Al hilal yaipatia Azam fc mpunga wa kutosha

Kwa mujibu wa taarifa zinasema kuwa Klabu ya Al Hilal ya Sudan imepeleka ofa ya Dola 200,000 [TZS 509 Million] kwenye klabu ya Azam FC ili kuinasa saini ya mshambuliaji wa klabu hiyo Prince Mpumelelo Dube.

Hata hivyo Azam FC imekikataa kiasi hicho na kudai kuongezwa hadi kufika Dola 300,000 [TZS 764 Million] kama mkataba wake unavyosema ambao utamalizika mwaka 2026. Prince Dube tayari amewaaga mashabiki wa klabu hiyo.

Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii