Kiungo wa kimataifa wa England, Jordan Henderson amekiri pesa ndio ilikuwa sababu mojawapo ya kujiunga na Al- Ettifaq kutoka Saudi Arabia.Kiungo huyo wa zamani wa Liverpo . . .
Viongozi wa Vyama na Mashirikisho ya michezo nchini wametakiwa kushirikisha watu wenye Ulemavu katika programu zao za mashindano, mazoezi na katika kuandaa timu ya Taifa. . . .
Imeripokuwa kuwa Kocha Mkuu wa Manchester United, Erik ten Hag, anafikiria kumuweka nje kipa namba moja wa timu hiyo, Andrè Onana.Hatua hiyo imekuja baada ya kuonekana O . . .
Tanzania imepangwa Kundi F pamoja na Morocco, Zambia na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) katika Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika mwakani nchini Ivory Coast.Kat . . .
Rais wa zamani wa Shiriksho la Soka Duniani (FIFA), Sepp Blatter, amekosoa uamuzi wa shirikisho hilo kubariki Fainali za Kombe la Dunia la mwaka 2030 kuandaliwa katika ma . . .
Morocco, Uhispania na Ureno zimetajwa kuwa wenyeji wa Kombe la Dunia la soka mwaka 2030, huku Uruguay, Argentina na Paraguay wakiwa wenyeji wa mechi za ufunguzi kua . . .
Uongozi wa Klabu ya Arsenal umeanza mazungumzo rasmi na beki wake Ben White, ili kufanikisha mpango wa kumsainisha mkataba wa kuendelea kuitumikia klabu hiyo ya Kaskazini . . .
Mwanasheria na mshauri wa Mshambuliaji Mohamed Salah amedokeza kuwa nyota huyo wa Liverpool anaweza kuwa anapata kiasi kikubwa mno cha mapato ya jumla kwa mujibu wa . . .
Hatimaye Shirikisho la Soka Barani Afrika ‘CAF’ limeipa nafasi Afrika Mashariki kupitia nchi za Tanzania, Uganda na Kenya kuwa mwenyeji wa Fainali za Mataifa ya Afrik . . .
Mlinda Lango David de Gea anaweza kustaafu soka ikiwa hatapokea ofa ifaayo ya kurejea kwenye mchezo, huku akisisitiza kutokuwa tayari kwenda Ligi ya Saudi Arabia.Mhispani . . .
Mlinda Mlango wa Klabu ya Soka ya Simba, Aish Salum Manula ameonekana kuimarika zaidi baada ya kuwa nje ya Uwanja kwa Muda Mrefu kutokana na jeraha la lake.Kipa huyo ameo . . .
Mlinzi wa kushoto wa Yanga Joyce Lomalisa Mutambala anatarajiwa kuwa nje kwa wiki moja baada ya kupata majeraha kwenye mchezo wa ligi kuu dhidi ya Namungo FcMchezo huo ul . . .
Bosi wa Tottenham Hotspur, Daniel Levy amesema wameweka kipengele cha kumrudisha Mshambuliaji, Harry Kane kwenye kikosi chao, endapo FC Bayern Munich itachoka huduma yake . . .
Mzozo kati ya timu ya soka ya wanawake ya Uhispania na Shirikisho la Soka la Kifalme la Uhispania (RFEF) unaonekana kufikia muafaka baada ya pande hiz . . .
Bayern Munich watakuwa wenyeji wa Manchester United siku ya Jumatano usiku katika kile ambacho kitaonekana kuwa na kizaazaa kwenye Uwanja wa Allianz Arena. Timu hiyo . . .
Uongozi wa Namungo FC umesema gari walilokuwa wanatumia mashabiki wa timu hiyo kutoka Ruangwa kuja Dar es Salaam kuishangilia timu yao ikicheza dhidi ya Yanga mechi ya Li . . .
Kocha wa Manchester United, Erik ten Hag, amelaumu timu zinazopandisha bei ya wachezaji kwenye soko la usajili wakati klabu hiyo ya Old Trafford inavutiwa.Ikiwa ni pamoja . . .
Wakala wa Kocha Mkuu wa Liverpool Jurgen Klopp, Marc Kosicke amesisitiza kuwa kuwa mteja wake hataweza kuifundisha timu ya taifa ya Ujerumani licha ya jina lake kuwa mion . . .
Baada ya timu ya Taifa ya Tanzania “Taifa Stars’ kufuzu fainali za Mataifa ya Afrika (AFCON 2023), sasa inasubiri kuona itakuwa kundi gani na nani ikipangwa nazo kwa . . .
Kikosi cha Young Africans kinatarajia kuondoka nchini leo Alhamis (Septemba 14) kuelekea Rwanda kwa ajili ya kuwafuata Al Merrikh kutoka Sudan katika mechi ya kwanza ya h . . .
Kiungo wa Juventus, Mfaransa Paul Pogba, amesimamishwa kwa muda kucheza Soka, kutokana na kukutwa na hatia ya matumizi ya dawa za kuongeza nguvu ambazo zimezuiliwa michez . . .
Uongozi wa Klabu Bingwa nchini England ‘Manchester City’, una mpango wa kumpatia ofa mpya staa wake, Erling Haaland ya mshahara wa pauni 600,000 kwa juma.Imeelezwa ku . . .
Mshambuliaji wa Mabingwa wa Soka nchini Ufaransa Paris Saint- Germain Kylian Mbappe amesifiwa na mashabiki wa klabu hiyo kutokana na kiwango bora anachoendelea kuonyesha. . . .
Chelsea imethibitisha kumsajili mchezaji, Cole Palmer kutokea Manchester City.Kiungo huyo Mshambuliaji amejiunga na The Blues kwa dau la paundi milioni 42.5 kwa . . .
Kocha wa Manchester City, Pep Guardiola ameshinda tuzo ya Kocha bora kwa timu za Wanaume kwa msimu uliopita baada ya kuiwezesha timu yake kutwaa UbingwaAidha, Mshambuliaj . . .
Mama Mzazi wa Rais wa Shirikisho la soka la Hispania Luis Rubiales amelazwa baada ya hali yake kubadilika wakati akiwa kwenye mgomo wa kula kufuatia tuhuma za â . . .
Kiungo Mshambuliaji kutoka nchini Ubelgiji Eden Hazard amepanga kustaafu soka akiwa na umri wa miaka 32, huku ikidaiwa amegomea ofa kibao za kwenda kucheza soka nchini Sa . . .
Singida Fountain Gate imeachana na Kocha Mkuu Hans van der Pluijm raia wa kwa Uholanzi ambaye aliongeza mkataba mpya ikimaanisha mwaka mmoja alipomaliza Juni 30.Taarifa i . . .
Septemba 7-2023 Tanzania watakuwa na mchezo wa kufu kombe la mataifa ya Afrika dhidi ya Algeria (ugenini).kimahesabu Tanzania anahitaji alama moja tu ili afuzu fainali hi . . .
Wafanyakazi 11 katika soka la Hispania wamejiuzulu kufuatia sakata la busu lililotokea katika sherehe za Kombe la Dunia la Wanawake huko Sydney, Australia.Kati ya walioji . . .
Kamati ya nidhamu ya shirikisho la soka duniani (FIFA) imemsimamisha kwa muda mkuu wa shirikisho la soka la Uhispania Luis Rubiales kwa siku 90, FIFA imesema Jumamosi ya . . .
Nahodha na Mshambuliaji wa zamani wa Timu ya Taifa ya Ivory Coast Didier Drogba ametangazwa kuwa Kocha Mkuu wa timu ya taifa hilo kwa mkataba wa miaka minne.Hii ni mara y . . .
Rais wa Shirikisho la Soka nchini Hispania ‘RFEF’ amejibu mapigo juu ya kushutumiwa kumbusu mchezaji wa timu ya taifa ya wanawake iliyotwaa Kombe la Dunia kwa ushindi . . .