Mali Wafika Robo Fainali kwa Mara ya Kwanza Baada ya Miaka 10 Kwa Kuichapa Burkina Faso

Mali iliifunga Burkina Faso mabao 2-1 na kujihakikishia nafasi ya kufuzu kwa robo fainali ya Kombe la Mataifa ya Afrika. 

Mapema katika vipindi vyote viwili, Mali walipata bao kupitia kwa Edmond Tapsoba aliyejifunga na Lassine Sinayoko mkwaju wa penalti kabla ya Bertrand Traore kufunga penalti na bao la dakika za lala salama likakataliwa na bendera ya kuotea.

Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii