Uongozi wa Singida Fountain Gate umefikia uamuzi wa Kuvunja benchi lote la ufundi Kocha na wasaidizi wake lililokuwa likiongozwa na Kocha Thabo Senong kufuatia matokeo mabaya
Hadi sasa Singida Fountain Gate imecheza mechi 19 na ina alama 21 , huku hivi karibuni wakiwa na mfululizo wa kupokea vichapo
Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii