Mbwana Samatta "Narudi Kucheza TIMU Moja ya Tanzania"

Nyota wa timu ya Taifa ya Tanzania nahodha Mbwana Ally Samatta ameeleza uchu wake wa kurudi kucheza timu moja wapo ya Ligi kuu kandanda Tanzania Bara.


Samatta anatamani kuja kumalizia soka lake nchini ili kujua namna soka la nchi hii linavyoendelea na mabadiliko yaliyopo kwani kuna mabadiliko makubwa tangu alipoondoka.


Mbwana Samatta kwa sasa anacheza katika klabu ya PAOK inayoshiriki Ligi Kuu ya Ugiriki.


Unadhani Mbwana Samatta atarudi kuitumikia klabu gani ?

Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii