Mangungu Akataa Kujiuzulu Simba

Tetesi zinazoendelea kwa sasa katika Klabu ya Simba SC juu ya Mwenyekiti wao upande wa wanachama;

SIMBA MPYA: Katika kikao kilichofanyika Juzi Jumamosi, Mwenyekiti wa klabu ya Simba, Murtaza Mangungu alishauliwa kujiuzulu katika nafasi hiyo, lakini hadi muda huu ameshikilia msimamo wa kutokuachia ngazi katika nafasi hiyo.

Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii