Bondia Kiduku Ampiga Bondia Sebyala Kutoka Uganda

Bondia Mtanzania Twaha Kiduku ameshinda dhidi ya Bondia wa Uganda, Mohamed Sebyala katika mchezo uliopigwa Jijini Dar es salaam usiku huu.


Twaha kiduku ameshinda pambano hilo la raundi kumi kwa pointi na kufanikiwa kuutetea mkanda wake wa P.S.T.

Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii