika mabingwa hao wa Ligue 1.Mkataba wa . . .
Baada ya kumalizana na Kiungo kutoka visiwani Zanzibar Feisal Salum Abdallah ‘Fei Toto’ akitokea Young Africans, Uongozi wa Azam FC unatajwa kuhamishia nguvu Simba SC . . .