DullahMbabe” ameendeleza unyonge kwa kupoteza kwa mara ya pili dhidi ya #EricKatompa wa DR Congo katika pambano lisilo la ubingwa la Uzito wa Super Middleweight lililofanyika #Arusha
Katompa ameshinda kwa pointi baada ya majaji watatu kumpa ushindi wa Pointi 93-97, 93-97 na 92-98
Baada ya pambano, Dullah amesema “Sijui Majaji au Chama cha Ngumi wana nia gani na mimi kwa kuwa nimecheza vizuri na mashabiki wameona kilichotokea.”