Hatimaye Mlinda Lango wa zamani wa Ligi Kuu England, Ben Foster ametangaza kustaafu soka.Mchezaji huyo mwenye miaka 40, alishatangaza kustaafu Septemba mwaka jana baada y . . .
Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania TEF, Deodatus Balile amesema, wadau wa habari wangependa ukamilifu wa uundwaji wa kanuni za habari usivuke mwezi Oktoba 20 . . .
Chelsea imetangaza kumsajili kiungo, Romeo Lavia kutoka Southampton kwa mkataba wa awali wenye thamani ya pauni milioni 53 pamoja na nyongeza za pauni milioni 5.Mchezaji . . .
Beki kutoka nchini England Harry Maguire ameuvimbia Uongozi wa Manchester United akitaka alipwe Pauni 15 Milioni kwanza, kabla ya kukubali kwenda kujiunga na West H . . .
Rais wa Kamisheni inayosimamia ngumi za kulipwa Tanzania (TPBRC) Chaulembo Palasa amesema kuwa Bondia Mtanzania Karim Mandonga hajafungiwa kama inavyoripotiwa na baadhi y . . .
Kiungo Mshambuliaji kutoka Burkina Faso Yacouba Songne ameaga rasmi Ihefu SC, baada ya kukamilisha mpango wa kusajiliwa na Arta Solar 7 ya Djibout.Yacouba alijiunga Ihefu . . .
Kiungo Mshambuliaji kutoka nchini Brazil Neymar da Silva Santos Júnior ameamua kuachana na maisha jijini Paris, Ufaransa na kutimkia zake Saudia Arabia ambako anakwenda . . .
Real Madrid wamekamilisha usajili wa Kipa Arrizabalaga kwa mkopo wa msimu mzima kutoka Chelsea.Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 28 alikosekana uwanjani wakati Chelsea i . . .
Mchezo wa pili wa nusu fainali ya Ngao ya Jamii kati ya Simba SC dhidi ya Singida umemalizika kwa dakika 0-0.Hivyo changamoto ya mikwaju ya penati ikatumika kuamua mshind . . .
Beki wa Manchester United, Harry Maguire, huenda akaendelea kusalia kwenye viunga vya Manchester United, kufuatia kukataa kujiunga na timu ambayo haitoshiriki Ligi ya Mab . . .
Mlinda Lango kutoka nchini Cameroon Andre Onana amekubali kukosolewa na mashabiki baada ya kuruhusu bao lake la kwanza Old Trafford kwenye mchezo wa mwisho wa kujiandaa n . . .
Robertinho and his technical team don’t have any excuses this season.1. Apart from goalkeeper, he has all the players wanted.2. Did his own pre season with the squad.3. . . .
Timu hizi zimefanikiwa kuingia raundi ya 16 ikiwa ni kwa mara ya kwanza kwa Afrika Kusini na mara tatu kw Nigeria huku pia timu ya Afrika Kusini ikiandika historia . . .
Waziri wa michezo wa Somalia ameomba radhi baada ya mshiriki mwanamke katika mbio za kimataifa za mita 100 kuonekana akikimbia taratibu kiasi kwamba watu wanahoji aliweza . . .
Pamoja na Klabu ya Manchester United kuonekana ipo kwenye hatua nzuri kuipata huduma ya kiungo wa Fiorentina, Sofyan Amrabat, taarifa zinadai dili hilo huenda likapinduka . . .
Serikali imewatoa hofu watanzania na kusema inaendelea na mchakato wa kumpata mkandarasi wa kuanza ujenzi wa Uwanja wa kimataifa mkoani Dodoma.Pamoja na uwanja wa Dodoma, . . .
Uongozi wa Yanga umeelezea sababu ya aliyekuwa nyota wao Gael Bigirimana kuonekana kambini Avic Town ni kusalimiana na wenzake.Akizungumzia ishu hiyo leo Agosti Mosi, 202 . . .
Mshambuliaji mpya wa Young Africans, Hafiz Konkoni, ametamba kuisaidia Klabu Bingwa Tanzania Bara Young Africans kufanya vizuri, ili kutetea mataji na kutikisa vilivyo kw . . .
Manchester United wamepata dili kubwa zaidi la jezi katika historia ya Premier League baada ya kutangaza ushirikiano mpya wa miaka 10 na adidas wenye thamani ya pauni mil . . .
Kocha Mkuu wa Chelsea Mauricio Pochettino anaendelea kukijenga kikosi chake, huku taarifa zikieleza kuwa amejipanga kumsajili Axel Disasi akitokea AS Monaco ya Ufaransa.C . . .
Klabu ya Yanga imethibitisha kumsajili mshambuliaji Hafiz Konkoni kutoka klabu ya Bechem United inayoshiriki ligi kuu nchini Ghana.Konkoni (23) raia wa Ghana ambaye aliku . . .
Kiungo kutoka nchini Brazil Fábio Henrique Tavares ‘Fabinho’ ameachwa katika kikosi cha Liverpool ambacho kipo Singapore kwa ajili ya ziara ya maandalizi ya msimu mp . . .
Mtanzania Omar Abbas Mvungi aliyekuwa anakipiga MFK Vyskov, amejiunga na FC Nantes ya Ufaransa.Mvungi aliyekulia kwenye kituo cha Cambiasso anakuwa mchezaji wa Kwanza Mta . . .
Rwanda ilianza kampeni ya Kundi IV ya Kombe la Davis Cup Afrika kwa njia nzuri baada ya kuwalaza Msumbiji katika mechi za ufunguzi za Kundi B za michuano hiyo iliyofungul . . .
UONGOZI wa Yanga, umekamilisha taratibu za usajili wa mshambuliaji Emmanuel Mahop Dikongue kutoka Cameroon ambaye sifa zake zinafafana na Mkongomani, Fiston Mayele.Yanga . . .
Uongozi wa Mabingwa wa Soka nchini Ufaransa Paris Saint-Germain umempa ruhusa Mshambuliaji Kylian Mbappe kuzungumza na Al Hilal baada ya klabu hiyo ya Saudi Arabia kutuma . . .
Wekundu wa Msimbazi Simba SC, wamesema wanatarajia kukipiga mnada kibegi cha jezi ambacho kilipanda Mlima Kilimanjaro kwa jili ya uzinduzi wa jezi za msimu mpya wa 2023-2 . . .
Klabu ya Paris St-Germain imelaumiwa kwa unyanyasaji wa kimaadili baada ya kumuacha Kylian Mbappe katika ziara ya maandalizi Asia huku Umoja wa Wanasoka wa Ufaransa ukise . . .
Manchester United wamekamilisha usajili wa mlinda mlango Andre Onana kutoka Inter Milan kwa kima cha pauni milioni 47.2m.Mchezaji huyo wa kimataifa wa Cameroon mwenye umr . . .
Mabingwa wa Soka nchini Ujerumani FC Bayern Munich wameweka wazi msimamo wao kuhusu kiungo wa kati Joshua Kimmich, haujabadilika na hawana nia ya kumwacha aondoke katika . . .
Matajiri wenye Jiji lao wasiokuwa na mbamba @azamfc leo wanatarajia kuzindua jezi zao mpya kwaajili ya msimu wa 2023/24.Wauza lambalamba na Waoka Mikate hao wa @azamfc wa . . .
Nahodha wa Australia Sam Kerr ameondolewa kwenye mechi mbili za kwanza za mwenyeji wa Kombe la Dunia ambazo ni pamoja na pambano dhidi ya Super Falcons ya Nigeria.Nyota h . . .
Klabu ya Chelsea ina mpango wa kuwasilisha ofa mpya Brighton ya zaidi Pauni 70 milioni ili kuipata huduma ya kiungo wa timu hiyo, Moises Caicedo dirisha hili.Taarifa zina . . .