Beki Wydad Casablanca Afariki Dunia

Nyota wa klabu ya Wydad Casablanca Oussama Falouh amefariki Dunia baada ya kupata majeraha yaliyotokana na ajali ya gari aliyoipata wiki kadhaa zilizopita.


Oussama alikuwa akicheza eneo la Ulinzi, amefariki akiwa na umri wa miaka 24.

Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii